kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi yakufuga nguruwe bila kudumaa na kupata uzito 117 kg kwa miezi 6 bila gharama kubwa

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  2. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

    Bosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
  4. JamiiForums Tanzania Bandari kubwa ya makontena Marekani yalia na tariff za Trump

    Mashirika mengi ya kusafirisha mizigo yameanza kukatisha kuagiza na kupokea mizigo Marekani . Bandari ya Long Beach huko kusini ya California imesema kuendelea kwa vita vya kibiashara kutaiangusha bandari hiyo na hivyo kulazimika kuachisha kazi maelfu ya waajiriwa wa eneo hilo. Cargo ship...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli sarafu za zamani zina thamani kubwa sasa?

    Naomba kuuliza ukweli kuhusu sarafu za Kitanzania na nchi zinginezo kama kweli zina thamani kubwa sasa. Mtaani wengi wanazitafuta kwa matumizi mbalimbali. Upi ukweli?
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

    Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute. Pia katika Uwizi...
  8. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa tatizo la Saratani ni kubwa, Wizara ya Afya itoke hadharani iweke takwimu halisi na chanzo

    .
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bora Uishi karibu Kodi kubwa ama mbali na nauli kubwa

    Maoni yako Tafadhali
  11. JamiiForums Tanzania Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

    Mzuka! Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata. Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina). Mufti kuku The Infinity BICHWA KOMWE - Maghayo #Uzi_Tayari
  12. R

    JamiiForums Tanzania Vilio vingi ni matokeo ya kuweka bajeti kubwa kwenye vifaa bila kuzingatia mafundi wenye CV na Uzoefu, Maiko atajenga hata kwa robo bei ila ujipange

    Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wengine wanavifuata hivi vyama vya upinzani kishabiki

    Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Simba sports club a.k.a makolo dunduka asilimia 100% wanaenda kutolewa na wasouth wa Stellenbosch

    Mimi tanzania Sina timu ila naongea kimpira Kuna timu inaitwa simba sipos kilabu au tuwaite mbumbumbu fc a.k.a makolo fc inaenda kuishia kwenye mdomo wa wasouth Africa ukweli usemwz wale waarabu wa Al masry ni wakulima wa mahindi pale misri hivyo wao na mpira ni vitu viwili tofauti Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Sabasaba - Dodoma kuna kero kubwa sana ya foleni ya magari jioni na asubuhi

    Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni. Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume JamiiForums nadhani tumeshapata Somo Kubwa na la kutosha kupitia yaliyokuwa Mahusiono ya 'Ki - Ndumilakuwili' ya Haji Manara na Zaylisa

    Ni kwamba...... 1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke 2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo . Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki 4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
  17. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  18. JamiiForums Tanzania Zijue barabara kubwa nchini

    Zingatia T1 ndiyo barabara kongwe na inaanzia Dar Es Salaam mpaka Tunduma Border na kwajina lingine huitwa (TANZAM) T1 ➡️ Dar es Salaam – Morogoro – Mbeya – Tunduma – Mpaka wa Zambia inapoendelea kama T2 (Zambia) (km 930) T2 ➡️ Chalinze – Segera – Arusha – Namanga – Mpaka wa Kenya (km 650)...
  19. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  20. JamiiForums Tanzania CAF walikuwa sahihi, uwanja wa Benjamin Mkapa hauna sifa za kuhodhi mechi za CAF

    Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa. Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo. Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea. Uhalisia wa pitch ni tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…