Habari guys?
Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini.
Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3.
Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
Poleni na starehe vijana. Kupanga ni kuchagua, sasa utaamua ununua IST huku unaishi kwa baba mwenye nyumba au kujenga kama haka huku unarudi kulala pazuri ukiwa kwenye daladala au bodaboda. Mjumbe hauawi.
Weekend njema.
Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA
Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31
Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam.
Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi!
Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk!
Kwa jicho la 3, mimi...
chama
chama tawala
gani
kampeni
kampeni za uchaguzi
kisheria
kosa
kosa kisheria
kuchagua
lini
maana
mabango
mwanajeshi
sababu
sheria
uchaguzi
wanajeshi
Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako.
Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako.
Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo.
Lini watatiki?
#HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini mwake, akiwa na Vladimir Putin wa Urusi na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini.
Wakati viongozi wa nchi za...
Habarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.
Kama mambo mengi ikiwemo...
Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza swali moja kubwa: "Ninunue MacBook Air au MacBook Pro?"
Katika makala hii, tutakuongoza kwa lugha...
Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe??
Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
Habari Wana JF
Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa.
Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua
MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji...
Wengi wa watu wanachukia sana wanasiasa kwa sababu wanawaona wana sifa mbaya ni ukweli wako wenye sifa mbaya na nzuri ni kama tu Kwenye biashara kuna ambao ni wafanyabiashara waaminifu na ambao sio waaminifu, hata makazini ni hivyo hivyo kunawapigaji na ambao ni waaminifu
Wanasiasa ni rahisi...
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini...
Kuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu anastahili riziki hiyo hiyo so hata nikiwa nanunua mihogo me namwambia Tu niwekee yoyote.unawazaje...
Nina ndugu yangu yuko kidato cha kwanza shule ya private ila leo karudi na barua toka shule kwamba kachuguliwa kusoma HKL kwa maana ya masomo ya ART na ni yuko kidato cha kwanza je huu ni mtaala mpya wa kulazimishwa kusoma combinations fulani bila mwanafunzi kuchagua?
Na hata bado hajafika...
Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana
Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020.
Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?.
Kwa kutumia Dola.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.