kuchepuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu. Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani? Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
  2. maroon7

    Sijui kwanini nachepuka...

    Yaani mama yeyoo alivyo kisu hata sielewagi why mimi sometimes nakua mchepukaji. Maana hata kipindi nampata yeye ndo alikua kama side chick halafu main chick sikumuoa japo naye alikua kisu. Ila tuache utani wachepukaji tunakua na maoption sana maana nikikumbuka visu nilivokua nakula hadi...
  3. Equation x

    Sioni faida yoyote kuzaa mtoto ambaye hatokuwa chini ya himaya yangu

    Nilikuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu, ambapo bidada baada ya kunogewa alishauri tuzae mtoto, ambapo atabeba mimba yangu, na kumuhadaa mumewe kuwa ni mimba yake, pia na mtoto atakayezaliwa atatumia jina la mumewe. Kutokana na ushawishi, ilibidi nimkubalie na kwa sasa yuko karibuni kujifungua...
  4. Mr No fair

    Kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na kuchepuka mama yake?

    Wana jamvi nadhani mtanichoka ila muendelezo wa maswali nayouliza yanamaana kwangu. Nadhani jinsi nitavyojibiwa na wataalamu mbalimbali humu hivi kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na Mwanamke kuchepuka?
  5. WOLF SEPTICEMIA

    Nimesamehe lakini sitasahau

    Hodi wakuu! Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa...
  6. Sisyphus

    Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

    chocolate
  7. Jamaa Fulani Mjuaji

    Kwanini wake za watu wengi wanaongoza kuchepuka?

    Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana. Yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi. Vijana wapendeni wake zenu...
  8. Equation x

    Nilivyo-date na jirani yangu bila kujua

    Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza...
  9. Mukulu wa Bakulu

    Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

    Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu. Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza...
  10. T

    Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

    Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke. Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri. Utashangaa...
  11. Zero IQ

    Kuna kila dalili ya kuchakata pisi ya kiarabu leo

    Niko maeneo Yangu ya kujidai kusherehekea mara baada ya kutoka kupima na kuambiwa Sina Ngoma ni mzima wa Afya kabisa. Ili eneo flani hivi la Nyama za kuku choma hapa Dodoma. Nimeagiza kuku, na castle Light ya baridii kabisa kujipongeza. Kwa pembeni naona kuna mtoto wa kiarabu koko ananikodolea...
  12. Mlolongo

    Wapenzi wangu wa zamani wameolewa lakini naendelea kuwatafuna kama kawaida

    Sijaona 'significant' difference kabla hawajaolewa na baada ya kuolewa. Naendelea kuwabinya kama kawa. Labda tofauti ndooogo iliopo ni vizinga. Sasa hivi hawanipigi mizinga ya kipumbavu. Si wanahudumiwa na waume zao bana? Sana sana huwa naingia gharama za nauli kuwavuta waje machinjioni. Maana...
  13. ndenjii handsome

    Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

    Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga. Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza. Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia...
  14. ivan1212

    Kuweni makini na wake zenu jamani

    Habarini wana jamvi. Naamini mko salama kabisa na poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Naandika uzi huu kuwakumbusha tu muishi nao kwa akili na pia umakini na kufatilia mambo kwa hawa wake zenu. Leo katika harakati zangu za kutoa genyerh mwilini katika hoteli flani ivi nikapishana na mke wa...
  15. Musa Meizon

    Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

    Habari yako ndugu msomaji. Hili ni swali la kizazi cha leo, watu wengi wamelijibu kutokana na hisia zao na sababu mbali mbali zisizo na ukweli. Leo tulijibu katika uhalisia wake. Kabla hujajibu lazima ujue hili, nini kinapelekea wanaume kuwasaliti wapenzi wao? Tuanze na mzizi. Ukweli ni...
  16. scientificall

    Hana hisia kabisa na mke wake wa ndoa

    Habari za mda huu wana jamvi ameniomba nifikishe uzi huu yaezekana akapata suruhisho au ushauri kutoka kwetu kwani hili ni jukwaa muhimu sana katika hili. Ni mtoto wa mjomba angu ambae ni wakiume. Kutokana na ukaribu wangu nae haswa katika kumshaur mambo mbali mbali katika maisha toka bado...
  17. Dam55

    Ungekuwa wewe ungemshauri nini huyu dada?

    Habari Kaka, mimi ni Mama wa watoto wawili, nimeolewa ndoa yangu ina miaka 7 sasa, mwkaa jana nilikorofishana na mume wangu, nilimfumania na dada wa kazi. KutoKana na kunidhalilisha nilichukua jukumu la kuondoka ili kumuacha, lakini alikuja kuomba msamaha nikamsamehe, lakini nilishindwa...
  18. mzee wa kasumba

    Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

    Kuandika Uzi wa mapenzi asubuhi subuhi haimaanishi kwamba hatujengi Taifa. LAA! Muhali gani wapendwa? Nawaombea muwe na afya njema. Ni swali fupi tu JE NINI KINAFANYA MTU KUFUKUA MAKABURI (MAMBO MAOVU) YA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NYUMA? Mpenzi wangu na mama mtoto wangu ambaye yuko mbali na mimi...
  19. M

    Baada ya miaka kadhaa ya ndoa, nimegundua watoto wote si wangu

    Mwanachama #002 Shangazi Lisa Naomba unipostie ID yang ficha! Shangazi amini dunia hii ina mambo mengi, changamoto za ndoa hazifanani ,yakwangu imenijia vibaya! Sijajipanga kwa hili kabisa! Na hapa najuta kwanini nilioa! Shangazi natoa mkasaa wangu nivumilie 2 maana ni aibu sana...
  20. Baba jayaron

    Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Habari, Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa. Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa...
Back
Top Bottom