"Rais tuliyenaye mama Samia (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) haitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwa sababu Mungu ameshamuweka ni Rais wetu sio tu wa kipindi hiki kimoja (mtanishangaa na kusema Askofu Shoo kapiga siasa, aah mimi nilionyeshwa na niliyasema mwanzo mwa kuingia kwa Rais, wale waliokuwa wakisema aah sijuwi nini mwanamke huyu nikawaambia hapana Mungu amepanga iwe hivyo na huyu ndiye atakuwa Rais wetu na sisi tutamuheshimu) kuna wanaotamani kwamba amalizie kwa kipindi hiki na mimi niliwauliza kwa nini sio vipindi viwili?" -Askofu Shoo
Kupata vimbwanga wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Hawa Marais wetu tumeweka historia nzuri tu kwa mujibu wa Katiba kuwa Marais wanakaa kwa vipindi viwili huyu mnasema aishie kipindi kimoja kwa kuwa ni mwanamke?, acheni hiyo, acheni hiyo ndugu zangu, ni kwa neema ya Mungu tumepewa Rais huyu na kwa neema hiihii atahitimisha kipindi hiki cha muhula wa kwanza na kwa neema hiyohiyo ataongoza salama kwa kipindi cha pili lazima, ilimradi tu Watanzania tukiacha unafiki tuseme tuone yale ambayo ametenda, sisi hatuna mashaka, tunamuombea na Mungu atasikia maombi yetu" -Askofu Shoo
Ni ujumbe wa Askofu Dkt. Fredrick Shoo ambaye ni Mkuu wa zamani wa Kanisa la KKKT.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Askofu Bagonza: KKKT ina Mkuu wa Kanisa mmoja tu