Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, 2025.
Mbali na pikipiki hizo, Kingu pia amechangia vifaa...
Chifu Anthony Thadeo Wangao, Chifu Kapufi wa Tatu wa Sumbawanga Asilia, ametoa kauli yenye uzito kuhusu baadhi ya watu wanaopinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akiwa kiongozi wa kimila anayeheshimika sana katika Mkoa wa Rukwa, amesema wazi kuwa watu wanaopinga uchaguzi ni wale ambao...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano.
Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
Huku Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikipokea mapendekezo ya Kamati ya Wilaya Ilala (DCC) na kuridhia kuhusu kugawanywa kwa Jimbo la Ukonga na kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kivule, mchuano unatajwa kuwa utakuwa mkali wa Jimbo jipya la Kivule huku jina la Dougras Didas Masaburi...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya kutoweka kwa Ndugu Daniel Chonchorio Nyamhanga, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambapo hadi sasa, hajapatikana, na juhudi za kumsaka zinaendelea.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Bw. Daniel Chonchorio Nyamohanga, Mkazi wa Nyakato Jijini Mwanza anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha majira ya asubuhi siku ya jana.
Kwa mujibu wa Familia wanasema aliondoka Nyumbani kwake tarehe 23 majira ya Saa 2 Asubuhi akiwa anaenda mazoezini...
Yaani hii imenishangaza kwakweli, inakuaje aachwe aliyetamka halafu lawama liende kwenye gazeti? Yaani ni kama vile hawajamuona Makalla kabisaa kwa kwenda kulishukia gazeti.
Au wanakubali alichokisema Makalla, maana hata kusema wanazua taharuki bado hawajakana alichosema Makalla
Pia soma Pre...
Katika juhudi za kuimarisha usalama na kupambana na uhalifu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP) George Katabazi ameungana na wananchi wa Kata ya Ihumwa kwa kuchangia vifaa vya ujenzi wa kituo kipya cha polisi jijini Dodoma. Hatua hii imeungwa mkono pia na wadau mbalimbali, ambao wamejitolea...
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa Mjini kimezindua mradi wa maduka 22 yenye jumla ya thamani ya Milioni 178 ambayo yatakayokwenda kutoa huduma mbalimbali Kwa Jamii pamoja na
Kuongeza Mapato ya ndani ya Chama.
Akizindua mradi huo Machi 23, 2025 tawi la stendi Kuu, Kata ya Kitanzini, Wilayani...
CHADEMA inamshutumu Amosi Makala ikidainalieleza Uma kuwa CHADEMA ina mpango wa kununua Virusi vya kuangamiza Wanachama wa CCM.
==========
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeagiza wanasheria wake kuwafungulia mashtaka, waliohusika kusambaza taarifa zilizodai kuwa CHADEMA...
Kwenye usiku wa Huba Huru Ghala Taasisi mbali mbali na Wafanyabiashara wameshiriki katika harambee maalum ya kumchangia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, kuongeza bguvu katika uchaguzi mkuu ili aweze kurejea tena madarakani kuliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano.
Kupata matukio na...
WAJIBU WAKO, SAUTI YAKO, HAKI YAKO!
Ndugu wananchi, demokrasia imara hujengwa na watu wanaotambua haki zao na kuzitumia kikamilifu. Moja ya haki yako muhimu kama raia ni KUPIGA KURA!
Ili kuhakikisha unashiriki katika maamuzi ya taifa letu, hakikisha unajiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameshiriki katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilifanyika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Chama Cha Mapinduzi CCM kimesema ilani yake ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, itakuwa na majawabu ya changamoto mbalimbali za vijana ikiwemo namna ya kutatua changamoto ya ajira.
Hayo yameelezwa leo Machi 22, 2025 na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alipokuwa akiwahutubia...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara Mary Daniel amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya Umoja huo badala yake wao wawe sehemu ya kutetea na kusaidia wanapohitajika ili kujijengea heshima Wakati wote.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia kundi la vijana kutoka Zanzibar, Muhsin Ussi , amesema wao kama vijana kazi yao kubwa ni kulinda amani ya nchi na kwamba hawatamvumilia yeyote atakaye thubutu kuharibu amani ya nchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mjini Babati umefanya matembezi maalum katika viunga vya mji huo, wakimpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati na mingine katika kila kata, wilaya, na mkoa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi...
Kamati ya ushauri ya wilaya ya njombe imeridhia mapendekezo ya kubadili jina la jimbo la uchaguzi la Njombe Mjini na kuitwa jimbo la Njombe Kusini
Wakizungumza katika kikao maalumu kilichofanyika leo Mchi 22, 2025 katika ukumbi wa halmashauri ya mji na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa...
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe waliojitokeza kwenye mkutano ambao umefanyika leo Machi 22,2025 katika viwanja vya shule ya sekondari Igwachanya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Viti 20 Bara Richard Kasesela amewataka wabunge walioko madarakani kuacha kuwakanyaga na kuwachoma wale wanaoonesha nia ya kugombea kwenye maeneo yao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.