Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Salum Mwalimu ametangaza rasmi mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi za Ubunge, Viti Maaalum na Udiwani kupitia chama hicho ni Agosti 15, 2025 Saa kumi alasiri
Hamjambo Wote!
Pamoja ujasirisiasa aliokuwa nao Polepole kwa sakata lake, wiki hii! Kwa Hilo nilimpongeza.
Lakini baada ya kumsikiliza kwenye Press yake Leo. Kwa kutazama body language yake, na anavyoongea. Nimebaini kuwa Humphrey Polepole anayoyafanya ni matokeo ya kambi ambayo yupo kukosa...
Aliyekuwa diwani wa Kata ya Mahuninga amefariki dunia siku chache baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine.
Kisogole, alikuwa diwani wa Mahuninga katika Tarafa ya Idodi, mkoani Iringa na amefariki dunia jana Ijumaa...
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.
Inasemekana Baadae Saa 8...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM limekamilika siku ya jana Julai 2, 2025, jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...
https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ
Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo...
Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa...
Wakuu kwa wale mliokuw amnasubiri kwa hamu kujitosa kwenye ubunge na udiwani kupitia CHAUMMA ni wakati wenu sasa. Fomu zitaanza kutolewa kuanzia Julai 1, 2025 katika ofisi mbalimbali za chama kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP.
Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu!
Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!!
Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
Dear comrades, nimewaita mara tatu hapo juu. Kuna watu wengi ni viongozi wazuri sana ila laki 5 sio rahisi sana kwao. Tusiwapoteze!!!.
Mmeweka siku chache sana na huku wengine bado wanajikusanya kusaka laki 5 za fomu za ubunge.
Comrades Mheshimiwa Rais Samia, Dr Nchimbi, CPA Makala na Mongela...
Kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kinaendelea kushika kasi baada ya Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata hiyo
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Leo Juni 29,2025 amechukua fomu na...
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa
Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada...
Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge.
Ndugu Mayalla anatajwa kama moja ya wanasiasa nguli na mwenye maamuzi magumu kisiasa kama alivyo na...
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma, leo ameibuka katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kwa lengo la kuchukua fomu ya kuwania ubunge kwa awamu nyingine.
Musukuma aliwasili katika ofisi hizo majira ya saa 9:35 alasiri, akiwa ameambatana na Katibu...
Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.