kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    Askofu Bagonza: Kama tatizo ni Askofu mkamateni yeye

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hatua zinazoendelea kuchukuliwa dhidi ya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, ikiwemo kutawanywa kwa mabomu ya machozi na polisi wakati wa ibada, zinaathiri taswira ya taifa na ni...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Askofu Bagonza: Uchaguzi bila CHADEMA ni kama uchaguzi bila CCM

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa taifa linapitia mkwamo wa kisiasa na kiutendaji ambao unahitaji hatua ya dhati ya kujitafakari na kurudi kwenye misingi ya mazungumzo, siyo mapambano. Akizungumza hivi karibuni...
  3. Roving Journalist

    GE2025 Sababu za Rais Mwinyi kusogeza kulivunja Baraza la Wawakilishi hadi Agosti 13, 2025

    Kumekuwa na hisia tofauti kufuatia Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuahirisha kulivunja Baraza la Wawakilishi jana Juni 23, 2025 na kusogeza hadi Agosti 13, 2025 akisema ni kutokana na matayarisho ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Baadhi ya wachambuzi wameihusisha hatua hiyo na...
  4. M

    Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

    Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Omary Mungia achukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Korogwe Mjini

    Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Mhandisi Omary Mungia ameingia kwenye mbio za kuwania ubunge kwa tiketi ya chama hicho, baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa kugombea katika Jimbo la Korogwe Mjini.
  6. R

    GE2025 Mgombea Urais ADC Wilson Elias: Nitafungua milango kwa Mataifa yote kuja kuomba ajira Tanzania bila kubagua, dunia imekua kijiji

    Wilson Elias, Mgombea pekee wa nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Alliance Democratic Change (ADC) mara baada ya aliyekuwa akiwania pia nafasi hiyo kukosa vigezo, amesema kuwa ajenda yake kuu ni kuimarisha ajira ikiwa ni kufungua milango...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Mhandisi Maryprisca Mahundi achukua fomu ya kuomba Ubunge wa Viti maalum Mkoa wa Mbeya

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amaechukua fomu ya kuomba Ubunge wa Vitimaalum Mkoa wa Mbeya.
  8. PAYE

    GE2025 Dkt. Catherine Joachim achukua fomu ya kugombea Ubunge Viti Maalum, kupitia Umoja wa Wazazi CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati ya Afya na Mazingira Umoja wa Wazazi Taifa, Dkt Catherine Joachim, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum katika Umoja wa Wazazi Jumuiya ya Chama cha Mapinduzi. Dkt Joachim amekabidhiwa fomu hiyo tarehe 29 Juni, 2025 na Bi...
  9. PAYE

    GE2025 Tinson Nzunda ajitosa Ubunge Vwawa, achukua fomu CCM Mbozi

    Mfanyabiashara na mkulima wa mazao ya Kahawa, Parachichi ,Macadamia na mahindi wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Tinson Tuloline Nzunda amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Vwawa. Nzunda amekabidhiwa fomu leo June 29,2025 na katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya...
  10. PAYE

    GE2025 Essau Jeremia Mbukwa achukua fomu ya kugombea Udiwani, Kata ya Malangali kupitia CCM

    Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Essau Jeremia Mbukwa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya Udiwani kata ya Malangali. Mbukwa amechukua fomu hiyo June 28,2025 katika ofisi za kata ya Malangali.
  11. kyagata

    GE2025 Msanii Harmorapa ametia nia kugombea Ubunge jimbo la Mtwara mjini

    Msanii Harmorapa nae ameitumia haki yake ya Kikatiba kwa kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini
  12. PAYE

    GE2025 Raphael Kayuni ajitosa tena Ubunge Ileje kupitia CCM, achukua fomu rasmi

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na mdau Mkubwa wa Michezo na Maendeleo Wilayani Ileje Mkoa wa Songwe Ndg Raphael Kayuni amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Ileje mkoani Songwe kupitia Chama hicho Kayuni amechukua fomu hiyo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Ileje June 28 2025...
  13. McLaren

    PreGE2025 Afisa TEHAMA ACT Wazalendo Glory Tausi achukua fomu ya kugombea Ubunge ACT Wazalendo

    Afisa TEHAMA Makao Makuu, Grory Tausi, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe. Fomu hiyo imekabidhiwa rasmi na Mwenyekiti wa jimbo hilo, Perpetua Martin Mafa.
  14. PAYE

    GE2025 Msanii Almas Tz achukua fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mwaka Kati, Tunduma

    Msanii wa Kizazi kipya Mkoani Songwe, Almas Tz amechukua fomu kugombea Udiwani Kata ya Mwaka Kati, Tunduma mjini. Almas Tz anaye tamba na kibao chake cha "Mwakata" amechukua fomu mapema June 28 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Mwaka Mjini.
  15. PAYE

    GE2025 Adeni Mwakyonde ajitosa tena Ubunge Tunduma, aichangamkia fomu kupambana na David Silinde

    Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Songwe Adeni Mwakyonde amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania ubunge katika Jimbo la Tunduma. Mwakyonde amechukua fomu hiyo tayari kuchuana na Mbunge wa Jimbo hilo na Naibu Waziri wa Kilimo anayaliza...
  16. McLaren

    GE2025 Aida Yusuf achukua fomu ya Udiwani Viti Maalum Kibaha

    Shabiki maarufu wa klabu ya Yanga Aida Yusuf amechukua fomu ya udiwani viti maalumu kibaha kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  17. PAYE

    GE2025 Yothamu Ndile achukua fomu kutetea nafasi ya Udiwani Kata ya Mlale, Ileje

    Aliyekuwa diwani wa kata ya Mlale wilaya ya Ileje Mkoani Songwe kuanzia mwaka 2020_2025 Yothamu Ndile amechukua fomu ya kutetea nafasi hiyo ya udiwani kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Ndile amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa chama cha Mapinduzi kata ya Mlale Kasiwelo Mwasenga katika ofisi...
  18. R

    GE2025 Esther Matiko ataja sababu za kujiunga CCM

    Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Esther Matiko Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Akizungumza na wanahabari, Matiko kando ya kuwashukuru Watanzania kwa...
  19. DuaZaMama

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Geita Manjale Gambo achukua fomu nafasi ya Ubunge Geita Mjini

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Manjale Magambo amechukua fomu kuomba uteuzi wa kuwania ubunge katika Jimbo la Geita Mjini. Magambo amekabidhiwa fomu hiyo Juni 28,2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Geita, Michael Msuya.
  20. PAYE

    GE2025 Kada wa CCM Hezroni Mtawa achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ileje

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ileje Mkoani Songwe Hezroni Mtawa ambaye pia ni Mhadhiri Chuo Cha Mipango Dodoma amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ileje. Amekabidhiwa fomu hiyo mapema June 28,2025 na katibu wa chama hicho wilaya ya Ileje Hassan Lyamba ,huku akisema endapo...
Back
Top Bottom