kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Rais Samia: Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini ni "watumishi wa ushetani'

    Akiwa anazungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT, Rais amesema: ""Nilikuwa namsikiliza Katibu Mkuu wa Dayosisi hii ametaja mambo kadhaa ambayo kanisa hili linafanya katika sehemu mbalimbali nchini. Sasa ndugu zangu huu ndio utumishi wa...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT Wazalendo

    Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 ametangazwa kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo. === Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 anatarajiwa kutangaza kujiunga na...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Ziara ya No Reforms No Election yapiga Hodi Jimbo la Mlimba, tazama ubovu huu wa barabara

    Msafara wa makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche leo tarehe 5, June 2025 ukiwa tayari umewasili katika jimbo la Mlimba tayari kwa mikutano ya hadhara. Video Jambo TV
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rushwa ya ngono isipate nafasi katika kipindi hiki cha Uchaguzi

    Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, na kama tunavyoendelea kushuhudia, mambo mengi yanaendelea hapa nchini katika ngazi mbalimbali za kisiasa. Ningependa kusema jambo muhimu sana kwa maslahi ya demokrasia na usawa katika jamii yetu. Kuna tabia potofu ambazo zimekuwa zikijitokeza kila uchaguzi...
  5. USSR

    PreGE2025 Mbunge wa Biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa achangia ujenzi wa ofisi ya CCM ya kata ya Nemba

    UJENZI WA OFISI YA CCM NEMBA . Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewaunga mkono wanaCCM wa kata ya nemba na Diwani wao Mh Mihayo Miganyalo katika kujenga ofisi ya kisasa ya kuwatumikia wanaCCM katani nemba . "Hili ni jambo kubwa sana nampongeza Diwani wenu Mihayo Miganyalo kwa hili...
  6. Erythrocyte

    PreGE2025 Ratiba mpya ya Mikutano ya No Reforms No Election yatolewa, Angalia siku ambayo Kijiji chako kitapitiwa

    Hivi ndivyo Chadema walivyotoa Ratiba yao kwa Kanda ya Kati Nyingine hii hapa Ni vema ukaangalia siku ya kijiji chako ili usipitwe ukajilaumu
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 John Mrema: CHADEMA 'imeuzwa' ndiyo maana tumeondoka

    Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo. Mrema ameyasema hayo katika...
  8. Z

    PreGE2025 Kabla ya kampeni na hasa kabla ya uchaguzi ,CCM ijitahidi kupatana na wakuu wa dini,vinginevyo tutaanguka vibaya kama tume ni huru

    Ni dhahiri kwamba ule upendo wa dhati kutoka kwa wakuu wa dini kuipenda CCM unaweza kufikia .kwa inavyoonekana kuna mafarakano kati ya CCM , na wakuu wa dini. Hii ni hatari kwa chama tawala .hivi leo wakuu wote wa dini kwa umoja wao wa wazi na wa siri wakaamua kuwaambia waumini wao...
  9. Nyankurungu2020

    Hoja ambazo zinakwenda kuipasua CCM na kuinyima kura uchaguzi mkuu 2025

    Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi. Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo. Utekaji ubambikiaji kesi. Hii...
  10. Antonio de Guzman

    Kwenye ofisi za CHAUMMA mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao

    Kwenye ofisi za CHAUMMA mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao za mafuta waliyotumia kwenda kwenye mkutano wao leo
  11. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Kiwanda cha Kusafisha na Kuongeza Thamani Madini Adimu Kujengwa Kijijini Ngwala, Songwe

    ▪️Uendelezaji wa Mradi kuanza rasmi Disemba 2025 ▪️Ni mradi wa Madini Adimu utakaogharimu Bilioni 771 ▪️Waziri Mavunde azindua zoezi la ulipwaji fidia wananchi 192 ▪️Wananchi wamshukuru Rais Samia kwa mazingira ya uwekezaji ▪️Serikali kuvuna mapato ya zaidi ya Trilioni 12 Ngwala, Songwe...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA yamburuza Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakamani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ametangaza kuwa chama hicho kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, akisema ni kinyume na sheria na demokrasia. Ametoa kauli hiyo leo Juni 4, 2025, Jijini Dar es Salaam alipowasilisha maazimio ya Kamati Kuu ya chama...
  13. McLaren

    PreGE2025 Video: Wananchi waungana kuwazomea CHAUMMA kwenye mkutano wao wa Serengeti. Washangilia "No Reforms No Election"

    Wakuu, Nadhani at this point CHAUMMA ingehairisha mikutano yake ikajipange upya. Ni aibu sana mpaka wananchi wanafikia point ya kuwazomea mikutanoni. Yaani machoni mwa wananchi hiki chama kinaonekana ni cha Wasaliti na Watu Wasiojitambua. Aibu gani hii?
  14. W

    PreGE2025 Heche alaani kitendo cha polisi kushambulia raia mahakamani. Aliyeonekana akishambuliwa kwenye video afunguka

    https://www.youtube.com/watch?v=6Z3BEm0TZp0 Freddy Chacha Akieleza kilichowatokea baada ya kukamatwa na kupelekwa Mkuranga waliambiwa wanywe maji yaliyokuwa na sumu kwa sababu wameshindwa kumuheshimu mama aliyewaletea maji safi. Amesema pia ana ushahidi wa video jinsi walivyochkuliwa na polisi...
  15. W

    PreGE2025 Hatimaye CHAUMMA wabadilisha account ya YouTube ya CHADEMA kuwa CHAUMMA Media TV, Heche hakumsingizia Mrema

    Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha. Nilijua Heche alimsingizia Mrema ila kwa hili analolifanya asee Pia soma Madai ya Heche Pre GE2025 - John Heche...
  16. W

    PreGE2025 CHAUMMA siyo kwa ubaya ila mnapaswa ku-Move on sasa siyo kila siku kuwatajataja CHADEMA

    Hawa lastborn wa siasa kila siku kuwataja chadema kwenye mikutano yao wanashindwa kuweka sera zao. Wanatumia muda mwingi kuwakosoa chadema kutoshiriki uchaguzi. Kama wao wameamua kushiriki si washiriki tu kuna haja gani ya kuwafuata fuata chadema kila siku. Katibu mkuu wao huko Mwanza leo asema...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Majonzi! Baba wa Watoto Wanne Atekwa, Kupotezwa na Watu Waliotumia Landcruiser Nyeupe

    Majonzi! Baba wa Watoto Wanne Atekwa, Kupotezwa na Watu Waliokuja na Landcruiser Nyeupe Manase Daniel Batwenga (39) ni mfanyabiashara wa vipuri huko mjini Kigoma, alitekwa na kupotezwa mnamo Februari 10, 2025. Watu wenye silaha, ambao hawakujitambulisha walifika ofisini kwake wakiwa na...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  19. W

    PreGE2025 Rungwe asema wao lengo lao ni kuwapambania wananchi wapate chakula (ubwabwa)

    Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe amesema lengo lao ni kuhakikisha wanawapambania wananchi kwa habari ya chakula kila mwananchi apate ubwabwa. Amesema anashangazwa na wagonjwa mahospitalini kutokupewa ubwabwa wakati wanalipa kodi.
  20. W

    PreGE2025 Rungwe: Wenzetu ambao hawashiriki uchaguzi hatuwezi kuwalazimisha

    Wakuu hivi hawa CHAUMMA wanaamini kweli watapata kiti hata kimoja? === Mwenyekiti wa CHAUMMA wakati wa mkutano wao wa hadhara Juni 4, 2025 ameeleza kuwa wao wameona kutoshiriki uchaguzi haleti maana na hawawezi kususia na kuhusu wenzao waliogoma kushiriki hawawezi kuwalazimisha.
Back
Top Bottom