Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi,(CUF) wilayani Handeni mkoani Tanga Hilary Kitwanga ametangaza kuhama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi,(CCM).
Akizungumza kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Handeni kilichofanyika leo Jumamosi April 19,2025 kwenye ukumbi wa mikutano...