kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dk. Wilbroad Slaa: Sitagombea nafasi yoyote ya uongozi, bali nitaendelea kuwapigania Wananchi

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema Taifa Dokta Wilbroad Slaa, amesema kuwa kwa sasa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila atabaki kuwapigania wananchi. Slaa ameeleza hayo wakati wa mahojiano maalumu baada ya kuzuka kwa tetesi zinazoeleza kuwa kurejea kwake Chadema ni kutaka...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Stephen Wasira: Ofisi za CCM zinapaswa kutumika kutatua changamoto za Wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  3. ARGAN MARA

    PreGE2025 Hongera sana Rais samia kwa karata uliyoichanga kwenye kilimo apa umeupinga mwingi kweli kweli

    Haloooo wanazengo heshima yangu kwenu wakuu. Binafsi sikuwahi kuwa mshabiki wa rais Dr samia lakini kwa hili mama upele umenikuna sina uchawa wowote kwako wala kwa chama chako Nachukua nafsi kutoa pongezi zangu kwako na kwa waziri wa wizara husika ya kilimo kwa kazi mliyoifanya katika nchi...
  4. K

    PreGE2025 No Reform No Election; Mama Samia na ndugu zake wataikubali tu

    Pamoja na uchawa mwingi sana Raisi Samia kwasasa amelewa madaraka. Kwasababu hiyo hata weza kukataa fursa ya yeye kuongezewa mwaka mzima kwasababu ya kufanya marekebisho ya sheria ya No reform no election. Wapambe wake wanapenda sana madaraka na kiasi kwamba wakiambiwa ni fursa ya mama kukaa...
  5. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Nuru Ngereja, Katibu CCM Mkoa wa Morogoro Aanza Kazi Rasmi

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Nuru John Ngereja ameanza majukumu yake rasmi baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu CCM Mkoa wa Morogoro, Ndugu Solomon Kasaba Ndugu Nuru John Ngereja amefanya zoezi la kukutana na kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali wa...
  6. Ileje

    PreGE2025 CCM yapata aibu tena Sumbawanga

    Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election. Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili...
  7. B

    PreGE2025 Kinachoendelea kwenye mikutano ya John Heche leo Makambako sio Mapenzi ni Mahaba

    Baada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo. Watu ni wengi sana. Musiki na nyimbo za hamasa zinapendeza sana. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Bumbuli wamshukuru January Makamba, wahaidi kumchagua tena uchaguzi wa 2025

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemshukuru Mbunge wao, January Makamba, kwa juhudi zake za kutatua kero mbalimbali zinazowakabili, huku wakieleza kwamba watamchagua tena wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Wakizungumza wakati wa ziara ya Mbunge huyo ya kusikiliza...
  9. T

    PreGE2025 Kuboresha Uchaguzi wa Viongozi Tanzania: Mfumo wa kielelezo cha sifa jumla (TQI)

    Utangulizi Uongozi unachukua nafasi muhimu katika maendeleo ya taifa. Nchini Tanzania, changamoto kama ufisadi, utawala dhaifu, na maamuzi mabaya vimezuia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya kijamii. Ili kukabiliana na matatizo haya, mfumo wa kuchagua viongozi unahitajika. Kielelezo cha Sifa Jumla...
  10. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Bashiru Ally,ndiyo muhasisi wa siasa za kupita bila kupingwa

    Bashiru Ally, wewe ndo uliharibu wewe ndo muhasisi wa siasa za kupita bila kupingwa.
  11. chiembe

    Sheria 48 za mamlaka: usionekane sana (use absence) ili uheshimike-ndicho anachofanya gwiji wa siasa za Tanzania-Freeman Mbowe

    Naam.... Ndivyo mchezo wa chess ya madaraka ilivyo..... Kutoonekana kwa Mbowe kumewaacha mahasimu wake wakijiuliza, na wengine wakitaka atoe neno tu au ashiriki kwenye ziara zao ambazo zimedorora ili awape endorsement. Lissu ameamua kuitenga kanda ya kaskazini kwa kuwa anaamini haikumpa kura
  12. Ileje

    PreGE2025 CCM waandaa Bonanza kesho wakati Tundu Lissu atakapokuwa anafanya mkutano wa hadhara Sumbawanga!

    Kesho tarehe 26/3/2025 Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu atafanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga kuendeleza kampeni ya No Reforms No Election. Kitu cha kushangaza ni kuwa jioni hii CCM inapitisha matangazo hapa mjini Sumbawanga kuwa na wao watafanya Bonanza katika uwanja...
  13. JF Member

    PreGE2025 CCM imekosa msemaji na kiongozi?

    Kwa sasa CCM ni kama chama ambacho kimechoka na kukata tamaa kabisa. Kimebaki kuendesha mikutano yake kama matamasha na kuzungusha watu Dar kwenda kujaza mikutano ya viongozi maeneo mengine.. Kama vile wasanii. Kwa kiasi kikubwa wasanii ndio wanakiendesha chama. Sio mbaya kwa sasa ni wananchi...
  14. Roving Journalist

    PreGE2025 Mnyika: Msajili aseme amempa Siku ngapi Makalla madai ya CHADEMA kununua Virusi vya Ebola

    John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusema hatua alizochukua dhidi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla aliyedai CHADEMA inachangisha fedha kwenda kununua Virusi vya Ebola na Epox...
  15. CM 1774858

    PreGE2025 Wassira: Ukitenda mema lazima utalipwa mema Rais Samia kafanya mema mengi Watanzania watamlipa mema

    === Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili kulipwa mambo mazuri ikiwemo kudumisha amani na mshikamano. Wasira ameyaeleza hayo jana Karagwe...
  16. MwajabuOmary

    Kauli tata ya Amos Makala juu ya virus vya ebola na mpox

    Kama kuna kauli za hovyo zilizotolewa katika kipindi hiki, basi hii ya CCM imekua too much na imepitwa na wakati to the maximum. Tungekua tumekwenda shule na tukaelimika basi CCM sasa hivi angekua uswahilini anatafakari kilimo cha migomba. Lkn uswaiba umetujaa na ndio maana Makolo bado yupo...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM Singida wafanya dua ya kumuombea Rais Samia

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kaiwada ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM Singida wakabidhiwa gari lilotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu wa CCM Mwanza: Acheni tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Sheikh Daruweshi: Uchaguzi si suala la kisiasa pekee, bali ni jambo ambalo pia limeelekezwa na kuungwa mkono katika vitabu vya dini

    Sheikh wa Wilaya ya Nkasi, Sheikh Hadhi Daruweshi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Maridhiano katika wilaya hiyo, amesisitiza kuwa kushiriki katika uchaguzi ni jambo linalopaswa kupewa kipaumbele na kila raia mwenye umri wa kupiga kura. Amesema uchaguzi si suala la kisiasa pekee...
Back
Top Bottom