kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea miradi ya TBA Dodoma

    Imewekwa: Thursday 22, September 2022 Septemba 17, 2022 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefanya ziara ya kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma. Miongoni mwa miradi iliyotembelewa inajumuisha mradi wa ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali...
  2. Kamati za kudumu za Bunge kukutana kuanzia Oktoba 10-30, 2022 Jijini Dodoma

    Kamati nne (4) za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana tarehe 10 hadi 30 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma. Kamati hizo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
  3. Dkt. Stergomena ashiriki Mkutano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja Baina ya Tanzania na Msumbiji

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Mkutano wa Nne wa Tume ya Kudumu ya pamoja ya Ushirikiano katika msuala ya Ulinzi na Usalama (JPCDS) baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika katika Ukumbi wa Joachim Chisano, Maputo nchini Msumbiji, Waziri...
  4. Maamuzi ni yako kati ya KUISHI ama KUDUMU

    Naam wana Jamii Forum (Jukwaa) Binafsi me ni mzima na nyie natamani muwe hivyo ila kama kuna mmoja wetu hayupo sawa kiakili, kiafya, kiuchumi basi asikaribishe nia ya kukata tamaa. Nafkiri andiko juu lina someka vizuri "MAAMUZI NI YAKO KATI YA KUISHI NA KUDUMU". Nafkiri misamiati mikuu ya...
  5. Bunge Kupokea Maoni ya Wadau Kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022. Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya wadau utafanyika siku ya Jumanne tarehe 20 Septemba, 2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Pius...
  6. T

    SIMBA mpeni mkataba wa kudumu kocha Juma Guardiola Mgunda. Tutegemee soka biriani

    Uzi tayari
  7. M

    Uongozi wa Simba SC tafadhali kama Matola ni Kocha Msaidizi wa kudumu, mtueleze sisi mashabiki

    Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha wengine? Uongozi wa Simba SC tafadhalini sana kama wenyewe kisirisiri kutokana na upumbavu wenu...
  8. Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

    Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
  9. D

    SoC02 Uchumi: Siri ya mafanikio ya kudumu

    Siri ya Mafanikio ya Kudumu Maisha ni vita. Hasa wakati uchumi ndio hoja kuu. Hivyo ni muhimu kuwa na nyenzo za ushindi. Nyenzo kuu itakayo kupa nafasi ya kupata ushindi, tena wa kudumu, ni kujitambua. Mapambano ya maisha ni endelevu na yenye kubadilika mara kwa mara. Kwa wale wanao jitambua...
  10. B

    Njia ya kutengeneza Wateja wa kudumu kwa kutumia 'Business Card' yako katika shughuli ufanyayo

    MUHIMU SOMA🌴🌴🌴🌴🌴 HELLO HABARI YA MUDA HUU BOSS WANGU, JE UMETUMIA KILA MBINU LAKINI HUPATI WATEJA WA KUTOSHA KATIKA BIASHARA YAKO? Basi leo malaika wa Mungu huenda amenileta hapa kwaajili yako, SOMO LA BUSINESS CARD KATIKA KUPATA WATEJA WENGI SANA HAIJALISHI BIASHARA KUBWA AU NDOGO Kwa muda...
  11. Ili uzi udumu muda mrefu humu kuna vigezo gani?

    Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
  12. D

    Tukibadili mtizamo pale Kivukoni Kigamboni tutaondoa kero ya kudumu na kuzalisha Masaki mpya kama hivi

    Historia ya mji wa kigamboni ilikuwa shamba, kama ilivyokuwa mbezi beach na maeneo mengine yaliyokuwa pembezoni mwa mzizima (Dar) Mawazo ya kuleta kivuko pale kigamboni yalilenga tiba ya dharula kwa wakati huo teknolojia ilikuwa haijasambaa duniani! Hivyo matumizi ya kivuko siyo usafili wa...
  13. CCM wanafikiri kura walizopata 2020 ni mali ya kudumu

    Nimemsikia Membe akizungumza kwa kujiamini kama ilivyokua kawaida yake. Mimi namshangaa ni msomi wa aina gani asiyeweza kutathmini mambo kisayansi hata kidogo. Yeye ni mwanasiasa asiyekua na mvuto wowote zaidi ya kujiamini bure. Tatizo lingine kubwa la Membe kwenye siasa sio mtu mwadilifu. Ni...
  14. S

    Wanaobahatika kuwa Marais wa nchi hii wanapoteza fursa ya kuingia katika historia ya kudumu kwa kushindwa tu kuwapa Watanzania Katiba Mpya

    Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila inawezekana alipotoshwa na wenzake ndani ya chama na huenda hili ni jambo analolijutia katika maisha yake na...
  15. Kitanda cha kudumu

    Hakuna tendegu wala chaga kuvunjika
  16. B

    Katiba Mpya ni watu, Marafiki wala Maadui hawawezi kuwa wa Kudumu

    Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa. Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga mchakato wake. Tunaotaka mustakabala mpya tupo chini ya meza. Wasiotaka mustakabala mpya wako juu...
  17. T

    Umagufuli ndio tiba ya kudumu ya maradhi ya ufisadi, rushwa na uzembe

    Nikikumbuka zoezi la mchakato wa awali la usaili kwa ajili ya ajira za TRA lilivyochukua muda mrefu nikaamini zoezi hilo lingekuwa na umakini mkubwa lakini sivyo zoezi hilo liligubikwa na uzembe, ufisadi na rushwa. Katika hali isiyitarajiwa kijana mmoja alijikuta akiongea kwa uchungu na kusema...
  18. Tanzania ina Mikoa mingi ila ni kwanini Kihistoria Mkoa wa Morogoro una Urafiki wa Kudumu na wa Kiupendo kabisa na Ajali Mbaya tu nchini?

    R.I.P sana Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine uliyefia Morogoro njiani, R.I.P mno Marehemu Mjomba wangu Kipenzi Ian uliyefia njiani ukiwa unakuja kunipitia twende Kuiangalia Simba SC yetu, R.I.P wale Makomandoo Wawili mliofia njiani Morogoro, R.I.P Madereva wote wa Gari ndogo mnaokufa kila Uchao...
  19. Waziri Nape Nnauye akutana na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo...
  20. Waziri Bashe aahidi suluhu ya kudumu ya upandaji holela wa bei za mbolea

    Ameandika Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe katika ukurasa wake wa Twitter. Nina Faham maumivu ya bei ya mbolea sio kwa kuambiwa bali kwa kuyaishi basi na mimi binafsi ninajua kama mkulima. Tuna maelekezo ya Mh Rais kuhusu hali ya mbolea nawaomba Ndg zangu tuwe na subira, msimu ujao wa kilimo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…