kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wa lishe kwa watu wenye Shinikizo kubwa la damu (Hypertension)

    Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake. Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe kama sehemu ya mkakati muhimu wa kuboresha afya kwa watu wenye changamoto hii, Shirika la afya...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Martin Luther Jr wa Tanzania ambae ni tatizo kubwa la Rais Samia na CCM yake. Tumuunge mkono

    Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake. Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa. Tena kaweka wazi kuwa anakuja kujiunga na wenzake CHADEMA na wengine kupambania demokrasia, uhuru na...
  3. JamiiForums Tanzania Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

    Aisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea. Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao. Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu...
  4. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa kunyesha Tanzania

    Mamlaka ya Hali Tanzania, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter imesema kuna mvua kubwa zitanyesha Tanzania hivi karibuni. Tujiandae.
  5. JamiiForums Tanzania Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

    Wanabodi, Hii ni makala ya Leo kwenye Nipashe Jumapili ya June 8, mwaka 2021, katika safu hii, niliandika makala ya kumpongeza Rais Samia, kwa kuwasisitiza watendaji wa serikali kutenda haki, kufuatia baadhi ya haki zilizotolewa na katiba yetu na kugeuzwa ni hisani, Asante Rais Samia kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Dharau kubwa, waziri wa CCM anawaza simu za mkopo wakata taifa lina shida ya maji na umeme kila kona

    CcM imejaa tabu na matatizo 👇
  7. L

    JamiiForums Tanzania Neema kubwa yaanza kuonekana baada ya China kufunguliwa na kulegeza kanuni za UVIKO-19

    Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni hatua ya kulegeza kanuni zote za UVIKO-19, ambazo zilisababisha nchi kufungwa tangu virusi vya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Unlimited bundles zinazowekwa kwenye taasisi kubwa (free Wi-Fi)

    Habari wana jamii forums poleni na majukumu, Mimi ni member Mpya na ni post yangu ya kwanza. Natamani kujifunza kitu kuhusu hili swala kwa wanaofahamu. Kwa Sasa gharama za bundle ziko juu sana karibu kila mtu anatafuta namna ya ku-solve au kutatua, wengi now days tunatumia kwa mawasiliano...
  9. JamiiForums Tanzania Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

    Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa. Kama ni...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unajua Delta ya Rufiji ndio eneo zimezamishwa meli kubwa mbili za kivita za Ujerumani?

    Kwa nini walikuwa wamekuja huku na walikuwa karibu kufanya nini? Washambulizi wa Biashara Baada ya kuanza Vita vya Kwanza vya Dunia, Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Ujerumani lilikuwa na manuari nne zilizowekwa katika sehemu mbali mbali za ulimwengu. Meli hizi za kivita zilikuwa tishio kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

    Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme. Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

    Hakuna kuongea sana siri za kimungu zilizopo katika maji hayo ni za ajabu na zinastaajabisha ni mara 1000 zaidi ya maji ya upako, fanyeni hivyo mje kutoa ushuhuda hapa. Sina mengi, twendeni.
  15. JamiiForums Tanzania Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

    Tusimung'unye mung'unye maneno. Kama ulikuwa makini kipindi unasoma, lazima uligundua kuwa kwenye kundi la wale wanafunzi smart darasani lazima mhaya alikuwepo. Ukiangalia % kubwa ya maprofesa bongo ni wahaya. Zile ndizi zina nini? Nadhani zile ndizi zinaongeza maji na IQ
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele. “Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Majanga na Hatari kwa Mazingira ya sasa ya Tanganyika Packers Kawe yanaruhusu Tamasha Kubwa kufanyika?

    Kwa jinsi palivyo sasa Tanganyika Packers Kawe na Ujenzi unaoendelea, Kulivyobanana na hata Hali ya Usalama kuwa si nzuri nikisikia kuna Tamasha lolote lile linataka Kufanyika naanza kuingiwa / kujawa na Hofu Kubwa kuwa huenda Madhara Makubwa ( Vifo au Watu Kujeruhiwa ) kukatokea na baadae...
  18. JamiiForums Tanzania TMA yatahadharisha mvua kubwa mikoa 11 Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinatarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa leo Desemba 27, 2022 na TMA...
  19. JamiiForums Tanzania TMA yatoa angalizo ya mvua kubwa!

  20. JamiiForums Tanzania Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

    Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna. Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania. Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…