kudhalilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Yani kwa sasa POLISI ni kama wapo juu ya sheria na mamlaka zote wananyanyasa na kudhalilisha sana raia huku mitaani

    Yani kwa sasa hata jambo dogo tu anajisikia tu kusema nakuweka miezi sita na hutoki hata aje nani. Hii nchi kwakweli tumefika pabaya sana, hili kundi la polisi hili itafutwe tu namna ya kushughulika nalo maana sasa hawa wamesha kuwa ni watesi wa raia kabisa, wababe hata katika mambo ya kawaida...
  2. The Father of All

    GE2025 Aliyedhalilisha Jeshi kwa kuliweka mitaani kabla ya Uchaguzi afunguliwe mashtaka ya "kudhalilisha Jeshi" na "Uhaini"

    Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya Tanzania na watanzania dhidi ya maadui wa nje. Mosi, ni bwege na zwazwa gani ameamuru jeshi liingie mitaani kuingilia kazi ya polisi? Pili, walishuku kuwa polisi hawana morali, hivyo, wasingetimiza wajibu wao? Tatu, kuna uoza na uzwazwa zaidi ya huu? Nne...
  3. Roving Journalist

    TLS: Tumesikitishwa na vitendo vya kudhalilisha, kukandamiza, na kutweza utu wa Lissu anavyofanyiwa na Vyombo vya Dola

    1 AGOSTI, 2025. TAMKO KUHUSU HADHI, STAHA, HAKI NA UTU KATIKA UENDESHAJI WA SHAURI DHIDI YA WAKILI TUNDU ANTIPAS LISSU MUGHWAY. Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) limefuatilia kwa karibu mwenendo wa uendeshaji wa shauri linalomkabili Mwanachama wetu, Wakili Tundu...
  4. Roving Journalist

    PreGE2025 Edda Sanga: Udhalilishaji katika Mitandao kwa Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai ngazi ya Uongozi

    Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
  5. Mr Sir1

    Mwijaku ana immunity gani ya kumuwezesha kudhalilisha watu atakavyo?

    Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo. Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji. Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa...
  6. Morning Glory1

    Hivi hawa makocha wa ligi yetu ya NBC mnawaelewa kweli. Kwanini wanaendekeza njaa zao na kudhalilisha taaluma zao za ukocha?

    Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!... Ifikie hatua haya malalamiko ya makocha kupangiwa timu na viongozi yafike mwisho Wewe ni kocha ukiona kiongozi...
  7. ngara23

    Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa...
  8. Roving Journalist

    DC wa Ikungi: Tunachunguza tuhuma za Mwalimu wa Shule ya Mandimu (Singida) anayedaiwa kudhalilisha Wanafunzi

    Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine waache Shule. Shule hiyo inapatikana Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Serikali imesema...
  9. The Father of All

    Kabla hujatukana, kudhalilisha au kushuku wanawake, huwa unajua kuwa na mama yako ni mwanamke?

    Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo. Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu. 1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke? 2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa...
  10. Mindyou

    BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  11. L

    Ushauri wangu kwa wanajamiiforums mnaotukana na kudhalilisha wenzenu bila sababu kisa Footbal

    Every body is entitled to freedom of expression, this is a constitutional rights.Ipo kwenye Bill of Rights. Kutoa maoni ni haki ambayo nobody huwezi kuichukua, ndio maana Rais anavumilia watu wakimkosoa na wengine wakimkejeli. Mtu anapotoa mawazo yake sio lazima ww uyakubali au uyapende...
  12. K

    Iringa: Mwanakwaya adakwa akidaiwa kumdhalilisha kijana wa miaka 14

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limamshikilia mwanakwaya mmoja wa Parokia ya Mshindo ya Kanisa Katoliki mini Iringa kwa tuhuma za kumdhalilisha kijana wa miaka 14 ambaye alimwajiri kumuuzia Duka lake. Kaimu kamanda wa Polisi wa mkoa wa Iringa, Alfred Mbena anesema mtuhumiwa huyo Blass Nicholas...
  13. R

    Wahubiri wakristo acheni kudhalilisha jina la Yesu

    Biblia inasema muonye mtu muovu, la sivyo damu yake nitaitaka mikononi mwako. Ninyi wahubiri, manabii na mitume wa kisasa mnajua kweli nguvu ya jina la Yesu? Hi li siyo jina la kutamka hovyohovyo. Unakemea sijui pepo sijui laana nusu saa nzima unataja jina la Yesu. Kwa jina la Yesu, kwa jina la...
  14. Chakaza

    Usanii wa CCM: Badala ya kushughulikia Ripoti ya CAG yenye utatuzi kisheria mnatumia mikutano kudhalilisha halafu imeisha

    Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated. CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha. Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu...
  15. je parle

    WATOA MIKOPO TAFUTENU MBINU YA KUDAI NA SIO KUDHALILISHA WATU KUWA WANAJIUZA HII SIO SAWA

    niende moja kwa mbili kwenye mada kuu. kuna hawa watoa nikopo wa sasa kwa njia ya Mtandao Dah wanafanya kitu cha AJABU sana hizi ni kampuni za HOVYO sana mana wanakopesha wanawake ambao hawana kazi yoyote MTAANI .Bali wanakula tu Hizo hela alafu wanashindwa kulipa na kudhalilishwa na watoa...
  16. L

    PreGE2025 Paul Makonda akutana na Vijana zaidi ya 223 maarufu kama wadudu ofisini kwake na kuwataka kuwa walinzi na mabalozi wa kutangaza mazuri ya Arusha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field Marshall anayerejea kutoka uwanja wa vita na mapambano. Baada ya kuwa na utaratibu wa kukutana na...
  17. G

    Madhara ya "uchawa" sasa yameanza kudhalilisha na kuumiza

    Kama taifa tumefanya kosa kubwa sana kuruhusu na kuulea uchawa. Kwamba mtu anayesifia na kujipendekeza kwa rais anaonekana ndiye mwema na mzalendo sana kuliko yule amabaye anapongeza kimya kimya ama anayekosoa. Matokeo yake watu wengi wakaanza kuwa machawa na kuanza kushindana vikundi vya...
  18. NetMaster

    Jeshi la polisi kutaja makabila ya madada poa sio sawa kabisa, Tabia hii inajenga sterotyping ya kudhalilisha kabila zima.

    "UMALAYA , UMALAYA , UMALAYA" - " MALAYA AKIKAMATWA ANAVALISHWA BANGO, KUNA SEHEMU YENYE KABILA LAKE HALAFU UNAPIGWA PICHA " HII SIO SAWA!! Mfano hawa ni wale walikamatwa kwenye maanguro hawa walikamwatwa wakijiuzza mitandaoni
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

    KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
  20. BARD AI

    Afungwa miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono Watoto

    Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi John Mdoe wa Mahakama ya Wilaya dhidi ya Francis Julius Matiko mkazi wa Isevya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuwadhalilisha watoto. Upande wa Mashtaka uliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa kwa nyakati tofauti aliwalaghai watoto wawili wa kike kwa kuwapa Tsh...
Back
Top Bottom