Wakuu kwa wale mliokuw amnasubiri kwa hamu kujitosa kwenye ubunge na udiwani kupitia CHAUMMA ni wakati wenu sasa. Fomu zitaanza kutolewa kuanzia Julai 1, 2025 katika ofisi mbalimbali za chama kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
Mbunge anayemaliza Kipindi chake cha kwanza Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro Mhe. Jonas Van Zeeland leo Juni 30 .2025, amechukua fomu ya kuomba kuidhinishwa na Chama chake, Chama Cha Mapinduzi CCM, kuwa Mgombea wa Ubunge kwenye Jimbo la Mvomero, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi...
Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.
Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia...
Mwanasiasa machachari ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Sophia Mwakagenda amewatisha VIGOGO wa Siasa za Jimbo la Rungwe baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Jana!
Mh Sophia anaomba ridhaa hiyo kwa Chama Jimboni Rungwe huku akiwa na...
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eng. Salehe Ziota amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Igunga Mkoa wa Tabora kupitia tiketi ya CCM.
Ziota alikabidhiwa fomu hiyo na katibu wa ccm wilaya ya Igunga mkoani Tabora Ebeneza Mainoya.
Mfanyabiashara maarufu Raza Lee wa Zanzibar, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwa Mwakilishi wa Wananchi Jimbo la Amani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Alichoandika Instagram baada ya kuchukua fomu
"Namtanguliza Mungu na nawashukuru kwa dhati wananchi wote. Nipo katika hatua ya kuchukua...
Golf Mike Uniform!
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MASHILI COMPANY LIMITED ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Uchenjuaji Dhahabu wa (Matinje Mining, Msilale Mining na Igurubi Mining) Ndg Peter Andrea Mashili ametangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini akiahidi kumg'oa Mbunge aliyepo Mhe...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi...
Wakuu
Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia?
Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Juni 27, 2025 alihimiza Vyama vyote vya Siasa nchini kutoa fursa...
Aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Daniel Makaka amechukua fomu ya kugombea udiwani wa Bulyaheke wilayani Sengerema kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Makaka amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM kata ya...
Mpaka leo hii kati ya wale waliochukua Fomu kuwania Ubunge kupitia CCM ambao ni wapya kabisa sijaona ambaye anafaa
Hivi kwanini CCM safari hii imeamua Kujidhalilisha hivi na kukubali hata kila mtu achukue fomu wachukue Fomu?
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Salma Rashid Kikwete amejitokeza kuchukua fomu kuwania tena kwa mara nyingine ubunge wa Jimbo la Mchinga
Amechukua fomu hiyo mapema leo kwenye Ofisi za Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini na kukabidhiwa na Mohamed Lawa ambaye ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo
Mfanyabiashara wa magari maarufu Dotto Magari amechukua fomu y kugombea ubunge jimbo la kinondoni kupitia chama cha mapinduzi CCM. kupitia ukurasa wake wa instagram Dotto amethibitisha akichuka fomu nakuandika maneno haya
"ni muda wa kumsaidia mama kuwatumikia wananchi wa jimbo la kinondoni"
Mhasibu wa kitaifa (CPA) Thomas Lengite kutoka jamii ya wafugaji katika kata ya Olkolili, wilayani Siha, amejitokeza kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Siha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Martin Benard Kikuli amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania Ubunge wa Jimbo la Kahama Mjini lililopo katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Martin Kikuli ambaye kwa sasa ni Msaidizi wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa...
Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini Hamida Mohamed Abdallah leo Juni 30,2025 amechukua fomu kuwania tena ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini.
Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini Mohamed Lawa.
Hamida amesema bado anayo dhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.