kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mange Kimambi kukamatwa hapana, lipo kubwa zaidi ya kukamatwa

    Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua! Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe...
  2. N

    Kwako Rais Samia nina haya machache nayaleta kwako uwatimizie Watanzania

    Mimi ni muumini mzuri wa Tanzania Kwanza. Nakuomba sana: Fungulia makanisa yote haraka mno. Mwachie polepole wakosoaji wako, waache waongee tu. Hawana madhara kwenye maamuzi yako. Mfano, Dr. Slaa wakati wa Kikwete aliongea na kukosoa sana, Kubenea aliandika mno. Wakati wa Mkapa, Jenerali...
  3. Nafanya zoezi kubwa la kuwatambua waliochochea vurugu

    Niliwahi kuonya kuwa maandamano kama yale ya 29/10/2024 yangepata ugumu kufanikiwa kwa sababu wanaopanga walitangaza muda mrefu na kuwapa upande wa pili muda na nafasi ya kujipanga kwa Plan A, B, C hadi D. Nina theory moja ambayo ninayo na naendelea kuifanyia kazi inayosema kuwa baada ya vyombo...
  4. Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  5. Maamuzi yanapaswa yafanyike haraka, kuvuta muda hasara itakuwa kubwa na itatuchukua muda mrefu ku-recover.

    Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank). Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
  6. M

    Nampinga Mzee Mwandambo kwa mengi ila sina budi kukubaliana nae "hakuna dhambi kubwa kama umasikini"

    Huyo Msafwa wa Mbeya Clemence Mwandambo nampinga kwa vingi ila katika hili ana uzito Umasikini utakufanya utengwe hadi kanisani Ukiwa masikini sahau kuzikwa na maaskofu utazikwa na wasaidizi. Ukiwa masikini utatengwa na watu, ukiwasogelea wanahisi unataka kuwaomba hela. Ukiwa masikin huna...
  7. L

    Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  8. Kuelekea october 29 Mahubiri ya kesho Jumapili 26/10/2025 yanasubiriwa kwa hamu kubwa

    GT Itakuwa story kubwa sana kesho. Wavaa suti.watajazana kusikia nini kinasemwa aha ha ha Tutabiri kauli ya Malasusa ah ahaha mtego mtegoni. Sijalelewa kupingana na serikali.
  9. Je kuna censorship kubwa ya mawasiliano inafanywa?

    Tangu mwanzoni mwa wiki Hi kumekuwa na shida mitandaoni 1. Kutuma pesa 2. Kupokea msg za uthibitisho 3. Miamala kuchelewa kusoma 4. Msg za kawaida kuchelewa sana kufika 5. Internet kusumbua sana nknk Yaani ni kama vile msg kuna mahali zinapitia kwanza kisha ndio zinamfikia mlengwa! Najiuliza tuu...
  10. PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.

    Wanabodi Nazungumza na Mhariri Waandamizi Absolom Kibanda akizungumzia ilani ya CCM. https://youtu.be/8BSHw4ZM7A8?si=Juc7jONBbKGtmz3b Karibu Paskali
  11. M

    GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
  12. Afrobarometer: Idadi ya wanaotaka utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wanaotaka demokrasia

    Tafiti za Afrobarometer zimeonesha chini ya 50% ya Waafrika Kusini wanapendelea demokrasia kuliko aina nyingine za utawala. Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya tafiti nchini Afrika Kusini, idadi ya raia wanaounga mkono utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wale wanaoupinga...
  13. W

    GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  14. K

    Nani mwingine anamuona Dkt. Bashiru kwenye nafasi kubwa sana pengine kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi?

    Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
  15. J

    Polepole alifanya kosa kubwa kutowafichua waliomteka dada yake. Sasa na yeye ametekwa

    ..alidai waliomteka dada yake amewaona. ..na akadai anawajua waliowatuma. ..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake. ..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka. ..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki. ..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
  16. Kwa usd billion 5 tunajenga natural gas project (drilling) kubwa na tunaimudu kabisa-fahamu ecosystems yake

    Miaka 20 iliyopita Rais mkapa alifungua mlango kwa waekezaji wa madini kule kanda ya ziwa ila kwa masikitiko makubwa mpaka leo kuna umaskini wa kutisha wakazi wa kule hawaoni faida ya madini na yale makampuni- utakua upunguani kuwapa makampuni ya kigeni gesi yetu eti hatuwezi na tutakuwa...
  17. Genereta kubwa linauzwa Tsh. 900,000/-

    Genereta aina ya boss kubwa naliuza tsh laki 9 tayar limetumika mwaka ... changamoto ni betri tu
  18. KERO Janga la uhaba wa maji ni kubwa kwa wakazi wa MailiMoja – Kibaha (Pwani), shida ni kubwa mno

    Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga. Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa siku chache takribani tatu hadi nne kutokana na maboresho ya mitambo yam aji, lakini ilipita wiki...
  19. Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  20. M

    GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

    Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…