GE2025 Wanaoanza kampeni kabla ya muda Handeni wapewa onyo kali

GE2025 Wanaoanza kampeni kabla ya muda Handeni wapewa onyo kali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,119
Reaction score
7,174
Ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi la uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga, baadhi ya wagombea waliyojitokeza wameeleza kuridhishwa na maandalizi yaliyofanywa na chama katika wilaya hiyo.

Zoezi hilo linahusisha waombaji wa nafasi za ubunge na udiwani, ambapo hali ya utulivu na usimamizi mzuri umeonekana kuvutia wagombea na wadau wa chama.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katibu wa CCM Wilaya ya Handeni, Mayasa Kimbau, amewapongeza waliojitokeza lakini pia ametoa angalizo kwa wote waliopokea fomu kuwa ni marufuku kufanya kampeni kabla ya muda rasmi wa kampeni kutangazwa.

 
Back
Top Bottom