kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wenye vipato vya kawaida, Vioo vya simu za Google pixel ni ghali na nadra kupata mtumba, zina ustahimilivu mdogo, ikidondoka jipange

    PIXEL 3AXL 130,000 PIXEL 3XL 140,000 PIXEL 3 130,000 PIXEL 3A 120,000 PIXEL 4 4G 300,000 PIXEL 4A 5G 290,000 PIXEL 4XL 180,000 PIXEL 5 400,000 PIXEL 5A 330,000 PIXEL 6 230,000 PIXEL 6A 300,000 PIXEL 6A 305,000 PIXEL 6PRO 240,000 PIXEL 7 320,000 PIXEL 7PRO 270,000 PIXEL 7PRO 230,000
  2. M

    JamiiForums Tanzania Eric Garcetti: Ni jambo la kufurahisha kuona Demokrasia kubwa zaidi duniani ikifanya kupitia uchaguzi wa India

    Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI): Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo. Akiwa mwangalizi kwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tusilazimishe kwa Magumashi ya Airtel Money ili tuwe nafasi ya Pili NBC Premier League, ukweli ni kwamba bado tuna Shida Kubwa za Kimsingi

    Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi chetu kwa Msimu ujao tuanzie huko kwa Kujipima ila kwa Jicho la langu Tukuka la Kiufundi hata Simba...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnaojiua kila siku nani aliyewaambieni kuwa sisi wengine hatukupitia changamoto kubwa za kimaisha kuwazidi?

    Nyie Watanzania wenzangu ambao kutwa napata taarifa za kujiua kwenu kwa kukata Tamaa ya Maisha au mnataka sasa na sisi (hasa mimi GENTAMYCINE) niwapeni Historia yangu kubwa ya mapito makubwa niliyoyapitia ya miaka saba mfululizo lakini nilijikaza na kuvumilia yote halafu hata wazo la kujiua...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchimbaji mchanga mto msimbazi unazidi kuleta athari kubwa kwa wananchi. Je, kwanini serikali inatoa vibali vya uchimbaji mchanga mto msimbazi?

    Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gwaride la mwisho kubwa alilohudhuria Hayati Magufuli-JW walipiga gwaride la nguvu siku hiyo utadhani walikuwa wanamuaga!

    Sina maneno mengi. Mimi ni mpenzi wa Magwaride ya Kijeshi. Katika magwaride ya nguvu ambayo JW wamewahi kufanya ni hili la mwaka 2021, miezi michache kabla ya Kifo cha Magufuli. Kweny hili Gwaride makamanda walitimua vumbi kwelikweli. Siongei sana wacha video iongee yenyewe...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya ulevi mkali kuoengezeka ni hizi pombe kali kuuzwa kwa kupimwa kidogo kidogo kwenye vichupa.

    Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored. Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua. Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nguvu kubwa inatumika kwa mama Samia?

    Katika kipindi chote tangu Tanzania ipate uhuru, hakuna kipindi ambacho raisi amekuwa akipromotiwa sana kama huyu mama. Licha ya kumpromote sana lakini wananchi wanaonesha bado hawamkubali. Sasa ivi kila page ya serekali wanabandika mapicha ya mama. Waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya...
  10. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

    Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike. Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lissu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Unaifahamu ndege KUBWA kuliko zote hapa duniani kwetu

    Inaitwa Antonov An-225 Mriya ndege hili anasimama kama bingwa asiyepingwa Kwa ukubwa ni ndege toka Urusi ndege la mizigo. Kwa bahati mbaya sana aliangamizwa kwenye vita vya Ukraine 2022. Ikiwa na uzito wa kustaajabisha wa kuruka wa tani 640 (pauni 1,400,000) na urefu wa mabawa unaonyoosha mita...
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  13. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Jamii imewatelekeza vijana wa kiume na kuweka nguvu kubwa kwa upande wa kike

    Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka. Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+ Kwasababu leo hii jamiii yetu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
  15. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Gharama za hospital ni kubwa. Jitahidini muwe na bima

    Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu. Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa maelezo kaniandikia kufanya vipimo vya ultrasound, xray, na vipimo v3 vingine kutoka kwenye damu...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

    Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
  17. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Antaktika ndio Jangwa kubwa zaidi kuliko Sahara

    Jangwa linatambulika kwa sifa zake za kuwa na unyevu wa chini sana (upungufu wa mvua) badala ya kuwa na hali ya joto au baridi. kigezo kikubwa cha utambuzi wa jangwa ni kiasi cha mvua kinachopokea kwa mwaka. Sababu Antaktika inapokea wastani wa chini ya 200 mm (8 inches) za mvua kwa mwaka...
  18. Tindo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani. === Video: Mwananchi
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi anayechimba mchanga Mto Tegeta anaharibu eneo kubwa la barabara, TARURA wapo kimya tu

    Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi Wananchi wa kawaida. Kero yangu ambayo pia naweza kusema ni kero yetu inahusu mamlaka ya Wakala wa...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania 90% ya Watanzania hawafahamu kama ziwa Tanganyika kuna Submarine kubwa sana

    Kama sio mfuatiliaji wa mambo au mvuvi unayefika kina kirefu ndani ya ziwa Tanganyika huwezi kujua hii inshu. Siku moja saa 8 usiku tulikuwa tuko katikati tunarekebisha nyavu, tukakutana na submarine nadhani walikuwa wanajaza mafuta. Ilikuwa ni kubwa sana japo kuwa asilimia kubwa ya chombo...
Back
Top Bottom