Mapema leo Juni 28, 2025 aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa katika Mikoa ya Geita, Mara na Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi, amefika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Geita na kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini katika uchaguzi wa mwaka 2025.
Injinia Gabriel ambaye siku...
Jesca Magufuli ambaye ni Mtoto wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. John Pombe Magufuli, leo June 28 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa.
Jesca ni Binti ambaye amejipambanua kama sauti ya matumaini kwa Vijana na...
Balozi Liberata Mulamula amechukua fomu rasmi leo tarehe 28/6/2024 katika Ofisi za UWT, Taifa, zilizopo jijini Dodoma, kuwania kiti cha ubunge Viti Maalum katika kundi la Vyuo Vikuu katika uchaguzi ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Tangazo Kwa Wanachama na kwa Umma
Chukua taarifa hii kwamba, fomu za kuomba kugombea Udiwani, Uwakilishi na Ubunge kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi, zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 01 Julai, 2025 na mwisho wa kurejesha ni tarehe 22 Julai, 2025.
Fomu zitapatikana katika ofisi za chama...
Wakuu,
Wakati mwanaye akiendeleza harakati pale Chipukizi, baba mtu naye amaeamua kujitosa udiwani kata ya Mchikichini, Dar es salaa.
===
Nurdin Bilal Ally Juma alimaarufu kama Shetta amechukua Fomu ya Kutia Nia ya kugombea Udiwani kata ya Mchikichini - Ilala Jijini Dar Es salaam.
Hapa Shetta...
Mbunge wa Jimbo la Lupembe anayemaliza Muda wake Edwin Swalle amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Lupembe.
Swalle amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi Juni 28, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Njombe, Mariam Kireti.
Swalle ameongoza Jimbo la Lupembe kwa kipindi cha Miaka...
Mratibu wa Shughuli za Utawala Uplands Fm Redio Ndugu Noby James Swalle amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mji Mwema Halmashauri ya Mji Njombe, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM.)
Ndugu Noby amekabidhiwa fomu mapema leo Jumamosi Juni 28, na Katibu wa CCM wa Kata ya Mji...
Mtangazaji na mwanaharakati wa kijamii, Mkuwe Abdul Isale maarufu kama Mamy Baby, ameonyesha nia ya kulitumikia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum.
Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Tabora, Mamy Baby...
Wakuu
Daniel Chongolo ameamua kujitosa katika mbio za kugombea ubunge zinazoendelea kupitia tiketi ya CCM.
===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika
"Namshukuru Mungu, nimefanikiwa kuchukua na kurejesha fomu salama za kuomba ridhaa ya Ubunge katika jimbo la Makambako mkoani Njombe...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe Bwana Aloyce Mwenda amechukua fomu kuomba ya Ubunge katika Jimbo la Lupembe.
Bwana Mwenda amesema Yupo tayari kuwatumikia Wananchi wa Jimbo La Lupembe endapo Chama Cha Mapinduzi(CCM) kitampa ridhaa ya kuwa Mgombea Ubunge.
Chanzo: Uplands Fm
Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Ilongero mkoani Singida.
Nyalandu amewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo zamani likiitwa Singida Kaskazini kwa vipindi viwili, amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 28, 2025 na Katibu wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa endapo atapata ridhaa ya chama, atakuwa tayari kuwania nafasi hiyo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi.
Akizungumza mara...
Mwandishi wa habari wa channel ten Adam Malima amechukua form ya kuwania kuteuliwa na chama cha mapinduzi CCM kugombea ubunge wa jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma.
Adam Malima ambae ni mzaliwa katika jimbo hilo ameeleza kuwa dhamira yake ni kuhakikisha kuwa anaifungua Mpwapwa ili iwe kubwa zaidi...
Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea jimbo la Dodoma Mjini.
Leo chama hicho kimefungua pazia kwa makada wake kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania Ubunge na Udiwani.
Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa Iringa Fadhili Ngajilo ametangaza nia ya kutaka kugombea Ubunge Kuelekea katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025.
Ngajilo ametoa azma yake ya kulitaka Jimbo la Iringa Mjini mara baada ya kujitokeza katika Ofisi za CCM Wilaya ya Iringa Mjini Leo kuchukua Fomu ya Ubunge na...
Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Dkt. Tulia Ackson katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2025 hapa nchini.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Uyole Adil Mwansepele amesema kilichowasukuma...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla;
"Uongozi haununuliwe, ukiona mtu ananza kuhangaika huko anapita kutembeza senti huyo hakusudii kuwatumikia watu. Hiyo sio aina ya Uongozi bora"
"Wanawake msiwe ngazi kuwapandisha...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla,
"Tafadhalini sana, tusitumike vibaya, sisi viongozi ukiingia kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) tunatakiwa kuwa waadilifu, ukiingia kwenye Chama cha Mapinduzi unakula kiapo"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.