kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

    Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Hakuna kupita bila kupingwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Katika hotuba yake, Wasira alifafanua kuwa hakutakuwa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainab Telack asema Rais Samia ni Rais wa kujenga Taifa

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake kubwa katika kuleta maendeleo, akimtaja kama "Rais wa Kujenga Taifa." Akizungumza Machi 15 katika Mkutano wa Diwani wa Ilani uliofanyika Kata ya Narungombe, wilayani...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 "wamshukuru" Rais Samia kwa kutenga Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa shule yao

    Wakuu, Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutenga zaidi ya bilioni nne kujenga shule mpya ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UMEAHIRISHWA: Tunawezaje kuhakikisha kuwa Rushwa inakoma ndani ya vyama vya siasa kwa ya maendeleo ya jamii?

    Rushwa ndani ya vyama vya siasa inahujumu demokrasia kwa kupendelea wenye nguvu kifedha, huku ikiweka kando wagombea wenye sifa lakini wasio na rasilimali kubwa. Hali hii huzaa uongozi unaotanguliza maslahi binafsi badala ya sera zinazowanufaisha wananchi wote, hivyo kudhoofisha maendeleo ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndolezi Petro wa ACT Wazalendo asema kuwa kuwakataza wananchi wasijiandikishe ni kampeni ya hovyo ya CDM kuwahi kutokea

    Waziri kivuli wa ofisi ya waziri mkuu- bunge, Sera, vijana, kazi na ajira, Kutokea ACT Wazalendo, Ndolezi Petro kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa uamuzi uliotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Ubungo wa kuwazuia wananchi kujiandikikisha kwenye daftari la uchaguzi kuwa ni kampeni ya hovyo ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri anayejifanya mzalendo anayetuhumiwa kujilimbikizia mamilioni ya hela kwa ajili ya Urais 2030 ni Mwigulu Nchemba?

    Akizungumza na Wasafi Radio kupitia kipindi cha goodmorning mhariri wa gazeti la Radar aliyejitambulisha kwa jina la Mjema ameeleza kuwa waziri anayejifanya mzalendo kwa kuvaa hadi mavazi yenye bendera, anajilimbikizia mali kwa njia ya Bureau de change kwa ajili ya maandalisi ya uchaguzi wa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira apiga marufuku wajawazito kutozwa fedha

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Bw. Stephen Wasira amewasili Mkoa wa Mbeya kwa ziara ya siku nne kuanzia Machi 17-20, huku akitoa maagizo mazito kwa halmashauri zote nchini kuacha mara moja kutoza fedha wanawake wajawazito wanaofika kwenye vituo vya afya kujifungua...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA afunguka faida za mashindano ya Samia Cup

    Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA akigusia kwa uchache faida zinazoweza kupatikana kutoka kwenye Samia Celebrities and Companies Cup. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatenga Sh. Bilioni 25 kutekeleza mradi wa SLR

    KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema kiasi cha Shilingi Bilioni 25 zimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bayoanuai Tanzania (SLR-Tanzania) ulioanza mwaka 2021-2025 katika Mikoa mitano na Halmashauri za...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatakiwa kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali, ili wananchi hao wapishe maeneo hayo na waweze kuendelea na shughuli zao za kila siku wakati miradi hiyo ikisubiri...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha ADA TADEA chatangaza wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea watachukua fomu bure

    Chama cha ADA TADEA kimesema kuwa wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, watachukua fomu za kuwania nafasi hizo bure. Akizungunza na wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho wilayani Maswa mkoani Simiyu, katibu mkuu...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani wa kata ya Narung'ombe ashiriki kwenye harambee ya kufturisha wanafunzi. Kassim Majaliwa ampongeza

    Diwani wa Kata ya Narungombe, Mhe. Khamis Majaliwa, amechangia wanafunzi wa Shule ya Sekondari Narungombe na Liuguru kwa ajili ya futari katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Harambee hiyo imefanyika Machi 15, 2025, wakati wa mkutano wa Diwani wa Ilani uliowakutanisha wananchi wa kata hiyo...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga, kuheshimu jitihada za Rais Samia

    Wakuu uchawa unakomaa kila siku == Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga juhudi za Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuacha kupotosha jamii na badala yake kuheshimu juhudi za serikali katika kuleta maendeleo. Akizungumza na waandishi wa...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa ACT Wazalendo waitaka serikali kuwachukulia hatua Stephen Wassira na Hamis Mbeto

    Sema kuna muda hawa ACT wanapenda sana drama. Hivi kweli unaaanda press then unaanza kuwaambia waandishi kwamba CCM ianze kujishughulikia wenyewe? Hawa wataweza kweli zile "siasa za mapambano" ambazo huyo Othman alikuwa anazizungumzia? ============================================= Chama cha...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Michezo amshukuru Rais Samia kwa "kutoa" fedha na kuinua na michezo nchini

    Wakuu, Hivi wabunge wa CCM wanaposema Rais "ametoa" fedha wanamaanisha? Kwamba zimetoka mfukoni kwake na sio kodi za wananchi? Au yeye ndo anaidhinisha kutolewa kwa hizo fedha? Na kama Rais ndo anapitisha fedha za maendeleo, kazi ya hao wabunge inakuwa ni nin sasa? ========================...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa: Watia nia CCM wasitumie majina ya viongozi wakubwa kutafuta kura

    Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Fadhili Maganya, amewataka baadhi ya watia nia wa nafasi za uongozi kupitia chama hicho kuacha kuwadanganya wananchi kwa kudai wamepewa maelekezo kutoka juu ya kugombea. Amesisitiza kuwa madai hayo ni kinyume na utaratibu wa chama, na...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira: Kazi ya CCM ni kuboresha maisha ya watu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania BaraStephen Wasira, amewahakikishia wananchi wa mji wa Tunduma kuwa Serikali itawatatulia kero ya maji inayowasumbua kwa muda mrefu. Amesema kuanzia Machi 20, 2025 mawaziri wawili akiwemo Waziri wa fedha, Dk Mwigulu Nchemba na Waziri wa Maji...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waandikishaji daftari la kudumu la wapigakura Kigamboni wala kiapo cha uaminifu, waahidi kufuata taratibu zote

    Waandikishaji wasaidizi na waendesha BVR katika Jimbo la Kigamboni wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na wadau wote wa uchaguzi ili kuhakikisha uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unafanyika kwa ufanisi. Wito huo umetolewa na Afisa Muandikishaji wa Jimbo la Kigamboni, Ndg. Selemani Kateti...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wahitimu wa mafunzo ya udereva wa Pikipiki na Bajaji waliolipiwa ada na Mbunge Sagini wakabidhiwa vyeti VETA

    Machi 14, 2025 katika Ukumbi wa Kwa Mkapa Arena Kijiji cha Nyamisisye Kata ya Kukirango amesema kuwa mafunzo waliopata maafisa usafirishaji yatapelekea uzingatiaji wa sheria za usalama barabarani ili kudhibiti ajali. "Awamu ya kwanza nilitoa ofa kwa watu 100 sasa hivi nahitaji 150 jumla...
Back
Top Bottom