Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,231
- 18,000
Mchambuzi wa soka na mchezaji wa zamani wa timu ya Kariakoo Lindi, Jemedari Said Kazumari (kushoto) amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Mtama leo Juni 30, 2025.
Kazumari amekabidhiwa fomu hizo na Katibu wa Wazazi Wilaya ya Lindi Vijijini katika Ofisi ya CCM wilayani humo Anthony Ismail.
Kazumari amekabidhiwa fomu hizo na Katibu wa Wazazi Wilaya ya Lindi Vijijini katika Ofisi ya CCM wilayani humo Anthony Ismail.