Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hassani Yasini, ambaye pia ni Katibu wa Uchumi, Mipango na Fedha wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ili kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kawe katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Yasini amesema dhamira yake ni kulitumikia...
Mjumbe Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Jackline Milazi amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa kuwania ubunge Jimbo la Buchosa, kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semendu.
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Deogratius Nsokolo akizungumza kuhusu suala la wasanii na watu maarufu kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kupitia Chama hicho.
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tegemea Mbogela amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa viti maalum mkoa wa Njombe kupitia Chama hicho.
Soma,Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Udiwani Uchaguzi Mkuu 2025
Chanzo:Green FM
Mwanasheria Msomi, Emanuel Manase, amechukua fomu ya kugombea udiwani Kata ya Mbulumbulu Karatu, mkoani Arusha
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi na Mkurugenzi wa Ruangwa Pride Hotel, Mparuka Hashim Mtopela amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Ruangwa.
Soma,Pia: Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa 'Asanteni Ruangwa'...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Haroon Nyongo, amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge kwa mara nyingine katika Jimbo la Maswa Mashariki, mkoani Simiyu.
Hatua hiyo inaashiria dhamira ya kuendelea kulitumikia jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi...
Wakuu,
Wananchi wa mkoa wa Mbeya leo Julai Mosi wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ikupa Mwaifani ambaye ni Mkurugenzi wa Ikupa Financial Services
Wamemchukulia fomu hiyo kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) wakieleza lengo la...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi Mhandisi Ezra Chiwelesa kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kwa kipindi Cha 2020-2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha pili kama ulivyo utaratibu wa chama hicho.
Chiwelesa amesema matumani yake ni kuendelea...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010.
Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa...
Wakuu
====
wanawake wengi wamejitokeza kuchukua fomu katika nafasi mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 idadi hii ni kubwa
Je? ni kweli ile kampeni ya kuwainua wanawake imeanza kufanya kazi au ni wanafuata mkumbo.
Maoni yangu
Tuangalie majimbo ambayo yalikuwa yanaongozwa na...
Viongozi wa Chadema wamezuiwa kushiriki siasa kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya kila raia kuchagua na kuchaguliwa! Sasa endapo watashiriki kusikiliza kampeni ya mgombea yeyote yule litakuwa ni kosa la jinai?
Watanzania tuna majaji wa aina gani wanaovunja katiba ya nchi ili mradi...
Aliyekuwa mwanasheria wa Yanga, Wakili Simon Patrick amechukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Muleba Kusini. Simoni amekabidhiwa fomu leo Julai 2,2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Muleba Kusini, Agnes Kasela.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Francis Luhanya ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Sumbawanga Mjini baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu, Luhanya alisema kuwa ana nguvu, uwezo na nia dhabiti ya kuwaongoza wananchi wa jimbo hilo...
Baada ya kurejesha rasmi fomu ya kuwania nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), mmoja wa watia nia ameeleza kuwa hatua iliyobaki sasa ni kumuomba Mungu ili aweze kupata kibali cha kuteuliwa na chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kukamilisha zoezi la kurejesha fomu, mtia nia huyo...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini mwaka 2020/25, Deo Mwanyika (CCM) leo Julai 01, 2025 amechukua Fomu ya kuwania Ubunge awamu ya pili katika Jimbo la Njombe Mjini.
Mwanyika amechukua Fomu hiyo katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Njombe ambapo amekabidhiwa Fomu na Katibu...
Jackson Lupanda Maarufu kama Lupanda_Hd Slomo Master Kutoka Azam media Limited ametia nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ulyankulu Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.
Pia soma...
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae pia ni Mtaalamu wa Maji na Madini Eng ,Emmanuel Kisendi amechukua fomu kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Magu Mkoani Mwanza.
Eng Kisendi anasema huu ni wakati sahihi kabisa kwake kuwatumikia wanaMagu akiwa kama Mbunge wa jimbo hilo kwa kuwaletea maendeleo.
Aliyekuwa katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Toba Nguvila, amechukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Makete lililopo mkoani Njombe ameijaza na kuirudisha kwenye ofisi za chama hicho zilizopo wilayani Makete, huku akipongeza utaratibu uliopo...
Kijana Amani Dimile amejitosa kuwania ubunge katika jimbo la Mvomero. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;
"Iwe ndio, iwe hapana kazi ya mpambanaji ni kusonga mbele bila kujali matokeo ✊🏽 ..
MVOMERO ARE YOU READY ✅✅"
Pia soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.