kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    LGE2024 Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

    "Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa." Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara. Kupata...
  2. Mindyou

    LGE2024 Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

    Wakuu, Mnaweza kuta CCM ni chaneli ya vituko na vichekesho huko duniani. Kwani Vimbwanga vinaendelea katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hivi karibuni Stephen Motambi ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Rais Tawala...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Wananchi waipongeza TAMISEMI mchakato Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mbona ghafla kila sehemu wanaanza kuipongeza OR TAMISEMI? Yaani ni kama wote wamepewa script moja :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:, mbinu ni zile zile CCM hamjui kunyumbulika kabisa! ===== Kupata mijadala kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
  4. Mindyou

    LGE2024 Mkuu Wa Mkoa Simiyu: Mwananchi ukishapiga kura rudi nyumbani ukalale. Mambo ya Uchaguzi achia mamlaka za Uchaguzi!

    Wakuu, Hivi mna uhakika hawa viongozi wanaoteuliwa na Rais huwa wanafanyiwa vetting kweli kabla ya kupewa vyeo? Wakati nazunguka leo mtandaoni nimekutana na clip ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi ambaye ni kama alikuwa anatishia wananchi kushiriki katika zoezi la kulinda kura...
  5. Cute Wife

    LGE2024 TAMISEMI yawanoa Waandishi wa Habari Mtandaoni (Online TV) kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuhakikisha hawatoi taarifa kwa upendeleo

    Wakuu, Inashangaza pale unakuta kichwa cha habari kutoka online TV kinakuwa kama kaandika Lucas Mwashambwa, nilikutana nayo juzi wakati nataka nichukue risiti wakawa wamefuta bana. Kwa jinsi ilivyoweka wallah ule mwandiko ulikuwa wa Lucas Mwashambwa. ====== Wizara ya Ofisi ya Rais, Tawala...
  6. Just Pray

    LGE2024 Babati: Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amewataka wagombea kuwasilisha mapingamizi mapema

    Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Khalifan Matipula ametoa wito kwa wagombea ambao hawajawasilisha mapingamizi yao kuyawasilisha mapema ili yaweze kufanyiwa kazi kwa wakati. Pia soma: Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa...
  7. The Sheriff

    Jaribio la Utekaji wa Deogratius Tarimo: LHRC yahimiza uchunguzi wa haraka, jamii kutimiza wajibu wa kulinda uhai kila mtu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
  8. incredible terminator

    Video ya mfanyabiashara alienusurika kutekwa kwa mtazamo wa kiuchambuzi Inafikirisha sana

    Kwanza kabisa Video hii tukiiangalia kwa jicho la uchambuzi na kiudadisi kuna vitu vinatia wasiwasi, pengine tukio hilo limetengenezwa kimkakati kwa ajili ya masrahi ya watu flani. Aina mtu aliekuwa anataka kutwekwa, sio mwanaharakati wala mlengwa wa kisiasa, hii inamaanisha tukio hilo...
  9. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa kujifanya wagombea wa vyama vya siasa ili kuwawekea mapingamizi wapinzani

    Wakuu, Crackdown ya kuengua vyama vya upinzani kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inaendelea. Huko Lindi, viongozi wa CUF na ACT Wazalendo wameoneshwa kusikitishwa na hivyo kuwatupia lawama wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile kinachodaiwa kuenguliwa kwa wagombea...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Mara: Walioenguliwa uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kurejeshwa, wananchi wapongeza

    Wakuu, Mchengerwa alitekeleza agizo la chama bana, kupuuzia haya mambo madogo madogo maana demokrasia yetu ni changa:BearLaugh: :BearLaugh: Kupata habari za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
  11. Cute Wife

    LGE2024 Mara waridhishwa na mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa, waomba mamlaka ziendelee kufanya kazi nzuri ili haki ipatikane kwa kila mgombea

    Wakuu, Hawa wanamvua nguo Nchimbi aliyesema demokrasia yetu bado changa na hivyo OR TAMISEMI ilegeze kamba kidogo! Watu maefurahia zoezi yeye anataka waonekane wanoko! ==== Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa mkoani Mara wameeleza kuridhishwa na mchakato wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Hai: Wagombea CHADEMA wadai kujaziwa fomu kuwa walemavu

    Wakuu, Huu uchaguzi kiboko! ==== Baadhi ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti katika vijiji vya Uswaa, Mamba na Kiselu katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamelalamika kuenguliwa majina yao huku baadhi yao wakidai fomu zao zimeongezewa maneno na alama, wengine fomu zikionesha kuwa...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!

    Wakuu, Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala? ===== Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni wilayani Arumeru kupitia mwenyekiti wake, kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao. PIA SOMA - LGE2024 -...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Arusha: TLP walia na wagombea wake kuenguliwa, wakata rufaa

    Wakuu, Kilio ni kile kile kwa wapinzani, balaa sana, huku kuna watu wamepongeza TAMISEMI kwa kufanya zoezi vizuri!:BearLaugh: ==== Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mkoa wa Arusha kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao waliowasimamisha kwenye nafasi za uenyekiti katika mitaa mbalimbali...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 INEC watoa elimu kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ili kuliweka tayari Jeshi la Polisi wakati wa mchakato wa Uchaguzi

    Wakuu, Mambo yanazidi kuiva.. ==== Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, Novemba, 2024 imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 LGE2024 Kahama: TAKUKURU waonya Chawa wanaotumika kugawa fedha na zawadi ili wagombea wao wachaguliwe

    Wakuu, Kwahiyo lile gari alilotoa Rais Samia kupitia Makonda kwa yule shehe Arusha, TAKUKURU.... au basi! ==== Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka huu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Kahama imesema itachukua hatua za...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Mchengerwa: Muda bado upo, wagombea wakate rufaa

    Wakuu, Wakienda kukata rufaa wanakuta ofisi zimefungwa! Imekuwa kama mchezo wa paka na panya! ==== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema wagombea wa uchaguzi wa Serikali za mitaa ambao hawakutendewa haki, bado wanayo...
  18. Cute Wife

    LGE2024 TAMISEMI yasema Ujasiriamali ni kazi halali, si sawa kutumika kuengua wagombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kwahiyo wale walioenguliwa kwa kigezo hiki wanakuwa ndio wamerudi kwenye kinyang'anyiro au ndio wameondolewa hivyo hivyo kwa uonevu? ==== Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Lissu: CHADEMA tunahitaji kurudi nyuma na kujipanga upya, kwenda mbele kwenye mazingira haya ni kujihahakishia anguko

    Wakuu, Wakati akijibu swali la mwandishi kwenye mkutano wake na waandishi Singida; (Uchaguzi umekwisha wanatakiwa wajipange upya, je, wanaimba mwimbo mmoja) Tundu Lissu amesema; ====== "Mimi napenda kuamini tunaimba wimbo mmoja, kama hatuimbi wimbo mmoja basi tutakuwa na hali mbaya sana...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

    Wakuu, Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi. ===== "Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati. Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
Back
Top Bottom