kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    PreGE2025 Historia kuandikwa Mbunge wa Kwanza Chauma atatoka Kizimkazi zanzibari Salumu Mwalimu

    Sijui naota au ni kweli? Nmeyapata kijiweni kwetu pale kizimkaZi Wana wanasema yupo mjomba angu atagombea na historia itaandikwa TU YAKUWA mbunge wa kwanza kutoka chama Cha Ubwabwa Tanzania atatokea kizimkazi. SALUMU MWALIMU ataje hata MJUMBE Mmoja wa nyumba kumi kutoka chama Cha democrasia na...
  2. Sifi Leo

    CCM nawashauri kataeni Ombi la VITI 20 vya ubunge kuwapa G55

    Kuna wabunge walio Kaa madarakani, Muda MREFU TETESI zina vuma Samia anataka wapigwe chini kwenye kura za MAONI Ili baada ya uchaguzi wapangiwe ubalozi nje ya nchi lakini majimbo Yao wawape wakina MREMA wa chauma na wenzake. Ombi litaletwa kwenye mkutano Mkuu baadhia ya wabunge wajiuzuru...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Wananchi wafurika kufuatilia mkutano wa CHADEMA Arusha

    Wananchi wakiwa katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha leo Jumatano Mei 28, 2025. Chama hicho leo kimeanza operesheni ya No reforms, no election katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara kunadi...
  4. Erythrocyte

    PreGE2025 Arusha: No Reforms No Election yapokelewa kwa kishindo, Sura mpya zatawala Jukwaa, Makonda apigwa na Bumbuwazi

    Kama kawaida Chadema ilianza kwa Sala za Mashehe na Maaskofu ili kuweka Ulinzi wa Mungu. Pichani ni Baba Askofu Mwamakula akiondoa nuksi Jukwaani Baada ya Dua kishindo cha Elimu kikaendelea Baada viwanja kujaa kupita kiasi wananchi wakajiongeza na kuparamia mapaa ya nyumba za Wazalendo...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Eugen Kabendera: Wamekuja CHAUMMA wapate Ubunge wa kupewa

    Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge. Pia, Soma Mmoja ya waasisi wa CHAUMMA, Eugene Kabendera aachana na ubwabwa wa Rungwe, asema Chama...
  6. P

    PreGE2025 Rais Samia akigeuza gia angani na kukemea kuhusu utekaji utaona vile kenge watavyogeuka kuwa wakemeaji! Uchawa uliokomaa!

    Ukitaka kujua tunawakilishwa na wachumia tumbo waliojaa unga kichwani, subiri Rais Samia akiamka vizuri na kukemea vitendo vya utekaji na kuagiza vyombo vya usalama vinawakamata wanaotekeleza vitendo hivyo uone jinsi sinema itakavyobadilika. Kila mbunge, waziri, kiongozi wa CCM, na chawa...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 TANZIA Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili

    Mwili wa Sheikh Jabir Haidar Al Farsi umekutwa usiku wa kuamkia leo, Jumatano Mei 28, 2025, katika eneo la Bumbwisudi akiwa tayari amefariki dunia. Taarifa za awali zinaeleza kuwa huenda marehemu alishambuliwa na watu wasiojulikana, ingawa pikipiki aina ya Vespa aliyokuwa akiitumia ilikutwa...
  8. Mzee wa Code

    PreGE2025 Tulia Ackson awaruka wabunge, asema baadhi ya kauli zilizotolewa kwenye Mjadala wa Wizara ya Mambo ya Ndani si msimamo wa Bunge

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amesema kuwa maoni yaliyotolewa na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti za Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hayawakilishi msimamo rasmi wa BUNGE Aidha, Spika Tulia amesema maoni hayo yalionesha viashiria vya ukiukwaji wa Kanuni za...
  9. P

    PreGE2025 Bien aongelea hali ya kisiasa ya Kenya bila uoga, ataja kuhusu upinzani kuminywa, utekaji na nafasi ya vijana, wasanii Tanzania wamekalia Uchawa!

    Msanii wa Kenya Bien alipata nafasi ya kufanya mahojiano katika kipindi cha Breakfast Club Power New York, Marekani, ambapo aliongea mambo mbalimbali ikiwepo hali ya siasa nchini Kenya. Amesema pia kumekuwa na matukio mengi ya utekaji, akisema kumekuwa na uhuru wa kujieleza lakini si uhuru...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Ujenzi Jengo jipya la Makao Makuu ya CCM kugharimu Bilioni 34

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho. Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: CCM iliundwa kuwa Chama cha kudumu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakikuundwa ili kuwa chama cha muda bali kiliundwa ili kuwa chama cha kudumu Akizungumza leo Mei, 28 2025 wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia: CCM tunauwezo wa kuamua, kupanga na kutenda

    Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema; "Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Amka! Pesa za walipa Kodi zinatolewa kama 'kifuta jasho'. Rais Samia, Mwinyi wagawa bahasha kwa Mrisho Mpoto akitumbuiza kwenye shughuli ya CCM

    Wakuu! Amka! Pesa za walipa Kodi zinatolewa kama 'kifuta jasho' cha Burudani. Rais Samia, Mwinyi wagawa bahasha kwa Mrisho Mpoto baada ya kutumbuiza kwenye shughuli ya CCM huko Dodoma. Soma: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?
  14. S

    PreGE2025 Walishindwa kuidhibiti Chadema kupitia support kwa Mbowe, baadae G55 na kesi feki ya uhaini, na sasa wameamua kumtumia Msajili wa vyama vya siasa

    Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema, ikashindikana. Kisha wakaanza kuwatumia wafuasi wa Mbowe ndani...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Ado Shaibu: Msajili alitukatalia teuzi, tukamalizana kibingwa, CHADEMA wamalize mechi ''Kibingwa''

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameeleza kuwa yanayotokea sasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilitokea kwao pia mwaka 2019, wakati Msajili wa Vyama vya siasa alipokataa Uteuzi wa Maalim Seif na viongozi wengine waliokuwa wameteuliwa na Halmashauri...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada. Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
  17. 888I

    PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) boresheni haya kwa huu muda uliobakia

    (Sehemu ya Pili – Mapendekezo ya Maboresho ya Kimuundo na Kiutendaji) 1. Uteuzi wa Viongozi wa INEC Kwa sasa, Rais ndiye mwenye mamlaka ya kuteua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Makamishna wa Tume. Hii inaleta wasiwasi kuhusu uhuru wa Tume, hasa ikizingatiwa kuwa Rais ni kiongozi wa chama...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt Tulia: Tuombee uchaguzi, viongozi wapatikane kwa haki

    Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel Lazaro kuwataka Watanzania kuliombea Taifa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili viongozi wapatikane kwa...
  19. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025. https://www.youtube.com/live/IocFOWt2uqY?si=7h0fUD6dBWpUH3Nc
  20. W

    PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo awashangaa wabunge wanaomshambulia Martha Karua

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema amesikitishwa na kauli za baadhi ya Wabunge dhidi ya wanaharakati kutoka Kenya na Uganda kuhamasisha matumizi ya nguvu za dola dhidi yao. Akitolea mfano wa Mbunge wa Pandani Ndugu...
Back
Top Bottom