kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanawake ni jeshi kubwa

    Unapoambiwa wanawake ni jeshi kubwa usihoji ni jeshi lipi, wewe elewa tu kuwa hawa watu ni jeshi kubwa na wakiamua kuvamia kambi hawatishwi na ukubwa wa adui. Wanapambana na majitu na wanawakalisha chini. Hakika Kipenda roho hula nyama mbichi. Ama Mwenyekiti naongopa?
  2. Vita ya Akili Unde (AI) ni kubwa kati ya matajiri

    VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa kwa Akili Unde karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hii ni fursa na ni changamoto mpya...
  3. Kigwangala My Brother Njoo tuwaze wote Nje ya Box; maana kwa sasa na wewe slogan yako kubwa ni No Reforms No Election,Usiende kule ili mtu apate ajali

    Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena. Niende kwenye Mada kwa ufupi, Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;- Baba Levo- Kigoma Mjini JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki Kuna...
  4. H

    Wabunge wasio wasomi i e:Babalevo wana maana kubwa kuliko wabunge wasomi i.e:kimei

    Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla? Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye...
  5. Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)

    Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC) Habari zenu wanajamii forum, Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
  6. Ipo shida kubwa kwa Watanzania na sio siasa za ccm wala watawala.

    Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi...
  7. C

    Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  8. Kama ndo hawa majasusi tulio nao nchini ndani ya serikali tuna safari kubwa sana

    Sita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole. Nchi hii imejaa...
  9. Nikiwa Rais, nitatenga maeneo watu watakuwa wanaongea chochote kile wanachojisikia kama mkakati wa kuhakikisha freedom of expression ni kubwa

    Mimi katika mambo ambayo siyapendi ni kutumia nguvu kubwa kumziba mdomo mwingine asiongee jambo nisilolipenda, bata huku jamiiforums napenda wale wanaokosoa na kamwe siwezi waweka kwenye ignore list Mimi ni mtu ambaye niko comfortable kwa wale wanaonikataa, na kunipinga sababu naamini wanahaki...
  10. A

    KERO Katavi: Askari mgambo kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Mpimbwe wamekuwa ni kero kubwa

    Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu. Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
  11. Nyoka Mwenye Kichwa Kidogo sana umbo kubwa eneo la katikati na Mkia Mwembamba

    Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
  12. Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
  13. Bado tupo kwenye narrow AI si ajabu tishio la AI kwa sasa halionekani kubwa sana kati yetu ila tunapo elekea wengi tutaimba wimbo mmoja

    Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI. Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
  14. Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  15. Tunauza Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  16. M

    Neno "Kwa maslahi ya Taifa" ni joka kubwa linaweza kummeza hata anayelifuga

    Hili neno ni neno gumu sana, baya kwa watawala na zuri kwa wananchi wanyonge. Ndio msingi mama wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na almost katiba zote duniani. Neno hili pacha wake anaitwa "Kuilinda Katiba" Ni ngumu sana kumjua mtu hasa anayeilinda katiba. Walinda katiba ni kama...
  17. Nauza asali ya nyuki wakubwa

    Habari wana JF Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu☝️. Nina asali ya nyuki wakubwa 80L Kwa anaye hitaji anaweza nicheki pm au kwa namba yangu cm tufanye biashara . ☎️0744355748 normal call &WhatsApp ✅️ Matajiri 250,000/= kwa lita 20
  18. Foleni kubwa Kiluvya Madukani na Mpiji

    Foleni ya kwenda kibaha imeanzia eneo linaitwa kwa Komba ni ndefu inaweza kufika urefu wa kilometa 2 au 3. Wahusika wasaidieni hawa wananchi waendelee na mishe mishe zao
  19. Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  20. Kwanini mikoa ya pwani inaoenakana kuwa ni hub kubwa ya vidume walio chapati?

    LINDA MTOTO WAKO DHIDI YA USODOMA Sawa unaweza kubeza au kutukana huku ukisema kuwa we ulijuaje bila ya kwenda kuwatafuta? Ila ndugu yangu hauwezi ijua hii east africa kama umekaa kwenye kochi la shemeji 24/hrs ukisibiria kuangalia marudio ya jua kali na pia kidume chapati anajulikana tu hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…