PreGE2025 Lissu! No reforms no election ni sawa lakini zingatia haya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
2,340
Reaction score
3,361
Katika kipindi Cha hivi karibuni Chadema wamezindua kampeni ya 'No reform -No election' (NRNE).

Lissu kama mwenyekiti na icon ya chama amejikita zaidi kuelezea ubovu wa katiba na Sheria mbovu za uchaguzi, zinazopekelea kutokuwa na chaguzi zilizo Huru na Haki (free and fair elections). Hili ni sawa kabisa, na yeyote mwenye uelewa, kuangazia mbele na kulitakia mwema TAIFA hili huku akiweka uchawa na maslahi binafsi pembeni, atakubali kuwa Kuna haja kubwa ya kufanya reforms kwenye tume na namna ya uendeshaji wa chaguzi zetu.

Ili kupata uungwaji mkono wa umma wa watanzania, na kuishinikiza serikali kufanya reforms, Lissu na Chadema Kwa ujumla wakaja na kampeni hii. Aidha, Chadema hawana jeshi, wanategemea nguvu ya umma kushinikiza hili.
Hivyo ili wapate kuungwa mkono na majority ya watanzania (siyo wanachadema tu), Lissu apanue Wigo kutoka katika kuwa gwiji wa sheria na kujipambanua zaidi Kwa wananchi Kwa kuangazia masuala ya uchumi, huduma za jamii na maendeleo ya wananchi. Ajikite kujenga hoja kwa kuwaeleza wananchi mambo yanayo wagusa Moja Kwa Moja kama ajira, huduma za jamii, kilimo, uchumi, rushwa na marekebisho ya Sheria ya mifuko ya jamii hususani NSSF Kwa kurejeshwa fao la kujitoa au kuruhusu mtu kulipwa fedha zake zote anapopoteza ajira ndani ya kipindi Cha miezi Sita, marekebisho juu ya kikotoo n.k.

Yeye kama icon ya chama anapaswa kuwaeleza wananchi jinsi CCM ilivyo shindwa kutatua kero za wananchi, nini CHADEMA itafanya na kwanini wananchi wanapaswa kuiamini CHADEMA na kuikataa CCM, halafu ndo aingize habari za madhaifu ya katiba na chaguzi zetu na mwisho apigilie msumari wa 'No reform -No election'.

Aidha napendezwa na jinsi Heche anavyojenga hoja; anaongelea masuala yanayowagusa wananchi kwa kutoa mifano ya nchi mbali mbali. Na ni Kwa namna gani sera mbovu za CCM na usimamizi duni wa raslimali za TAIFA, unazorotesha maendeleo ya nchi, huku akijenga matumaini ya wananchi juu ya Chadema.

Nakutanabahisha Lissu, usifanye hotuba zako zikatawaliwa na maudhui Moja tu ya uchaguzi. Wananchi wataona huna unachowaletea au kuwatetea zaidi ya kupigania tume huru ili kupata madaraka Kwa manufaa yako ya kisiasa na Chama chako. Pia ukweli mchungu ni kuwa epuka kumtaja taja Magufuli, pamoja na madhaifu na madhila yote ya Magufuli bado Kwa watanzania walio wengi ikichagizwa na Madhaifu ya awamu hii ya mama, Magufuli amekuwa branded au kuonekana kama mtetezi wa wanyonge na shujaa wa watanzania. (Though he was fickle, dictator, impassive and sadist. But you can not ignore public sentiments in regard to him).

Katika ulingo ya siasa unapaswa kuangazia mambo yafuatayo:
1. Tambua na kuzungumzia changamoto au matatizo yanayoikabili jamii ya eneo husika na TAIFA Kwa ujumla. (Addressing social problems)
1. Taja Madhaifu ya mpinzani wako, Kwa Chadema Mpinzani wao ni CCM . (Disreputation of your opponent)
2. Toa hoja au sera mbadala kushughulikia changamoto zinazoikabili jamii. (Suggest alternatives or solutions)
3. Jenga matumaini ya wananchi juu yako au Chama chako.(Instill hopes)
**********************************

Nakala Kwa: Erythrocyte , Pascal Mayalla , Bams , Yericko Nyerere , Yoda , johnthebaptist 'et al'
 
Ili kupata uungwaji mkono wa umma wa watanzania, na kuishinikiza serikali kufanya reforms, Lissu na Chadema Kwa ujumla wakaja na kampeni hii. Aidha, Chadema hawana jeshi, wanategemea nguvu ya umma kuishinikiza hili.
Hivyo ili wapate kuungwa mkono na majority ya watanzania (siyo wanachadema tu), Lissu apanue Wigo kutoka katika kuwa gwiji wa sheria na kujipambanua zaidi Kwa wananchi kuangazia masuala ya uchumi, huduma za jamii na maendeleo ya wananchi. Ajikite kujenga hoja kwa kuwaeleza wananchi mambo yanayo wagusa Moja Kwa Moja kama ajira, huduma za jamii, kilimo, uchumi, rushwa na marekebisho ya Sheria ya mifuko ya jamii hususani NSSF Kwa kurejeshwa fao la kujitoa au kuruhusu mtu kulipwa fedha zake zote anapopoteza ajira ndani ya kipindi Cha miezi Sita, marekebisho juu ya kikotoo n.k.

Yeye kama icon ya chama anapaswa kuwaeleza wananchi jinsi CCM ilivyo shindwa kutatua kero za wananchi, nini CHADEMA itafanya na kwanini wananchi wanapaswa kuiamini CHADEMA na kuikataa CCM, halafu ndo aingize habari za madhaifu ya katiba na chaguzi zetu na mwisho apigilie msumari wa 'No reform -No election'.

Aidha napendezwa na jinsi Heche anavyojenga hoja; anaongelea masuala yanayowagusa wananchi kwa kutoa mifano ya nchi mbali mbali. Na ni Kwa namna gani sera mbovu za CCM na usimamizi duni wa raslimali za TAIFA, unazorotesha maendeleo ya nchi, huku akijenga matumaini ya wananchi juu ya Chadema.

Nakutanabahisha Lissu, usifanye hotuba zako zikatawaliwa na maudhui Moja tu ya uchaguzi. Wananchi wataona huna unachowaletea au kuwatetea zaidi ya kupigania tume huru ili kupata madaraka Kwa manufaa yako ya kisiasa na Chama chako.

Katika ulingo ya siasa unapaswa kuangazia mambo yafuatayo:
1. Tambua na kuzungumzia changamoto au matatizo yanayoikabili jamii ya eneo husika na TAIFA Kwa ujumla. (Addressing social problems)
1. Taja Madhaifu ya mpinzani wako, Kwa Chadema Mpinzani wao ni CCM . (Disreputation of your opponent)
2. Toa hoja au sera mbadala kushughulikia changamoto zinazoikabili jamii. (Suggest alternatives or solutions)
3. Jenga matumaini ya wananchi juu yako au Chama chako.(Instill hopes)
**********************************

Nakala Kwa: Erythrocyte , Pascal Mayalla , Bams , Yericko Nyerere , Yoda , johnthebaptist 'et al'
Upo sahihi!
 
Katika kipindi Cha hivi karibuni Chadema wamezindua kampeni ya 'No reform -No election' (NRNE).

Lissu kama mwenyekiti na icon ya chama amejikita zaidi kuelezea ubovu wa katiba na Sheria mbovu za uchaguzi, zinazopekelea kutokuwa na chaguzi zilizo Huru na Haki (free and fair elections). Hili ni sawa kabisa, na yeyote mwenye uelewa, kuangazia mbele na kulitakia mwema TAIFA hili huku akiweka uchawa na maslahi binafsi pembeni, atakubali kuwa Kuna haja kubwa ya kufanya reforms kwenye tume na namna ya uendeshaji wa chaguzi zetu.

Ili kupata uungwaji mkono wa umma wa watanzania, na kuishinikiza serikali kufanya reforms, Lissu na Chadema Kwa ujumla wakaja na kampeni hii. Aidha, Chadema hawana jeshi, wanategemea nguvu ya umma kushinikiza hili.
Hivyo ili wapate kuungwa mkono na majority ya watanzania (siyo wanachadema tu), Lissu apanue Wigo kutoka katika kuwa gwiji wa sheria na kujipambanua zaidi Kwa wananchi Kwa kuangazia masuala ya uchumi, huduma za jamii na maendeleo ya wananchi. Ajikite kujenga hoja kwa kuwaeleza wananchi mambo yanayo wagusa Moja Kwa Moja kama ajira, huduma za jamii, kilimo, uchumi, rushwa na marekebisho ya Sheria ya mifuko ya jamii hususani NSSF Kwa kurejeshwa fao la kujitoa au kuruhusu mtu kulipwa fedha zake zote anapopoteza ajira ndani ya kipindi Cha miezi Sita, marekebisho juu ya kikotoo n.k.

Yeye kama icon ya chama anapaswa kuwaeleza wananchi jinsi CCM ilivyo shindwa kutatua kero za wananchi, nini CHADEMA itafanya na kwanini wananchi wanapaswa kuiamini CHADEMA na kuikataa CCM, halafu ndo aingize habari za madhaifu ya katiba na chaguzi zetu na mwisho apigilie msumari wa 'No reform -No election'.

Aidha napendezwa na jinsi Heche anavyojenga hoja; anaongelea masuala yanayowagusa wananchi kwa kutoa mifano ya nchi mbali mbali. Na ni Kwa namna gani sera mbovu za CCM na usimamizi duni wa raslimali za TAIFA, unazorotesha maendeleo ya nchi, huku akijenga matumaini ya wananchi juu ya Chadema.

Nakutanabahisha Lissu, usifanye hotuba zako zikatawaliwa na maudhui Moja tu ya uchaguzi. Wananchi wataona huna unachowaletea au kuwatetea zaidi ya kupigania tume huru ili kupata madaraka Kwa manufaa yako ya kisiasa na Chama chako.

Katika ulingo ya siasa unapaswa kuangazia mambo yafuatayo:
1. Tambua na kuzungumzia changamoto au matatizo yanayoikabili jamii ya eneo husika na TAIFA Kwa ujumla. (Addressing social problems)
1. Taja Madhaifu ya mpinzani wako, Kwa Chadema Mpinzani wao ni CCM . (Disreputation of your opponent)
2. Toa hoja au sera mbadala kushughulikia changamoto zinazoikabili jamii. (Suggest alternatives or solutions)
3. Jenga matumaini ya wananchi juu yako au Chama chako.(Instill hopes)
**********************************

Nakala Kwa: Erythrocyte , Pascal Mayalla , Bams , Yericko Nyerere , Yoda , johnthebaptist 'et al'
Umechambua hoja zako kianazuoni, unasitahili pongezi.

Hili bandiko limfikie Lissu aliongezee kwenye hoja zake ili kuleta tija ktk harakati za kuikomboa Tanganyika.

Erythrocyte fikisha ujumbe huu kwa wahusika.
 
Mleta mada hujui.misimamo ya Chadema na Lisu wao wana sera yao kuwa hawaongelei maendeleo ya vitu kama sijui.mashule mabarabara,mahospitali nk wanaongelea maendeleo ya watu sio vitu

Umendika kirefu ukijikita kwenye maendeleo ya vitu kama huduma za jamii nk huo sio msimamo wa Lisu au Chadema

Pole mleta mada kwa kuandika ngonjera ndefu ambayo haihitajiki na Lisu
 
Maendeleo ya watu huambatana na maboresho au maendeleo ya vitu. Huwezi kuwa na maendeleo usipokuwa na vitu vinavyo kufanya kuwa na hayo maendeleo.
 
No Reform No Election and its impact on eleminating political &social economic problems if successful. what is it in content. Hotuba ya Zitto na Heche zinagusia angalau kidogo kama lublicants.
 
Mkuu mleta HOJA umeongea vitu yenye MANTIKI kabisa ..hope Viongozi watachukua na kuyachakata zaidi

Nami niongoze yafuatayo
Mh Lissu endelea kumlenga Mchungaji,ukimtandika haswa kwa HOJA nzito, hata kondoo watatawanyika

La pili kwenye hoja ya MABANGO na PICHA za mama Kizimkazi..hebu tafuteni gharama ya haya Mabango ..kuanzia madogo na hata makubwa kama lile la Moroco BRT pale..

Mkishajua gharama ya kila moja , tafuteni idadi yake Tz nzima then tafuteni jumla ya GHARAMA kuu, then kwa lugha rahisi waelezeni Watanganyika kwamba Visima vyenu, madawati yenu yametundikwa pale juu..NO REFORMS NO ELECTION
 
Mleta mada hujui.misimamo ya Chadema na Lisu wao wana sera yao kuwa hawaongelei maendeleo ya vitu kama sijui.mashule mabarabara,mahospitali nk wanaongelea maendeleo ya watu sio vitu

Umendika kirefu ukijikita kwenye maendeleo ya vitu kama huduma za jamii nk huo sio msimamo wa Lisu au Chadema

Pole mleta mada kwa kuandika ngonjera ndefu ambayo haihitajiki na Lisu
Nia Yako ni uchonganishi. Wapi hiyo sera imeandikwa?
Mleta mada nimemuelewa, lengo lake ni kuboresha namna Lissu anavyo-address issues zenye public interest.
Ubarikiwe.
 
Mkuu mleta HOJA umeongea vitu yenye MANTIKI kabisa ..hope Viongozi watachukua na kuyachakata zaidi

Nami niongoze yafuatayo
Mh Lissu endelea kumlenga Mchungaji,ukimtandika haswa kwa HOJA nzito, hata kondoo watatawanyika

La pili kwenye hoja ya MABANGO na PICHA za mama Kizimkazi..hebu tafuteni gharama ya haya Mabango ..kuanzia madogo na hata makubwa kama lile la Moroco BRT pale..

Mkishajua gharama ya kila moja , tafuteni idadi yake Tz nzima then tafuteni jumla ya GHARAMA kuu, then kwa lugha rahisi waelezeni Watanganyika kwamba Visima vyenu, madawati yenu yametundikwa pale juu..NO REFORMS NO ELECTION
Hayo mabango ni donation za makampuni ya matangazo yenye hayo mabango yanayomuunga mkono Samia

Sio pesa za serikali hizo hata wakijua gharama
 
Mleta mada hujui.misimamo ya Chadema na Lisu wao wana sera yao kuwa hawaongelei maendeleo ya vitu kama sijui.mashule mabarabara,mahospitali nk wanaongelea maendeleo ya watu sio vitu

Umendika kirefu ukijikita kwenye maendeleo ya vitu kama huduma za jamii nk huo sio msimamo wa Lisu au Chadema

Pole mleta mada kwa kuandika ngonjera ndefu ambayo haihitajiki na Lisu
kwahiyo maendeleo ya jamii sio maendeleo ya watu ni vitu right?🐒
 
Hayo mabango ni donation za makampuni ya matangazo yenye hayo mabango yanayomuunga mkono Samia

Sio pesa za serikali hizo hata wakijua gharama
Kwanini wasidonate Madawati na visima?. .vyomba vya Serikali kama TBC et al vitaeleza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya hii ya 6

Na kwanini wanatangaza?. Wanafaidika vipi?..
 
Katika kipindi Cha hivi karibuni Chadema wamezindua kampeni ya 'No reform -No election' (NRNE).

Lissu kama mwenyekiti na icon ya chama amejikita zaidi kuelezea ubovu wa katiba na Sheria mbovu za uchaguzi, zinazopekelea kutokuwa na chaguzi zilizo Huru na Haki (free and fair elections). Hili ni sawa kabisa, na yeyote mwenye uelewa, kuangazia mbele na kulitakia mwema TAIFA hili huku akiweka uchawa na maslahi binafsi pembeni, atakubali kuwa Kuna haja kubwa ya kufanya reforms kwenye tume na namna ya uendeshaji wa chaguzi zetu.

Ili kupata uungwaji mkono wa umma wa watanzania, na kuishinikiza serikali kufanya reforms, Lissu na Chadema Kwa ujumla wakaja na kampeni hii. Aidha, Chadema hawana jeshi, wanategemea nguvu ya umma kushinikiza hili.
Hivyo ili wapate kuungwa mkono na majority ya watanzania (siyo wanachadema tu), Lissu apanue Wigo kutoka katika kuwa gwiji wa sheria na kujipambanua zaidi Kwa wananchi Kwa kuangazia masuala ya uchumi, huduma za jamii na maendeleo ya wananchi. Ajikite kujenga hoja kwa kuwaeleza wananchi mambo yanayo wagusa Moja Kwa Moja kama ajira, huduma za jamii, kilimo, uchumi, rushwa na marekebisho ya Sheria ya mifuko ya jamii hususani NSSF Kwa kurejeshwa fao la kujitoa au kuruhusu mtu kulipwa fedha zake zote anapopoteza ajira ndani ya kipindi Cha miezi Sita, marekebisho juu ya kikotoo n.k.

Yeye kama icon ya chama anapaswa kuwaeleza wananchi jinsi CCM ilivyo shindwa kutatua kero za wananchi, nini CHADEMA itafanya na kwanini wananchi wanapaswa kuiamini CHADEMA na kuikataa CCM, halafu ndo aingize habari za madhaifu ya katiba na chaguzi zetu na mwisho apigilie msumari wa 'No reform -No election'.

Aidha napendezwa na jinsi Heche anavyojenga hoja; anaongelea masuala yanayowagusa wananchi kwa kutoa mifano ya nchi mbali mbali. Na ni Kwa namna gani sera mbovu za CCM na usimamizi duni wa raslimali za TAIFA, unazorotesha maendeleo ya nchi, huku akijenga matumaini ya wananchi juu ya Chadema.

Nakutanabahisha Lissu, usifanye hotuba zako zikatawaliwa na maudhui Moja tu ya uchaguzi. Wananchi wataona huna unachowaletea au kuwatetea zaidi ya kupigania tume huru ili kupata madaraka Kwa manufaa yako ya kisiasa na Chama chako. Pia ukweli mchungu ni kuwa epuka kumtaja taja Magufuli, pamoja na madhaifu na madhila yote ya Magufuli bado Kwa watanzania walio wengi ikichagizwa na Madhaifu ya awamu hii ya mama, Magufuli amekuwa branded au kuonekana kama mtetezi wa wanyonge na shujaa wa watanzania. (Though he was fickle, dictator, impassive and sadist. But you can not ignore public sentiments in regard to him).

Katika ulingo ya siasa unapaswa kuangazia mambo yafuatayo:
1. Tambua na kuzungumzia changamoto au matatizo yanayoikabili jamii ya eneo husika na TAIFA Kwa ujumla. (Addressing social problems)
1. Taja Madhaifu ya mpinzani wako, Kwa Chadema Mpinzani wao ni CCM . (Disreputation of your opponent)
2. Toa hoja au sera mbadala kushughulikia changamoto zinazoikabili jamii. (Suggest alternatives or solutions)
3. Jenga matumaini ya wananchi juu yako au Chama chako.(Instill hopes)
**********************************

Nakala Kwa: Erythrocyte , Pascal Mayalla , Bams , Yericko Nyerere , Yoda , johnthebaptist 'et al'
Posts zako huwa nazisoma kwa umakini,
Najua zinakuwa "Material"
 
Mtu yeyote timamu akimsikiliza slaa ,heche na lema,tundu lissu unajua kabisa Wana brainy kubwa na ni watu wenye Marengo mema na hili TAIFA
 
Nzuri sana hii., CHadema ichukueni hii
 
Back
Top Bottom