kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM wameanza kuchukua pikipiki zao

    Kuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama, Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuchukua ukigundua kuwa ulipo kuna kamera za Siri

    Kusanya ushahidi kwa kupiga picha na kuredi video za kamera hizo ulizogundua, andika muda, tarehe na eneo ulipogundua kamera hizo. Funika kamera kwa tepe, karatasi au kitambaa bila kushika kamera hiyo ili usiache alama zako za vidole "Fingerprints" wala usiichomoe. Ondoka eneo hilo ili...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

    Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio. Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina...
  4. JamiiForums Tanzania Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

    Hoja ziko kama tatu au hata tano, zinazothibitisha kuwa Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu katika Msikiti wa Al-Aqsa, wala hakuwahi kwenda mbinguni kuchukua sala tano. Hoja ya 1. Kipindi hicho hakukuwa na msikiti wowote pale Yerusalemu. Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD. Akafariki 632 AD...
  5. JamiiForums Tanzania Chuki juu ya mtu ni sawa na kuchukua sumu na kuiweka mdomoni mwako kisha unasubiri imuue mtu unayemchukia. Utakufa mwenyewe

    Hii ni tahadhari kwa watu wenye roho mbaya, roho za kichawi. Iwe unamchukia mtu kwakuwa alikutendea jambo baya, au alimtendea mtu mwingine jambo baya au umeamua tu kumchukia kwasababu za kisiasa au unamchukia mtu kwasababu ya ujinga uliokukandamiza. Yaani haupaswi kumchukia mtu. Nyie...
  6. JamiiForums Tanzania Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

    TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100 Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa watu wanazuiwa kuchukua maiti ya ndugu zao waliouawa kipindi cha uchaguzi?

    Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika. Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi. Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
  8. JamiiForums Tanzania I had a second dream, nimeota tena tukichelewa tunaweza kuchukua miaka kuliponya Taifa

    Ni asubuhi tena iliojaa ndoto mithili ya uhalisia sijui kama naota au nilichokuwa naona ni uhalisia wa tukio bado najiuliza hadi asubuhi hii ya leo nimeota tena kuna kundi la watu vijana kwa wazee wa makamo wakiwa kwenye harakati nzito kana kwamba ni vurugu zilizo anza watu hawa hawasikii...
  9. JamiiForums Tanzania JWTZ tangazeni usiku huu kuchukua nchi. Enough is enough.

    Samia kakimbia nchi. Yupo mpakani mwa Tanzania na Uganda. Anang'ang'ania arudi ili aapishwe na kuendelea kuwa Rais. Anaua Watanzania kwa mercenaries wake aliowatoa Uganda kwa Mtoto wa Museveni. Mumeona namna hao wanajeshi wa Uganda walivyoua na wanavyoua Watanzania. Samia sio tu hafai kuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kyela: Wananchi wavunja stoo ya TRA na kuchukua mali zao zilizokuwa zimechukuliwa

    Wananchi Kyela wamevunjaa stoo ya TRA na kuchukua mali zao kuna pikipiki zilikamatwa sasa wanatoa tu mali wanatembea nazo.
  11. JamiiForums Tanzania Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba, na inapokosekana Mifumo thabiti ya kumwajibisha, Jeshi linapaswa kuchukua hatua

    Katiba inatambua haki ya msingi ya uhai na kuishi kwa kila mwananchi. Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba kwa kuruhusu operesheni za Wananchi wanaompinga kutekwa, kupotezwa na kuuwawa huku Taasisi zinazopaswa kumwajibisha zikiwa zimekufa mfano Bunge, Mahakama, Tume ya Haki za Binadamu na Ofisi...
  13. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kulizuia Jeshi kuchukua Nchi halipo kipindi hiki

    Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi. Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
  14. JamiiForums Tanzania Sina imani kabisa na hali ya Polepole huko alipo sasa. Zile damu kumtoka alipelekwa wapi?

    Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye. Ni mawazo tu.
  15. JamiiForums Tanzania Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU 1, afute uchaguzi 2, amwachie tundulisu haraka sana na wafungwa wote wa kisiasa 3, katika mpya 4, asifukue makuburi aanze upya kwa upendo mpya , sisi tumesamehe yote 5, ahakikishe watanzania wote wenye asili za nje wanakuwa raia rasimi 1...
  16. JamiiForums Tanzania TTCL: Kufungiwa Huduma za Fiber ni bure, wanaodaiwa kuchukua rushwa hatua zitachukuliwa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
  17. JamiiForums Tanzania Israeli hawakuwa na chaguo jingine bali kuwachukulia hatua Hamas!!

    Israeli hawana chaguo ila kuchukua hatua. Uongo wa Hamas ya Palestina kusema Gaza ina njaa na huku magaidi hao kuwatesa mateka wa Israel katika mahandaki yao huko Gaza na israel ilishaapa mauaji ya Oktoba 7.hayatajirudia tena milele Israel haina chaguo ila kuwasambaratisha magaidi wa Hamas na...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ofa hamna anaetoa, mje kuchukua bure hii machine

  19. K

    JamiiForums Tanzania JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!!

    JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!! Wana Vunjo wote na Watanzania kwa ujumla, jambo kubwa limewadia! Leo tunapiga mbiu ya mgambo: Kipenzi cha Wanavunjo, Enock Koola, kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  20. JamiiForums Tanzania Kisiasa nini Maana halisi ya Kihongosi kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM na Makalla kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa?

    Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…