kucheza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Marvel's Spider-Man: Miles Morales GAME: Jinsi Ya Kucheza Spider Man kwenye PS5

    FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE, inaonyesha kuwa spider miles morales anaachiwa mji wa New York Peke Yake aulinde wakati spider wa...
  2. JamiiForums Tanzania Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

    Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
  3. JamiiForums Tanzania Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

    Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake. Uzi...
  4. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Miezi sita ya Fei Toto kucheza soka viunga vya TFF

    JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba mwaka jana. Kwa sasa Fei amekuwa maarufu katika viunga za TFF kando yake akiwa na meneja wake pamoja...
  5. JamiiForums Tanzania GTA V: Targeted Risk | Jinsi ya Kucheza

    Targeted Risk is a Strangers & Freaks side mission in Grand Theft Auto V given by Dom Beasley, involving protagonist Franklin Clinton. It's the 3° mission for Dom Beasley, after the Liquidity Risk mission. Being a Franklin mission, this Strangers & Freaks mission is required for 100% completion...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    I have being watching him in several matches, factors hidering his performance . Poor positioning . too heavy (mzito) . Poor Football intelligence ( he needs to attend class again ) How to improve . He should switch the numbers . Improve the runs . He should be loan to a different club for...
  7. JamiiForums Tanzania Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

    Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika. Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC kila ikikaribia tu Kucheza Mechi Kubwa na Muhimu hupatwa na Misiba?

    Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia. MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda...
  9. JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kucheza robo fainali, timu za Shirikisho zilitakiwa kucheza Play off na timu ya nafasi ya 3 Champions league, CAF wanakosea

    Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri Mfano Monastir...
  11. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa kucheza magemu

    Natafuta magemu ya kivita ya kuokoa watu au kwenda sehemu fulani kwenda kupigana kumuokoa mtu fulani Yan game liwe Kama movie za kivita zinavyokua story yake kwa mnaoyafaham magemu ya namna iyo mnaweza nitajia nikayatafuta iwe ya kwenye cm au PC vyote sawa tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Sakho ni hulka yake ya kutaka kucheza na jukwaa!!

    Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
  13. JamiiForums Tanzania Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
  14. JamiiForums Tanzania Mesut Ozil atangaza kustaafu kucheza soka

    Kiungo huyo wa zamani wa Real Madrid, Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani amechukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 34, timu yake ya mwisho kuitumikia ikiwa ni Istanbul Basaksehir ya Uturuki. Timu nyingine ambazo amewahi kuzichezea ni Schalke 04, Werder Bremen na Fenerbahce. ==============...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hoja kuwa Yanga hawawezi mechi za kimataifa imekufa kifo che mende, wamebaki na kauli ya Yanga kucheza kombe la loser!

    Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu. Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
  16. JamiiForums Tanzania Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa Vijana...
  17. JamiiForums Tanzania Nini maana ya hii "Ngozi ya chini inayoshikiria jicho kucheza"?

    Habari, Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii shangilia ya Nguvu ya Kocha wa Simba SC Olivieira kila Goli likifungwa angeihamishia kwa Timu kucheza kwa Nguvu ningeona ana Akili.

    Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaoshindwa, waliolishindwa na wasioweza kuacha kubet (mpira) au kucheza dubwi la Mchina au vyote (kamali) tujuane

    Wasalaam JF Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa. Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua formula za kucheza draft

    Wakuu habari za usiku.. Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema. Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…