Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Tanga imewataka Vijana kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za Uchaguzi kwa lengo la kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika na za Udiwani na ubunge, ambapo fomu hizo zitaanza kutolewa kuanzia June 28 hadi July 2, 2025 katika...
Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025:
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
Amos Makala gwiji la siasa na mbobezi wa magonjwa ya M- pox na Ebola amesema wagombea wa CCM wataanza kuchukua fomu tarehe 28 June baada ya raisi kulivunja bunge.
Uku kwetu Zanzibar Raisi Mwinyi atalivunja Baraza la wawakilishi August 13. Kwa maana iyo uchaguzi ndani ya CCM Zanzibar utaanza...
Watu wengi wameshangazwa na kitendo cha mwanasiasa mkongwe nchini Uganda, Jenerali Mstaafu Moses Ali kuendelea kutaka kuwa mbunge ilihali afya yake imekuwa tete kwa muda mrefu sasa.
Mzee Ali ambaye amekuwa serikalini kwa miaka 54, alipoulizwa ni lini ataachia ngazi, akajibu kuwa ni mpaka...
Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni.
Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii.
Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho.
G55 linahusisha makada wa Chadema waliotoa waraka wakiushauri uongozi wa Chadema kushiriki uchaguzi licha ya...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, baada ya kupitia ushauri kutoka kwa wanachama wake.
Wakuu,
Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa Marburg.
Soma: Pre GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mchango...
Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.
Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.
Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!
Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA...
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
Chama cha Wananchi CUF kimetoa wito kwa mamlaka inayosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuongeza muda wa wakuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea.
Katika tamko ambalo wamelitoa November 1, 2024 majira ya mchana ikiwa yamebakia masaa machache kwa muda rasmi uliotolewa na TAMISEMI...
Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali...
Pazia la kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwaka huu 2024 limefunguliwa Jana Oktoba 26, 2024 kwa mujibu wa TAMISEMI.
Zoezi hilo ambalo litafanyika kwa siku Saba, Hadi Novemba 1, 2024, litaambana na kurudisha fomu kwa wagombea...
Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.