kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa sasa ni CCM na CHADEMA ndivyo vyama vigumu kutikisika na mawimbi kirahisi

    Kwa maoni yangu hapa nchini ni vyama viwili tu vilivyokomaa na ni vigumu kuvitikisa kwa sababu zifuatazo: CCM ni chama kikongwe kimepitia misukosuko mingi kwa takribani miaka 30 pili ni chama chenye mizizi hadi vijijini kina wanachama almost 12m, tatu kina mifumo inayoeleweka na raslimali watu...
  2. 888I

    PreGE2025 Kiria Ormemei aandika barua kutia nia jimbo la Simanjiro

    Katika video aliyopakia mtandao wa TikTok tarehe 1 Juni 2025, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Simanjiro, Kiria Ormemei Laizer, ameonekana akizungumza katika ibada ya Jumapili, akitangaza rasmi nia yake ya kuwania ubunge wa Jimbo la Simanjiro kupitia chama hicho cha Mapinduzi. Kiria Ormemei...
  3. W

    PreGE2025 CHAUMMA yawajibu wanaohoji kwa nini chopa halikufika mkutanoni, wataja changamoto ya vibali na marubani kuchikichia

    Wakuu wale mliosubiri kwa hamu kuona chopa za CHAUMMA na mkatoka kapa katibu mkuu Salim Mwalimu amewajibu kwa kutumia dakika 9 kuelezea mchakato mzima uliopelekea cjopa hzio kutowasili mkutanoni hapo. Awali alieleza kuwa mamlaka zilizuia helicopter zenye usajili wa ndani, wakatafuta wakapata...
  4. Magufuli 05

    Kituko: wenzako wana sera nzuri"No reforms no Election"wewe unakuja na kwanini Hamjaiona Chopper yetu

    What is Chopper? Ni kweli watu wa Mwanza watoke majumbani kwenda kuona chopper? Mmewaona ni wajinga kiasi Gani Hadi mrundikane kuwaringishia chopper? Watu wanataka sera na siyo taarabu na mipasho. Mmepewa uwanja na halafu mnaishia kuongea mipasho tu. Wengine wazee wanaongea macho yamewatoka...
  5. B

    PreGE2025 Waziri Silaa: X(Twitter) walianza kuruhusu picha za ngono, ukiona hupati kitu mtandaoni uje Serikali inafanya kazi kumlinda mlaji

    Leo wamekubali bila chenga kuwa wamefungia X sababu ya maudhui ya ngono! Kampeni ya CCM kutaka kufungia mitandao kabla ya uchaguzi inaenda kutimia. Ila😂😂🤣 kwahiyo na Insta inafuata, Youtube, TikTok, Whatsapp, Facebook, zike channel zoteee kwenye TV nazo zitalimwa, hakuna kusikiliza miziki wala...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Ni aibu! Wasanii walioalikwa kwenye mkutano wa CCM hawajui hata ajenda zilizojadiliwa

    Kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika tarehe 29 na 30 Mei, 2025 ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali ambao waliulizwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano huo, lakini cha kushangaza hawafahamu kitu chochote majibu yao inazilisha kinawapeleka kuchukua pesa tu!
  7. USSR

    PreGE2025 Chilewesa: Chumba cha kisasa cha mionzi na X-ray ya kisasa itainu huduma bora ktk hospitali ya wilaya ya serkali Biharamulo

    UZINDUZI WA CHUMBA CHA MIONZI NA ZANA NA VIFAA IKIWEMO X-RAY MASHINE KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO -KATOKE. Baada ya kukamilika kwa majengo ya hospitali ya wilaya ya biharamulo na kuzinduliwa kuna baadhi ya huduma zilikuwa bado hazijaanza ikiwemo huduma ya mionzi hapa mbunge wa...
  8. USSR

    PreGE2025 Biharamulo:Huya ndio matumizi bora ya fedha za mfuko wa jimbo

    Wakazi wa kijiji cha Migango hawasafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya tangu zahanati hii iliyojengwa chini ya pesa za mfuko wa jimbo kutoka ofisi ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa kumalizika. Zahanati hii yenye vifaa, toa huduma na mazingira mazuri imekuwa msaada kwa wanamigango...
  9. M

    PreGE2025 Nimewasikiliza CHAUMMA kwenye mkutano wao niseme nimesikitika

    Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa? Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo...
  10. Crocodiletooth

    PreGE2025 Hongereni CHAUMMA kwa mwanzo ulio bora kabisa, chama hujengwa, na hatimaye husimama!

    Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,o Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha...
  11. Parabolic

    PreGE2025 Muliro: Walichosema Mwangi na Atuhaire ni maoni yao

    Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika...
  12. Dr Adam Francis

    Gwajimanization: Ni ngwala au mileage?

    Kufuatia Press conference ya Askofu May 24, 2025 kuhusu utekaji, utesaji na mauaji, ambapo alidai huenda kipo kikundi kinachotenda mambo haya kwa maslahi ya mwanasiasa fulani, kumekuwa na mijadala mingi kitaifa yenye hisia mchanganyiko, huku chama chake kikimwona kuwa aliyepotoka. Pamoja na...
  13. technically

    PreGE2025 Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa kwa taifa lakini kumbe mpaka kenge atoke damu!

    Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu? Kwanini Magufuli hatoi somo? Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa? Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli? Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next? Ila...
  14. J

    PreGE2025 CHAUMMA yatumia akaunti ya YouTube ya CHADEMA kutangaza na kurusha mikutano yao

    Amani iwe kwenu waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa! Katika Hali ya kustaajabisha nimekutana na Account ya Chadema ikirusha matangazo mubashara ya mkutano wa hadhara wa chama Cha CHAUMMA. Ndugu zangu wa CHAUMMA mnapinga vipi wizi wa rasilimali za nchi wakati nyie mmeiba YouTube account ya...
  15. W

    PreGE2025 Mjumbe wa kamati kuu CCM, Salim Asas asimikwa kimila kwa kumvalisha vazi maalum la kichifu Iringa

    Huenda yakawa maandalizi ya kujitosa kwenye ubunge nini? === Wazee wa mila wa Kabila la Wahehe mkoani Iringa, wakiongozwa na Chifu wa Kihehe, Adam Abdul Sapi Mkwawa, wamemsimika kimila Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (MCC), Salim Abri Asas, kwa kumvisha vazi maalum la kichifu na kumkabidhi jina la...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Shinyanga, Emmanuel Ntobi na Glory Tausi wajiunga na ACT Wazalendo

    Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi amehamia chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu. Akizungumza leo Juni 03, Ado amesema "wapiganaji ambao wamegonga mlangp hapa ACT tumekuwa tukiwapokea leo...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Getere ataka Bima ya Afya kwa Wabunge iongezewe muda, aeleza hofu ya Kufia Jukwaani wakati wa Kampeni

    Mbunge wa Jimbo la Bunda Bonface Mwita Getere leo Bungeni Jijini Dodoma ametaka Bima ya Afya kwa Wabunge ifike muda wa matumizi yake hadi mwezi wa 11. Soma, Pia: Mbunge Francis Mtinga ataka wananchi wakatwe asilimia 10 ya kila vocha anayonunua kusaidia kwenye mfuko wa bima "Mheshimiwa...
  18. M

    Taratibu za kufuta/kusitisha kazi za Jumuiya au Taasisi ya Kidini. Je, Kanisa la Gwajima limefungwa Kihalali?

    Nivema kutambua kwamba Katika muktadha wa Tanzania, utaratibu wa kisheria na kikanuni wa kufuta dhehebu au jumuiya ya kidini unategemea masharti yaliyowekwa chini ya sheria na kanuni husika na siyo hisia au msukumo wa kisiasa wa mtu na hasa kwa kuzingatia 1. Sheria ya Jumuiya za Kijamii (The...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Meya Kinondoni, Songolo: Nchi ina Katiba na Tume Huru ya Uchaguzi, No Reforms No Election haina maana

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songolo Mnyonge, amewataka viongozi wa CHADEMA kuacha chokochoko za kisiasa ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi, hasa kipindi hiki taifa linapoelekea kwenye uchaguzi. Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kumaliza uzinduzi wa vijana kuelekea siku ya...
  20. E

    Rais Samia usifikiri unaungwa mkono, wanakuangalia tu wakichoka watarudisha mpira kati

    Wanazengo wanasema ushauri si lazima upokelewe ila mjumbe hauwawi. Nimeona na mimi niandike kwasababu uwezo ninao na nia pia juu ya haya yanayoendelea kila mtu anaruhusiwa kuandika lake liwe la kweli au uongo sio kosa. Mimi kama Mtanzania wa kawaida kabisa ninachokiona kinaendelea nchini...
Back
Top Bottom