Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu Mary Chatanda amesema kuwa akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura huku akiwasisitiza wanawake kumchagua Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao.
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda...
Wakuu amani ya Mungu ikawe juu yenu na kila mmoja kwa Imani yake.
Mungu ananiambia ,akili yenu yote mmejikita namna ya kutoka kwenye hili la no reform no election.
Sasa Mungu anawambia wazi mipango yenu ya giza au ya kheri ipo wazi , na rada ya Mungu ipo popote pale mpangapo maovu juu ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amepotea kutokana na matusi ya wanachama wa chama chake.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera...
Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo
1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia kwa muda mrefu kwani haliishi haraka na nter net ni ya kasi. Tanzania kwa elfu moja unapata...
Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Ayasi Njalambah, amesisitiza kuwa amani na utulivu ni fahari ya Jiji la Mbeya na msingi wa maendeleo endelevu.
Sheikh Njalambah amepongeza juhudi za Serikali ya Tanzania katika kujenga jamii yenye umoja na mshikamano, akisema kuwa Serikali imekuwa mstari wa...
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,
Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda...
Mwenyekiti wa Wa Balaza la Wanawake Chadema Mbeya, ambaye pia niMakamu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Elizabeth Mwakimomo amewataka wanachama na wasio wanachama kufika katika mkutano wa hadhara ambao utazindua kampeni ya 'No reform no Election ' kwa Kanda ya Nyasa ili kuwaeleza wananchi juu ya...
Mwanachama Wa Chama Cha Demokasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mtia nia wa Urais kupitia Chama hicho, Ndugu Romanus Mapunda, amejitokeza Hadharani na kupinga vikali sera ya " No reform No Election" Kwa Kuwa unaweza kuzima ndoto yake kuwa Rais na Haina Afya Katika Demokrasia ya Nchi.
Kupata...
Nimesikitishwa kuona watu wamekamatwa baada ya kuzuia watu wasio na sifa kuandikishwa kupiga kura kwasababu hawana sifa, baadhi yao nimesikia katika vyombo vya habari ikiwemo JamiiForums kuwa walizuiwa kwasababu wananchi wa eneo hilo waliwatambua kuwa sio wakazi wa eneo hilo.
Hii inaweza...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mji mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Waziri Mkuchika ametangaza uamuzi huo kwenye kikao cha kamati kuu ya jimbo kilichokuwa na lengo la...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema wameaswa kutojihusisha na wagombea wa "mfukoni" wanaojipitisha majimboni na kata kutafuta nafasi za uongozi kabla ya wakati rasmi wa mchakato wa chama.
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Ibrahim Kandumila, alitoa kauli hiyo wakati...
Naibu katibu tawala wa wilaya ya Arusha mjini akera wananchi baada ya kuwajibu wananchi acheni ujinga na wananchi kugoma kumsikiliza waamtaka aondoke
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa...
Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Deogratius Nsokolo kimepiga marufuku wanachama wote walioanza na wanaotarajia kuanza harakati za kujinadi kuelekea Uchaguzi mkuu kabla ya muda kutangazwa
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeielekeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi, na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk. Juma Homera kuweka utaratibu mzuri wa kugawa sehemu ya ardhi kwa wananchi wa Mbarali itumike kwa shughuli za maendeleo hususan kilimo.
Hatu hiyo imetokana na malalamiko ya...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro.
Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya...
📌Ujenzi wafikia 94%
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025...
Alichoandika Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt.Godwin Mollel kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Hapa nilikuwa namwambia boss, wapinzani wangu jimboni nimewanyoosha hadi sasa wamebaki kutumia vibaraka wao waliopo kamati ya siasa kumlazimisha Katibu CCM wa Wilaya kuandika barua...
Tanzania ni nchi yenye mfumo wa kisiasa ulioimarishwa na uchaguzi wa kidemokrasia. Hata hivyo, kuna majimbo mengi ambapo, Rais aliyechaguliwa, hawajawahi kufika.
Katika maeneo haya, wananchi wanajua viongozi wao kupitia picha zao kwenye mabango tu, bila kuwa na uzoefu wa moja kwa moja nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.