kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe acha kufokea na kutishia raia walipa kodi kwa sababu ya kutopendezwa na ukosoaji wao

    Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo. Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo: Wanamtengenezea mazingira ya kuchukiwa na umma ili 2025, kundi kubwa la CCM lijitenge ili wamuangushe kwenye uchaguzi

    Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa. Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama...
  4. JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  5. JamiiForums Tanzania NI MITAA GANI DAR HAINA MAJINA MAKUBWA LAKINI INA POPULATION KUBWA YA WATU NA BIASHARA ZINAFANYIKA SANA?

    Hello wana jf Natumai wote mko poa sana Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk. Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani...
  6. JamiiForums Tanzania Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
  7. JamiiForums Tanzania Kizimkazi Imelipa: Hii pesa aliyoitaja Dotto Magari kuandaa harusi yake ni sahihi?

    Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
  8. JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Habari wadau! Naenda kwenye hoja moja kwa moja kwenye hoja. Ki ukweli utakatishaji fedha ni biashara ambayo ipo kwa siri sana. Usione mtu anajipost na rundo la hela na hana kazi yeyote akasema yeye ni free mason ukaamini we ni mjinga hata serikali ina ujinga flani. Kuna watu wana hela Dunian...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sauti kubwa: Kimya makaburini hakileti amani

    Sikiliza kauli ya Ansbert Ngurumo kuhusu haya yanayoendelea ya kuteka na kuua watu! Katika mambo haya yanayotokea sasahivi katika Nchi yetu. Madhira tunayopitia kutekwa, kuteswa, kuuwawa wa raia wezetu kwa sababu wote tunafahamu ni za kisiasa. Katika ushirika huu wa uhalifu kati ya Serikali...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

    BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana. KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

    Azam tv kwema, Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi...
  12. JamiiForums Tanzania Hii nchi ambao wako nje ya utumishi wa umma wana possibility kubwa ya kutajirika kuliko watumishi wa umma.

    Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao. Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso tusaidie, wakazi wa Dar asilimia kubwa hatuna maji

    Kwa walioko dar mtaani kwako kuna maji?? Wilaya ya ubungo kwetu Hali tete jamani tusaidieni
  14. G

    JamiiForums Tanzania West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ongeza exposure kabla ya kuoa

    Salaam wana MMU Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi. Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha. Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa...
  16. JamiiForums Tanzania Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

    Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli Club kubwa Kinshasa imebadili jina nakuwa FC magufuli?

    Iliitwa DC motemapembe Wachezaji wake wameonekana wamevaa jezi ya magufuli
  18. JamiiForums Tanzania Flemu nyingi za biashara huku mitaani kwa asilimia kubwa zimejaa watu wa namna hii

    moja kwa moja... 1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia. 2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

    Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake. Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi...
  20. JamiiForums Tanzania Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…