Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Pius Chatanda, amesema wanawake nchini wanamshukuru kwa dhati Rais Samia kwa juhudi zake kubwa katika kuboresha huduma za afya kupitia ujenzi wa Zahanati, Vituo vya afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa na Kanda.
Amesema kuwa kabla ya maboresho hayo, wanawake –...
Wanabodi
https://www.youtube.com/live/_ZEl6lsHc4c?si=osZPZ2LFfZc6ACe3
Naangalia TBC live mubashara, Katibu Mwenezi wa CCM, CPA Amos Makala, ametoa siri ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi, CCM kushinda kwenye chaguzi mbalimbali na kuendelea kuishika Ikulu yetu mwaka hadi mwaka, sababu ni moja...
GTs,
Swali la kizushi.
Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, kimesema hakina nia ya kususia uchaguzi mkuu 2025, bali kinataka mabadiliko ya mifumo wa uchaguzi ndio uchaguzi ufanyike kwa misingi ya haki kwa washiriki wote.
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma, ameyasema hayo jana Visiwani...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Elisa Stephano Mungure ameeleza kuwa...
Habari wakuu
Inahitaji utulivu mkubwa kuweza kusoma mchezo, sasa hivi CCM wanakosoana wenyewe kwa wenyewe huku watu wakishangilia na kusifia viongozi wa CCM wanaoikosoa CCM.
Mtoto wa nyoka ni nyoka, na mwana CCM ni mwana CCM, once a CCM always a CCM
Hii mbinu imetumika sana miaka ya nyuma...
Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika amesema Rais Samia amefanya kazi nzuri kwenye kiwango cha kustahili alama “A+” katika kipindi cha uongozi wake.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
Asalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa.
Hali ni mbaya ni mbaya sana Taifa limebagazwa duniani huwitaji jicho la Tatu ila maamuzi magumu hayana budi kufanyika...
Mtego ulio tengenezwa ni kwamba CHADEMA wakiitisha tu mkutano wa Balaza kuu basi wamiesha, yaani hao viongozi wa Balaza kuu la CHADEMA watapitishiwa pesa za kutosha na either wafanye yafuatayo;
1. Kuto wapitisha kabisa viongozi hao wapya wa secretaroeti.
2. Kuleta fujo ya hatari sana ukumbini...
"Endapo Chadema itakaidi kutekeleza maamuzi na Maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, inaweza kuchukuliwa hatua zifuatazo.
1, Kuzitaka Mamlaka husika zichukue hatua za kisheria za kijinai kwa mujibu wa kifungu cha 8B cha sheria ya Vyama vya siasa kwa wahusika wanaojinasibu kuwa...
Swali langu huko CCM Huwa siku zote ni Moja tu, Unatakiwa uwejinga Kwanza ndio uwe Mwanaccm ? Au MTU anakua na akili yake vizuri tu kwanza alafu akishakua Mwanaccm ndio anakua Mjinga?.
RAIS Samia kupitia Msajili Kasitisha Ruzuku Kwa Chama Cha CHADEMA , hii sio vita dhidi ya CHADEMA, ni vita...
CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina
==============
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
MRADI WA KUCHIMBA VISIMA KATIKA BAADHI YA MAENEO-BIHARAMULO.
Wakati wakazi wa maeneo tofauti tofauti wilayani biharamulo wakisubilia kwa hamu kubwa mradi wa maji wa ziwa victoria bado mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa anasisitiza na kutilia mkazo uchimbaji wa visima katika baadhi ya...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025.
Msimamo huo umetolewa siku ya...
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la...
Na: Mwananchi Mzalendo
Tarehe: 27 Mei 2025
Siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita (24 May 2025), Askofu Josephat Gwajima—Mbunge wa Kawe na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM—alizungumza na waandishi wa habari na kutoa kauli nzito juu ya matukio ya utekaji yanayoendelea kushamiri nchini. Kwa maudhui...
“Lakini nimesikitishwa mno na baadhi ya wabunge ambao wanaitana nyumbani kwao na watu na kusema kwa siri kuwa ni bora Rais Magufuli aliyekufa kuliko Rais Samia aliye hai hizi nazo ni kauli mbaya na tunatoa onyo” ~ Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni.
Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite.
Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo.
Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea na kampeni yake ya kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kupitia kampeni yao maarufu ya "No Reforms, No Election" katika Kanda ya Kaskazini.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.