kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama haya matokeo ni ya kweli tuna shida kubwa

  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais anapewa hadhi kubwa Bungeni

    LIMEULIZWA swali katika group moja la WhatsApp ambalo nimo, nimelijibu kule ila kwa faida ya wengi, nalitolea ufafanuzi na hapa. Swali ni kwa nini Rais ambaye ni Mkuu wa Serikali anapewa hadhi kubwa ndani ya Bunge ambao ni mhimili mwingine, lakini Jaji Mkuu hapewi wakati ni kiongozi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama idadi ya wanaokutembelea nyumbani kwako ni ndogo, usitegemee kupata traffic kubwa mitandaoni

    Kanuni ndio hiyo, Mafanikio yako mtandaoni yanapimwa na mafanikio yako in the real World! Ukitaka kuwa na accounts kama Youtube insta mategemeo ya kupata watu wengi wa kutembelea pg yako yanaakisiwa na namba ya wanaokutembelea kwako au hata kukucheki kwenye simu.
  4. JamiiForums Tanzania Maneno: Silaha kubwa ya Mwanamke na jinsi inavyochangia Ukatili Majumbani "Domestic Violence" wakati ingeweza kutumika otherwise

    Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania. Mjadala umechagizwa zaidi na video ya mdau mmoja, ambaye alionekana akimpiga vibaya mke wake, ni mtu ambae...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kama kuna jambo kubwa la maana unataka kulifanya, ni bora msikutane kimwili na mwenza wako?

    Habari wadau wa nguvu wa JF. Nimesikia watu wakisema mapenzi yana gundu. Yaani kama kuna jambo zuri lenye manufaa unataka kulifanya, eti ni bora msifanye mapenzi na mapenzi/mchumba/ mume au mkeo hadi utakapoanza kufanikisha jambo hill. Mara nyingi mambo kama hayo ni Maombi/sala, interview ya...
  6. JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

    Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza. Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
  8. JamiiForums Tanzania Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

    MICHEZO: Dkt Jonas Tiboroha, Meneja wa Simon Msuva, mchezaji wa Taifa Stars, amesema Msuva amejiunga na klabu ya Benifica ya Ureno kwa mkataba wa miaka 3 akitokea klabu ya Difaâ El Jadidi Amesema ataanza kuitumikia Benfica Julai 2020 na sasa anaenda kwa mkopo katika klabu ya Panathinaikos ya...
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA TABLET inauzwa

    Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha, inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo. Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…