kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dubai: Maji yana bei kubwa kuliko mafuta

    "Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta. Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji...
  2. JamiiForums Tanzania Natangaza fursa ya Ajira Kubwa kwa tusio na Ajira Tanzania

    Utakuja Kwangu GENTAMYCINE na Mchango wako tu wa Shilingi Elfu Hamsini ( Tsh 50,000/= ) tu kisha Maelekezo yafuatayo yatafuata Kwako..... 1. Kuna Fomu utajaza aina ya Kazi ambayo utaiweza na hasa hasa ni za Uokoaji Watu wakiwa Matatizoni 2. Kisha mkishakuwa Watu 25 tu Mimi GENTAMYCINE nitakuwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Tanzania haihitaji kukopa, udhibiti wa mapato yetu uongezwe na wezi wanyongwe!

    Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni 500, huku upotevu na wizi wa kodi zetu ni zaidi ya bilion 700, maana yake ni nini.? Form four felia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa anafahamu maana ya uwajibikaji? Ajali 3 kubwa zimetokea ofisi yake imeshindwa kuokoa watu lakini yupo tu

    PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali? Au hatambui maana ya cheo ni dhamana? 2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
  5. JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa michezo ya kubahatisha kwenye redio hapa Tanzania kuna manufaa gani kwa nchi yetu?

    Msinichoshe wala nisiwachoshe, rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi redio kubwa hapa Tanzania kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati, nime 'experience' kwa redio zifutazo; Clouds wana #mchongo pesa Wasafi wana #chota mahela East africa wana #peseka Radio free wana #bustika minoti...
  6. JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda, Prisca Kishamba na Yahya Njenge muombeni Edgar Kibwana 'awakopeshe' akili zake kubwa

    Mchambuzi Mnafiki Tanzania nzima Shaffih Dauda..... "Sijaona kosa lolote kwa Injinia Hersi Said Rais wa Yanga SC kwa kauli yake ya wala mihogo." Dauda Dhambi ya Njaa, Unafiki na Kujipendekeza kwa Viongozi wa Simba na Yanga inakutafuna na utaishia kubaya. Najua leo umejitolea kumtetea Injinia...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

    Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti! Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama. Una Ziwa Tanganyika. Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi. Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies? Tutakukumbuka hayati.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Songwe kuna shida kubwa sana

    Nimeoona bandiko moja la askofu kwamba kuna kijana mmoja fundi bodaboda ametekwa na polisi nikashtuka sana na nikajiuliza maswali mengi sana. Mkuu wa wilaya Mkurugenzi katibu tawala wilaya wote wapo. wawakilishi wa raisi wapo bado watu wanatekwa? Raisi fukuza mkuuu wa wilaya na mkurugenzi...
  10. JamiiForums Tanzania DC wa Kinondoni Godwin Gondwe hivi ile IQ yako Kubwa ninayoijua imepotelea wapi?

    Yaani unahojiwa na Radio One kupitia Mtangazaji wao Godfrey Monyo kuhusu Kukosekana kwa Maji Wilaya anayoishi GENTAMYCINE ya Kinondoni badala ya Kujibu Kiufasaha na Kiutaalam Wewe unaanza Kujibu Kisiasa Kisiasa huku muda wote ukibabaika babaika tu. Godwin Gondwe ( DC Kinondoni ) nakufahamu...
  11. JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la vijana kuanzisha NGOs ajenda zile zile

    Ndugu zangu, Kabla ya wiki kuisha nimeona niwashirikishe hili. Wiki hii nimehudhuria warsha kadhaa hapa mjini na nimeona kitu ambacho naweza kusema ni wimbi la uwepo wa vijana wengi wasomi ambao nadhani wamevutiwa na idea nzima ya kuitwa/ kujulikana kama waanzilishi au ma-ceo katika makampuni...
  12. JamiiForums Tanzania Mo Dewji ulikosea sana 'Kumsifu' vile hadharani Kocha Mgunda

    Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa pili. Mo Dewji baada ya wewe kumsifia mno vile Kocha Mgunda na kuahidi kuwa ungekutana naye Ili...
  13. JamiiForums Tanzania Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

    Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana! Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mashine inayopumulia CHADEMA kwa sasa ni kupinga kila kitu kwa sauti kubwa bila hivyo itapotea

    Inavyoonekana harakati za kudai mageuzi ya kweli kupitia chadema zimeingia kwenye zama ngumu sana kuwahi kutokea katika taifa letu. Kwa kadri ccm inavyobadilibadili ma dj wake na midundo ya muziki inavyogeuzwageuzwa, ni kama kuna namna wananchi wananogewa na mziki wao. Nimefikia kufikiri hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

    Juzi niliwauliza wanaJF. una mshauri nini kijana ambae yupo mtaani tu hana ajira mawazo yalikuwa ni mengi na ni mazuri pia. Ila na mimi leo nimeamua kuja na uzi ambao utakuwa na biashara kadhaa ambazo unaweza kuanza nazo kwa mtaji wa laki moja lakini cha kwanza kabisa lazima tujue kuwa biashara...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini herufi "U" linapokuja suala kuiandika kwa mkono kwa herufi kubwa nashindwa?

    Ni maoni au
  17. JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kwa mwaka 2022 ni kubwa kuliko 2021

    Kimsingi trend ya bei ya mahindi imeonesha hali isiyo ya kawaida kwa mwaka 2022. Hali tunayoweza kuilalamikia ulaya kutokana na Vita vinanvyoendelea Ulaya mashariki. Kwa kuangalia trend ya bei za gunia la mahindi ni kawaida kwa bei kupanda na kushuka kutokana na utofauti wa vipindi vya mwaka...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

    DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000. Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu...
  20. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kuna ongezeko kubwa la wenye chini ya miaka 50 kuugua Saratani

    Je, ni uchaguzi wa mtindo wa maisha au teknolojia bora ya uchunguzi? Kulingana na utafiti mpya, vijana wengi zaidi duniani kote walio chini ya umri wa miaka 50 wanagunduliwa kila mwaka na Saratani inayoanza mapema. Dk. Suneel Kamath, kutoka Kliniki ya Cleveland alisema, "Hivi ndivyo ninavyoona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…