Ukiwa kweli una uhuru wa kuchagua, ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la
Si tu kwamba ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la, bali ungeweza pia kuchagua sifa zinazokufafanua, kama vile utu (personality), ujuzi (skills), tabia (traits), na mambo ya nje kama vile familia, utajiri, n.k.
Yote...