Ni umri upi sahihi wa kuacha kuchepuka?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,351
40,224
Kuchepuka kwenye ndoa imekuwa ni jambo la kawaida kwa watu wengi; unakuta mwanaume ana mpenzi wa kando, pia mwanamke ni hivyo hivyo. Ingawa kwa asilimia kubwa, wanaume ndio wanaoongoza kuwa na michepuko mingi kuliko wanawake, na hii inatokana na kuvutiwa kwa hisia mbali mbali kutokana na warembo wanaokutana nao.

Wapo walioweza kupata watoto katika kuchepuka huko, na hatimaye kuweka mazingira ya kuwa na mchepuko wa kudumu.

Swali langu kwa leo, kutokana na mwili kuchoka pamoja na umri kusogea mbele; ni umri upi ni sahihi wa kuacha kuchepuka? Na kama mlipata watoto, ni nini kifanyike?

1663146873157.png
 
Yote hayo Mfalme Suleiman anasema ni upuuzi mtupu ni Kama kufukuza upepo maana Leo unazini na huyu kesho na mwingine Hadi kufa kwako , jiwekee limitations mwenyewe inawezekana kuishi bila kuchepuka
Wewe bana weee.. kama Sulemani na akili zake zote alizopewa na Mungu bado alifeli kwenye hili eneo, we unaona kwa mtu wa kawaida kama mimi kuna jinsi naweza kukwepa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom