kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima amefikiwa, Maria Sebastian achukua fomu ya kumrithi Kawe

    Mwenyekiti wa Uchumi, Uwezeshaji na Fedha katika Kamati ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Maria Alphonce Sebastian, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2025. Akizungumza na...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Magambo Samwel ajitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Kishapu

    Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Magambo Samwel amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Kishapu kwa kuchukua fomu leo hii. Magambo amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM wilaya ya Kishapu Peter Mashenji. Baada ya kukabidhiwa fomu hiyo Magambo amesema suala la kilimo litakuwa ajenda...
  3. Waufukweni

    GE2025 Miriam Mjema ajitosa kuwania Ubunge Same, Mashariki kupitia CCM

    Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Same, Miriam Mjema amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama cha Mapinduzi kuwania Ubunge katika Jimbo la Same mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi za ccm wilaya...
  4. Just Pray

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma ajitosa kuwania ubunge Dodoma Mjini

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini katika uchaguzi mkuu ujao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Juma Aweso ajitosa tena kugombea ubunge jimbo la Pangani

    Waziri wa maji Juma Aweso naye amechukua fomu ya ubunge jimbo la Pangani kutetea nafasi yake tena katika kipindi kingine cha miaka 5 ijayo Ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa kibali; Nimechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya chama cha...
  6. DR HAYA LAND

    GE2025 Meneja wa singeli Kandoro achukua fomu kugombea ubunge jimbo la Mbagala

    Naona sasa huu umekuwa utani Namshukuru Mwenyezi MUNGU ,Rasmi nimetia ya kugombea Nafasi ya Ubunge jimbo la MBAGALA !! Wana Mbagala mimi ni mwenenu naombeeni mnipokee kwa mikono miwili
  7. Waufukweni

    GE2025 Ahmed Salum achukua fomu kuomba ridhaa ya kuendelea kulitumikia Jimbo la Solwa

    Mbunge wa Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga, Mhe. Ahmed Ally Salum, leo Juni 28, 2025, ameonesha nia ya kuendelea kulitumikia jimbo hilo kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea tena nafasi ya Ubunge katika uchaguzi mkuu ujao. Ahmed Salum, ambaye amekuwa Mbunge...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 John Mwita achukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Kawe

    Kada wa Chama cha Mapinduzi John Warioba Mwita amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi leo tarehe 28 Juni 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  9. Just Pray

    GE2025 Mwandishi wa habari, Charles Mwakipesile achukua fomu kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mbeya mjini

    Mwanahabari Charles Mwakipesile amechukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya mjini
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Joffrey Mwankenja achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa

    Joffrey Mwankenja mkazi wa Chunya Mkoani Mbeya amejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya leo Juni 28 kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Injinia Germano Ngusa atinga na baiskeli kuchukua fomu ya ubunge Jimbo la Nzega Vijijini

    Mhandisi wa masuala ya Ujenzi na Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Injinia Germano Barnabas Ngusa ,amejitosa kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Nzega Vijijini. Mhandisi Ngusa alichukua fomu leo Juni 28,2025 majira ya saa mbili kamili asubuhi katika Ofisi za Chama...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Peter Kimaro atinga na gari la milioni 400 kuchukua fomu ya Ubunge jimbo la Hai

    Watu wameanza kuonyesha jeuri ya pesa au tusemeje? ===================== Leo, Juni 28, kijana mwenye maono na elimu ya uchumi, Peter Kimaro, amewasili kwa mbwembwe katika ofisi za CCM kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Hai kwa mwaka 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Charles Kitwanga naye achukua fomu Jimbo la Misungwi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa zamani wa Misungwi, Charles Kitwanga, amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  14. DodomaTZ

    GE2025 Dkt. Mafwenga achukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka Mafwenga ambaye pia ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dk. Tulia Ackson achukua fomu ya ubunge Jimbo la Uyole

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Uyole, mkoani Mbeya. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  16. Mikopo Consultant

    GE2025 Bila CHADEMA, CCM wanaenda kupiga 100% - 0%, sioni nafasi ya ubunge wa kupewa wanaouota ACT na CHAUMMA

    Ubunge wa kupewa, kama ambavyo iliotwa na NCCR Mageuzi mwaka 2020, ni kitu kisichotekelezeka; japokuwa ahadi yake huwa ni tamu sana masikioni mwa vyama vya upinzani visivyotaka kuchutama ili kuokota vya chini. Sababu kubwa ya ni kwanini hichi kitu ni kigumu kutekelezeka ni kwamba, ndani ya...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 DJ wa Diamond, RDJ ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala

    DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM. RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mfanyabiashara maarufu Dar, Gaston Francis achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Kawe

    Gaston Meltus Francis, ni Mfanyabiashara maarufu katika Jiji la Dar es salaam na Kada wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) pia ambaye leo June 28 2025 amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kawe, Dar es salaam ambalo ni moja ya Majimbo yenye ushindani mkubwa ndani ya Dar es salaam. Kupata...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Makalla awaonya watendaji wa CCM wanaolangua fomu za ubunge na udiwani

    Wakati uchukuaji na urejeshaji wa fomu kwa wanaotaka kugombea ubunge na udiwani, ukianza leo Jumamosi, Juni 28, 2025 kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), harufu ya mchezo mchafu imeanza kusikika.
 Imeelezwa kuwa baadhi ya wagombea wanaokwenda kwenye ofisi za CCM kwa ajili ya kuchukua fomu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

    Haya sasa kumeanza kuchangamka sasa! Makonda huyooo!, huku ni kimzoom kwa mbali Mrisho Gambo ======================= Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kupata matukio na...
Back
Top Bottom