Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,096
- 5,592
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea.
Majaliwa ametoa fedha hizo machi 6 alipotembelea shuleni hapo na kuongea na wanafunzi wa shule hiyo.
Aidha amesema kuwa shule hiyo ilikua na changamoto nyingi lakini kwa sasa hazipo na serikali inatambua uwepo wa shule hiyo huku akieleza kuwa wanakwenda kuiyagiza tamisemi shule hiyo ya Nachingwea girls waingize katika mpango wa ukarabati wa majengo ya zamani ili waweze kukarabati hatua kwa hatua.
Pia amewapongeza waalimu kwa kuendelea kuwalea vizuri hali wanafunzi hao hali ambayo inapelekea kupata ufaulu katika wilaya hiyo.
Source: Mashujaa Radio