Kasimu Matimbwa, mtaalamu wa maji na mchambuzi wa miamba (Hydrogeologist), amejitokeza rasmi kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akiwa na umri wa miaka 33, Matimbwa ni miongoni mwa wagombea vijana waliojitokeza...
Shirikisho la Watumishi Makada wa Chama cha Mapinduzi - CCM Halmashauri ya Mji Nanyamba, mkoani Mtwara wamemlipia gharama ya shilingi 500,000 ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho mbunge anayetetea nafasi yake katika Jimbo hilo Mhe. Abdallah Dadi Chikota...
Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Tanga, Omar Ayoub amechukuwa fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Tanga.
Ayoub ambaye ni Katibu Mkuu wa Timu ya Coastal Union amekabidhiwa fomu leo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tanga, Jamal Abas.
Rachel Mashishanga amechukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UWT Mkoa wa Morogoro, kwenye ofisi za UWT Mkoa wa Morogoro.
Katibu wa UWT Mkoa wa Morogoro ndugu Mwajabu Maguluko amempokea Rachel Mashishanga na kumpatia fomu hiyo Kwa ajili ya kukamilisha utaratibu wa kuijaza.
Rachel...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Kirungi (kulia), leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya ubunge wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro.
Kirungi amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Ulanga, Josephine Mbezi.
Mwandishi na mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Hamis Mkotya, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Chemba.
Mkotya (Kushoto), amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumatatu Juni 30, 2025 na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chemba, Moza Abdallah.
Mbunge wa Jimbo la Missenyi zamani Nkenge anayemaliza muda wake Mhe. Florent Kyombo amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi kingine cha pili.
Akiongea na waandishi wa Habari mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo leo Juni 30, 2025 katika viwanja vya ofisi za CCM Wilaya ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Standard Voice Limited ambayo inamiliki Standard Radio FM, James Japhet Daud amechukua 'Form' kuwania Ubunge Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma.
Wakuu,
Yaani katika wabunge wenye sifa huyu nae ni namba moja.
Mbunge wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo.
Msukuma amesema hayo...
Kada wa chama cha mapinduzi ( CCM) Amandus Jordan Tembo, juni 28,2025 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi oktaba mwaka huu
Toronto mdau wa maendeleo hapa Songea mjini na mwanachama hai wa chama cha...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meatu, Zahra Michuzi Zahra Michuzi amechukua fomu ya kutia nia kwa nafasi Mbunge wa Viti Maalum kwa Mkoa wa Tabora.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa...
Mtangazaji wa Ileje Fm na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) wilaya ya Ileje Diana Ngabo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea udiwani viti maalumu.
Diana amechukua fomu hiyo leo June 30, 2025 na kukabidhiwa na katibu wa Jumuiya ya Umoja wa...
TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya...
Wakuu,
Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge...
MBUNGE wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo.
Msukuma amesema hayo mbele ya waandishi wa habari mjini Geita mara baada ya kurejesha fomu...
Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Imma Saro, ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama hicho baada ya kukitumikia kwa zaidi ya miaka ishirini, akieleza kuwa amefikia hatua ya kubadilisha jukwaa la kisiasa kwa dhamira ya kuendelea kuwatumikia wananchi kwa njia...
Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu amechukua fomu leo June 30,2025 ya kuomba kutetea Ubunge katika Jimbo la Tanga Mjini.
Ummy ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Afya amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Tanga na amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tanga, Jamal...
Mwanachama mpya wa ACT-Wazalendo, Emmanuel Ntobi leo Jumatatu, Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama kugombea ubunge wa Shinyanga Mjini
Ntobi aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Shinyanga aliyehamia ACT-Wazalendo mwezi huu...
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhandisi wa Mafuta na Petroli Fautine Matiku amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kivule lililopo Temeke jijini Dar Es Salaam.
Fomu hiyo ameichukua katika Ofisi ya CCM Ilala Dar Es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Juni 30, 2025 amejitokeza kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchaguliwa kuwa mgombea ubunge la Rufiji katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu.
Mhe. Mchengerwa amefika kwenye ofisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.