Shaffih Dauda, Prisca Kishamba na Yahya Njenge muombeni Edgar Kibwana 'awakopeshe' akili zake kubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,049
Mchambuzi Mnafiki Tanzania nzima Shaffih Dauda.....

"Sijaona kosa lolote kwa Injinia Hersi Said Rais wa Yanga SC kwa kauli yake ya wala mihogo."

Dauda Dhambi ya Njaa, Unafiki na Kujipendekeza kwa Viongozi wa Simba na Yanga inakutafuna na utaishia kubaya.

Najua leo umejitolea kumtetea Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) ili kesho ukampige mzinga na pia asiwe anakunyima tenda za kuuza jezi na merchandises za Yanga SC katika maduka yako.

Kumbe ndiyo maana hata mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara hakupendi kwakuwa wewe ni mnafiki na huwa unapenda mno kuwapiga mizinga ya hela wakubwa wa Simba na Yanga ili uishi hapa mjini. Hopeless kabisa!

Watangazaji Prisca Kishamba na Yahya Njenge.....

"Hersi hana kosa kwani mihogo ni chakula kinacholiwa kila siku na watu wa maisha yote tu."

Prisca Kishamba najua kuwa nawe katika walioomba ajira ya Usemaji wa Yanga SC ulikuwemo ila huyu huyu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said unayejipendekeza kwake leo kwa kumtetea na kauli yake ya kuwaita wana Yanga SC ni wala mihogo alikutosa na kumpa Ally Kamwe.

Tunajua nawe hivi sasa unajipendekeza Kwake na Yanga SC Ili uwe unapewa kazi za Yanga SC na hata kuwa sehemu ya MC's wa Yanga SC katika matamasha yao (hafla zao).

Prisca Kishamba yule aliyeokolewa na kubadilishwa kimaisha na marehemu Boss Ruge (Marketing, Promotion, Creative and Entertainment Guru) baada ya kukuona ukiteseka na kutaabika na maisha yako magumu (yenye kutia huruma) siyo huyu wa leo.

Sitaki niseme mengi juu yako kwani nakujua ndani nje mpaka na ya ziada ila ngoja nichague tu kukutunzia siri zako zaidi. Badilika upesi na acha unafiki.

Yahya Njenge wewe ndiyo kabisa hata sitaki kupoteza muda nawe kwani dhambi ya ushamba (umbwiga) inakusumbua sana ndiyo maana hata akili zako zimekaa kiuvuvi uvuvi tupu kazi ambayo ndiyo unaiweza na ndiyo maana hata akili zako sometimes zimekaa kama samaki, yaani hujulikani uko nchi kavu au majini (upo upo tu).

Unaboa ile mbaya.

Mchambuzi mwerevu (intelligent) katika Wachambuzi wote wa michezo Clouds FM na Clouds Tv Edgar Kibwana....

"Acheni kumtetea Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na kulirahisisha hili jambo. Ukweli ni kwamba yeye kama kiongozi wa taasisi kubwa kama ya Yanga SC amewakosea mno kwa kuwaita wala mihogo na anapaswa kuwaomba radhi wana Yanga SC na hata wanamichezo wote. Na atambue ya kuwa hii mihogo anayoidharau wengine ndiyo imewakuza, na mpaka kuwasomesha vyuo vikuu na leo ni watu wakubwa mno nchini."

Edgar Kibwana Mimi GENTAMYCINE sina Deni nawe na tayari kwa Kukataa Kwako kuwa Mnafiki na Mtu wa Kujipendekeza na kuendekeza Njaa kama Boss wako Shaffih Dauda na Watangazaji akina Prisca na Yahya tayari una Pepo yako Mbinguni umeshaandaliwa.

Mwisho kabisa Shaffih Dauda acha Kudanganya ( Kuhadaa ) Watu kwa kusema kuwa katika ile Video Clip ya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kusema ni Wala Mihogo alikuwa anatania na kucheka.

Wote tumeiona hiyo video clip na ukweli ni kwamba yapo maeneo aliyocheka kidogo ila alipofika katika suala la Yanga SC na mashabiki (wanachama) wake alikuwa amechukia (mkali kama mbogo), huku hata body language yake ikikuonyesha pamoja na uso wake. Sasa iweje leo mnafiki na muongo mmoja wewe utudanganye akina GENTAMYCINE tuliokuzidi akili, maarifa na jicho la kiutambuzi na kiuchambuzi katika masuala mtambuka?

Cc: Slim5, Mshuza2, Bujibuji Simba Nyamaume, SAGAI GALGANO, Daudi Mchambuzi etc
 
"Sijaona Kosa lolote kwa Injinia Hersi Said Rais wa Yanga SC kwa Kauli yake ya Wala Mihogo"

Dauda Dhambi ya Njaa, Unafiki na Kujipendekeza kwa Viongozi wa Simba na Yanga inakutafuna na utaishia kubaya.

Najua leo umejitolea Kumtetea Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) Ili Kesho ukampige Mzinga na pia asiwe anakunyima Tenda za Kuuza Jezi na Merchandises za Yanga SC katika Maduka yako.

Kumbe ndiyo maana hata Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara hakupendi kwakuwa Wewe ni Mnafiki na huwa unapenda mno kuwapiga Mizinga ya Hela Wakubwa wa Simba na Yanga Ili uishi hapa Mjini.

Hopeless kabisa.

Watangazaji Prisca Kishamba na Yahya Njenge.....

"Hersi hana Kosa kwani Mihogo ni Chakula kinacholiwa kila Siku na Watu wa Maisha yote tu"

Prisca Kishamba najua kuwa nawe katika Walioomba Ajira ya Usemaji wa Yanga SC ulikuwemo ila huyu huyu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said unayejipendekeza Kwake leo kwa Kumtetea na Kauli yake ya kuwaita wana Yanga SC ni Wala Mihogo alikutosa na kumpa Ally Kamwe.

Tunajua nawe hivi sasa Unajipendekeza Kwake na Yanga SC Ili uwe unapewa Kazi za Yanga SC na hata kuwa sehemu ya MC's wa Yanga SC katika Matamasha yao ( Hafla zao )

Prisca Kishamba Yule aliyeokolewa na kubadilishwa Kimaisha na Marehemu Boss Ruge ( Marketing, Promotion, Creative and Entertainment Guru ) baada ya Kukuona Ukiteseka na Kutaabika na Maisha yako Magumu ( yenye Kutia Huruma ) siyo huyu wa leo.

Sitaki niseme mengi Juu yako kwani nakujua Ndani Nje mpaka na ya Ziada ila ngoja nichague tu Kukutunzia Siri zako zaidi.

Badilika upesi na acha Unafiki.

Yahya Njenge Wewe ndiyo kabisa hata sitaki kupoteza muda nawe kwani Dhambi ya Ushamba ( Umbwiga ) inakusumbua sana ndiyo maana hata Akili zako zimekaa Kiuvuvi Uvuvi tupu Kazi ambayo ndiyo unaiweza na ndiyo maana hata Akili zako sometimes zimekaa kama Samaki yaani hujulikani uko nchi Kavu au Majini ( upo upo tu )

Unaboa ile mbaya.

Mchambuzi Mwerevu ( Intelligent ) katika Wachambuzi wote wa Michezo Clouds FM na Clouds Tv Edgar Kibwana....

"Acheni Kumtetea Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na kulirahisisha hili Jambo ukweli ni kwamba Yeye kama Kiongozi wa Taasisi kubwa kama ya Yanga SC amewakosea mno kwa Kuwaita Wala Mihogo na anapaswa Kuwaomba Radhi wana Yanga SC na hata Wanamichezo wote na atambue ya kuwa hii Mihogo anayoidharau wengine ndiyo imewakuza na mpaka Kuwasomesha Vyuo Vikuu na leo ni Watu wakubwa mno nchini"

Edgar Kibwana Mimi GENTAMYCINE sina Deni nawe na tayari kwa Kukataa Kwako kuwa Mnafiki na Mtu wa Kujipendekeza na kuendekeza Njaa kama Boss wako Shaffih Dauda na Watangazaji akina Prisca na Yahya tayari una Pepo yako Mbinguni umeshaandaliwa.

Mwisho kabisa Shaffih Dauda acha Kudanganya ( Kuhadaa ) Watu kwa kusema kuwa katika ile Video Clip ya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kusema ni Wala Mihogo alikuwa anatania na kucheka.

Wote tumeiona hiyo Video Clip na ukweli ni kwamba yapo Maeneo aliyocheka kidogo ila alipofika katika Suala la Yanga SC na Mashabiki ( Wanachama ) wake alikuwa amechukia ( Mkali kama Mbogo ) huku hata Body Language yake ikikuonyesha pamoja na Uso wake sasa iweje leo Mnafiki na Muongo Mmoja Wewe utudanganye akina GENTAMYCINE tuliokuzidi Akili, Maarifa na Jicho la Kiutambuzi na Kiuchambuzi katika Masuala Mtambuka?

Cc: Slim5, Mshuza2, Bujibuji Simba Nyamaume, SAGAI GALGANO, Daudi Mchambuzi etc
Inasemekana mihogo ni chakula pengwa sana kwa Nguruwe. Ndio maana Utopoloz wamekasirika maana wameshachoka kuitwa majina ya wanyama...

Vyura (Makazi yao makuu bwawani)
Wanabweka (madogi?l) kwa mujibu wa kocha
Manyani (kocha)
Sasa hii ya mihogo imeletwa na Rais wa timu... sasa Utopolo wanaogopa kufananishwa na kitimoto.....

Au nasema uongo ndugu zangu

Hili nalo mkalitazame
 
GSM yuko pale kwa ajili ya kuharibu mpira wetu! Mara nyingi wasema ukweli wanachukiwa nchi hii,ukizingatia jamii yetu inapenda mambo ya kipuuzi!
Hersi kashajimilikisha Yanga..na hili la kuwaita wala mihogo ni mwanzo tu..
 
Uko sahihi na wana Yanga SC wasipomdhibiti mapema ( haraka ) ipo Siku atakuja kuwaita wana Yanga SC wote kuwa ni waliwa 'Nukudi' na hapo ndipo Moto utakapoanza na ndiyo atawajua wana Yanga SC wasivyo na Masihara hata kama ameshaisaidia sana Klabu yao.
 
Mchambuzi Mnafiki Tanzania nzima Shaffih Dauda.....

"Sijaona kosa lolote kwa Injinia Hersi Said Rais wa Yanga SC kwa kauli yake ya wala mihogo."

Dauda Dhambi ya Njaa, Unafiki na Kujipendekeza kwa Viongozi wa Simba na Yanga inakutafuna na utaishia kubaya.

Najua leo umejitolea kumtetea Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) ili kesho ukampige mzinga na pia asiwe anakunyima tenda za kuuza jezi na merchandises za Yanga SC katika maduka yako.

Kumbe ndiyo maana hata mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara hakupendi kwakuwa wewe ni mnafiki na huwa unapenda mno kuwapiga mizinga ya hela wakubwa wa Simba na Yanga ili uishi hapa mjini. Hopeless kabisa!

Watangazaji Prisca Kishamba na Yahya Njenge.....

"Hersi hana kosa kwani mihogo ni chakula kinacholiwa kila siku na watu wa maisha yote tu."

Prisca Kishamba najua kuwa nawe katika walioomba ajira ya Usemaji wa Yanga SC ulikuwemo ila huyu huyu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said unayejipendekeza kwake leo kwa kumtetea na kauli yake ya kuwaita wana Yanga SC ni wala mihogo alikutosa na kumpa Ally Kamwe.

Tunajua nawe hivi sasa unajipendekeza Kwake na Yanga SC Ili uwe unapewa kazi za Yanga SC na hata kuwa sehemu ya MC's wa Yanga SC katika matamasha yao (hafla zao).

Prisca Kishamba yule aliyeokolewa na kubadilishwa kimaisha na marehemu Boss Ruge (Marketing, Promotion, Creative and Entertainment Guru) baada ya kukuona ukiteseka na kutaabika na maisha yako magumu (yenye kutia huruma) siyo huyu wa leo.

Sitaki niseme mengi juu yako kwani nakujua ndani nje mpaka na ya ziada ila ngoja nichague tu kukutunzia siri zako zaidi. Badilika upesi na acha unafiki.

Yahya Njenge wewe ndiyo kabisa hata sitaki kupoteza muda nawe kwani dhambi ya ushamba (umbwiga) inakusumbua sana ndiyo maana hata akili zako zimekaa kiuvuvi uvuvi tupu kazi ambayo ndiyo unaiweza na ndiyo maana hata akili zako sometimes zimekaa kama samaki, yaani hujulikani uko nchi kavu au majini (upo upo tu).

Unaboa ile mbaya.

Mchambuzi mwerevu (intelligent) katika Wachambuzi wote wa michezo Clouds FM na Clouds Tv Edgar Kibwana....

"Acheni kumtetea Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na kulirahisisha hili jambo. Ukweli ni kwamba yeye kama kiongozi wa taasisi kubwa kama ya Yanga SC amewakosea mno kwa kuwaita wala mihogo na anapaswa kuwaomba radhi wana Yanga SC na hata wanamichezo wote. Na atambue ya kuwa hii mihogo anayoidharau wengine ndiyo imewakuza, na mpaka kuwasomesha vyuo vikuu na leo ni watu wakubwa mno nchini."

Edgar Kibwana Mimi GENTAMYCINE sina Deni nawe na tayari kwa Kukataa Kwako kuwa Mnafiki na Mtu wa Kujipendekeza na kuendekeza Njaa kama Boss wako Shaffih Dauda na Watangazaji akina Prisca na Yahya tayari una Pepo yako Mbinguni umeshaandaliwa.

Mwisho kabisa Shaffih Dauda acha Kudanganya ( Kuhadaa ) Watu kwa kusema kuwa katika ile Video Clip ya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kusema ni Wala Mihogo alikuwa anatania na kucheka.

Wote tumeiona hiyo video clip na ukweli ni kwamba yapo maeneo aliyocheka kidogo ila alipofika katika suala la Yanga SC na mashabiki (wanachama) wake alikuwa amechukia (mkali kama mbogo), huku hata body language yake ikikuonyesha pamoja na uso wake. Sasa iweje leo mnafiki na muongo mmoja wewe utudanganye akina GENTAMYCINE tuliokuzidi akili, maarifa na jicho la kiutambuzi na kiuchambuzi katika masuala mtambuka?

Cc: Slim5, Mshuza2, Bujibuji Simba Nyamaume, SAGAI GALGANO, Daudi Mchambuzi etc
Wewe nawe utabakia kuwa Popoma milele! Maana hata hujielewi. Muda wote unataka kupangia watu maisha! Unataka watu wawe na mtazamo kama wa kwako, hata kama ni mtazamo wa kipopoma!!
 
Sisi wala mihogo sisi?
IMG_20221104_081434.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GSM yuko pale kwa ajili ya kuharibu mpira wetu! Mara nyingi wasema ukweli wanachukiwa nchi hii,ukizingatia jamii yetu inapenda mambo ya kipuuzi!
Hersi kashajimilikisha Yanga..na hili la kuwaita wala mihogo ni mwanzo tu..
Kivipi GSM anaharibu soka la Tanzania?
 
Uko sahihi na wana Yanga SC wasipomdhibiti mapema ( haraka ) ipo Siku atakuja kuwaita wana Yanga SC wote kuwa ni waliwa 'Nukudi' na hapo ndipo Moto utakapoanza na ndiyo atawajua wana Yanga SC wasivyo na Masihara hata kama ameshaisaidia sana Klabu yao.
Acha uchonganishi mama isihaka mbona aden rage alipokakuiteni mbumbumbu mulikaa kimya tu ? Jioni nitakukuta hapo kongowe
 
Mbumbumbu fc Rage akiwa mwenyekiti wa Simba

Je aliomba msamaha? Mbumbumbu ni mbumbumbu tu!!!
 
Huyo shaffi ni mtu wa hovyo kupata kutokea kwenye tansia ya habari,anachojua ni kuwa yeye huwa sahihi na maoni yake ni kama sheria kwamba akisema wengi ni wapiga kelele,tuna bahati mbaya watu wa hovyo hovyo kupata fursa ya kusikika kwa jamii, huyu ni wa kumpuuza yule jokeri
 
Kitu kidogo kinakuuuzwaa, utadhani raisi kawatukana kumbe walaa.

Ukimskiliza ile kauli yake kwa mtu anaejielewa wala haina dosari na ni kawaida kwa watu wengi kuiongea .

Ila media na mashabiki uchwara wameikuza mpaka ionekane ni bonge moja la story, sijui ni kukosa habari au ni nini aisee.

Kwani huwa hatuli mihogo?? Hapo hata angesema mtu kashiba makande, pilau , wali chipsi , baga bado watu wangeleta fyokofyoko tu.

Na nimependa sana msimamo wa raisi wetu, hajataka kubabaishwa wala kuyumbishwa na maneno ya mashabiki wachochezi wasioitakia mema timu na wachambuzi wa mchongo wanaojifanya kumtetea huku wanamng'ong'a.

Ukimuona huyu dogo anavojifanya kauli imemgusa kama kweli ni shabiki kindakindaki kumbe mamluki wa lunyasi.
 
Attachments

  • FB_IMG_16675352887108984.jpg
    FB_IMG_16675352887108984.jpg
    38.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom