kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop nzuri kubwa

    Mwenyewe ameshauza
  2. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  3. JamiiForums Tanzania Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

    Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu kuwa na mtu au kikundi kidogo kinacho controll uraisi haikwepeki, Nashukuru tu remote haiko kwa kabila kubwa.

    REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI? Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi kinachoshikilia "remote." Malalamiko kuhusu nani yuko nayo remote kwa sasa yanaweza kuwa ya msingi, lakini...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM KUNA SHIDA KUBWA

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mambo mbalimbali yanayokihusu chama hiki kikongwe na nimegundua kwamba chama hiki kina matatizo makubwa na ya ukiukwaji wa katiba yao katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kusema ni utaratibu/utamaduni wetu. wao hawajali kabisa athari zinazotokana...
  6. JamiiForums Tanzania Nasikia nguvu kubwa sasa imeelekezwa kuangusha Mbuyu namba nne kwanza.

    Sioni Kama tutaendelea kuwa na mbuyu namba nne. Ebu tuone .
  7. G

    JamiiForums Tanzania Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  8. JamiiForums Tanzania Hela Yako kubwa kuwahi kuokota ilikuwa kiasi gani?

    Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika. Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  10. JamiiForums Tanzania Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Anguko liko palepale kubwa takatifu la kihistoria

    Midomo yote itazibwa,masikio yote wasioamini watahisi dunia imetulia,macho ya wasioamini watapekecha ×2 kumuangalia shujaa wao kama kweli hayupo,lakini hawatamuona . Hilo ni anguko kubwa ni lazima na halina budi kutokea. ##muda mchache mambo mengii##
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma ina nafasi kubwa kuwa jiji la kisasa baada ya Dar kufeli

    Kwa Nini Dar es Salaam Inaonekana Kama “Imeshafeli” kuwa jiji la kisasa(world class city) dar inaachwa mbali kiubora,mpangilio na miji kama windhoek(namibia) na gaborone(botswana) sababu ya mipango mibovu na kutokuwa na udhibiti wa ujenzi. 1. Miji Imejaa Kupita Kiasi Mamilioni ya watu (zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

    Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji. Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
  14. JamiiForums Tanzania CHAN hii naweza nkaihesabu kama hasara kubwa

    Ukiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo: 1) Wasanii kutumia platform hii kutunga nyimbo kadhaa za mashindano wasanii wa afrika mashariki walitakiwa wawe wameshatoa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa kwenye ujenzi wa barabara ni kubwa sana 10% ni lazima

    Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha 1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani 2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini 3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine 4. Hii inasabaisha kampuni nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika sehemu kubwa haiendelei?

    Sehemu kubwa ya bara la Afrika haiendelei kwa sababu Afrika imejaza watu wengi wajinga sana waliopindukia. Afrika ni bara lenye watu wengi wajinga wajinga sanaaaa. Afrika kuendelea ni ngumu kama bado ujinga sugu upo. Hawa wajinga sugu utawakuta katika ngazi ya familia mpaka serikalini.
  18. JamiiForums Tanzania Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni tofauti kubwa kati ya GSM na Mo

    GSM: "Yanga Bingwa" MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia...
  20. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Zimebaki khanga 5. Bei: sh 18,000/= Kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…