kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwananchi Mlimba: Mgombea CCM akija na ahadi za barabara na maji, hatamaliza hotuba!

    Barabara ya Mlimba–Ifakara imekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi, ambapo inadaiwa imekuwa kama sehemu ya kupatia Kura kila ifikapo Uchaguzi. Kwa mujibu wa mtumiaji huyu wa X "Barabara Mlimba Ifakara, ikifika kipindi cha kampeni CCM imezoea kwenda kuchukulia point kwamba wakichaguliwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu CHAUMA: Tume imetufanyia haki, bila amani hakuna Ubwabwa wala uchaguzi

    "Ukiwa hutaki kufuata Maadili wewe unataka kuchagua nchi, sisi CHAUMA tunasema jambo vla kwanza baada ya ubwabwa ni amani na huu ubwabwa kama hakuna amani hauliki" Katibu Mkuu Chama Cha Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Massod Rashid ameyazungumza hayo jijini Dodoma wakati wa kikao cha kusaini...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisa cha kesi za uhaini kwa Lissu na CHADEMA ni kama ANC na Mandela

    Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Mbunge viti maalumu adai Bwana mdogo Lissu ameishiwa sera

    Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu. Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza kutekelezwa mwaka huu. Wanajisahau sana, kazi kusifia tu === Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mhe...
  5. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi CHADEMA ina Wazee wenye Uwezo wa Kushauri Uongozi na kukituliza Chama Katika Dhoruba kama Walivyokuwepo Akina Profesa Baregu?

    Ndugu zangu Watanzania, Tunaweza kuwa tunailaumu CHADEMA kwa mpasuko, Mgawanyiko,mtanziko, mvurugano na mivutano bila kujua kiini chake na kwanini chama kinapitia Mkwamo na hali hiyo . Ikumbukwe kuwa Ushindi wa Jeshi lolote lile katika uwanja wa vita unaanzia katika Umoja na Nidhamu ya hali...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy semu: Mashtaka ya Lissu ni jaribio la kufunga mdomo wa haki

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu akieleza namna chama hicho kinavyosimama pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na mashtaka mawili (2) yenye makosa manne (4) ikiwemo kosa la uhaini lisilokuwa na dhamana.
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu UDP ajitambulisha kwa Salamu ya Rais Samia katika Hafla ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi mjini Dodoma

    Wakuu Katibu Mkuu wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Saumu Rashid, kajitambulisha kwa Salamu ya Rais Samia kwa kusema "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..." wakati wa hafla ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi mjini Dodoma hapo jana Aprili 12. Mkiitwa CCM B msikasirike! Salamu ya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ansbert Ngurumo: Mwachieni Tundu Lissu, mtaaibika tena.......!!

    https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg ➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...! ➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani kama chadema ,kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii

    Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla. 1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia - Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aache kujitesa kwa ajili ya watanzania, ni watu wasio na shukrani

    Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake. Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TLS Mwabukusi: Kutosaini kanuni za maadili hakuzuii Chama kushiriki Uchaguzi

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi. Kupitia ukurasa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Paskali.
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji popote nalo, limo!

    Kwamba kwenye masharti na hili #12 limo? Na bado watu wameanguka? Heko CHADEMA kwa kutokuwa tayari kuyaiga ya Mangungu!
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alex Mshama: Tamasha la kuombea uchaguzi kufanyika mikoa 26 nchini

    Viongozi wa dini mbalimbali nchini wanatarajiwa kufanya Tamasha kubwa la Maombi ya kuombea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo amesema tamasha litafanyika...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kazi kubwa aliyo ifanya kwa CCM, serikali haiwezi kumfunga Lissu

    Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu. Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa. Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi. Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ilipaswa Msajili wa vyama vya siasa ndio asaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi kwa niaba ya vyama vyote, Wagombea ni Watu siyo Chama!

    Kwa sheria za Tanzania Mtu binafsi ndiye anagombea uongozi iwe urais, ubunge, udiwani nk na chama cha siasa kinamdhamini tu Tume ya uchaguzi inashughulika na Wagombea wenye sifa za kugombea na moja ya sifa ni kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa ndio sababu Halima Mdee na wenzake ni wabunge...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud achukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar. Othman amechukua fomu hiyo leo Aprili 13,2025 majira ya saa 4.00 asubuhi ikiwa ni mwanachama wa kwanza kwa nafasi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanao ogopa mabadiliko ni wanyonyaji

    Ukweli ni kwamba tunahitaji mabadiliko ya kanuni na sheria za uchaguzi. Hatuwezi kuwa conservative. Kwanini hawa jamaa hawataki mabadiliko? Hivi kweli unaweza ukawa na mfumo kama huu ukasema una uchaguzi huru na haki? Chadema mlichelewa sana kuamua jambo hili. Lakini siyo mbaya kwasasa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kujitoa kwenye uchaguzi ni pigo kubwa kwa wasanii

    Kipindi Cha uchaguzi, Kila msanii anaingiaga studio na kurekodi nyimbo za kuwasifu CCM, na kuwakashifu wapinzani (Chadema) CCM utumia pesa nyingi kuwalipa wasanii Ili kampeini zinoge. Mwaka huu itabidi wasanii watunge nyimbo za kuwachamba kina Dovutwa, Selasini na Rungwe. Je CCM itatumia...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hata kama CHADEMA (Na vyama vingine) watashiriki au wangeshiriki, wanakuwa kama hawajashiriki tu

    Twende pamoja: Hoja hii kwamba “Hata kama CHADEMA ( Na vyama vingine) watashiriki au wangeshiriki, wanakuwa kama hawajashiriki tu.” ina mizizi katika hali halisi ya kisiasa na kisheria nchini Tanzania, hususan katika masuala ya uchaguzi, uhuru wa vyama vya siasa, na uwazi wa mchakato wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…