kuboresha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Nafasi ya wananchi/wadau kuwasilisha mapendekezo ya jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai

    Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko kuhusu wananchi kutoridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Taasisi zinazosimamia haki Jinai nchini kuanzia kwenye ukamataji wa mtuhumiwa, upelelezi,utoaji wa dhamana, uendeshaji wa mashtaka, kesi na eneo ambalo aliyehukumiwa anatumikia kifungu chake...
  2. CM 1774858

    Mjema: Serikali awamu ya sita imedhamiria kuboresha huduma ya mama na mtoto Tanzania

    SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO. CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha huduma za afya hasa ya Mama na Mtoto inaendelea kuboreshwa...
  3. B

    Mahakama katika kuboresha mazingira ya biashara nchini

    31 Januari 2023 KONGAMANO KUJADILI NAFASI YA MAHAKAMA UBORESHAJI MAZINGIRA YA BIASHARA LAFANYIKA Na Faustine Kapama-Mahakama, Dodoma Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akichukua kumbukumbu muhimu wakati wa Kongamano hilo Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia: Mifumo wa kudai haki jinai nchini imeharibika kutokana na kupuuza mifumo ya maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023 Katibu Mkuu kiongozi Moses Kusiluka Jukumu kubwa la tume ni kufanya tathmini ya kina ya mfumo wa...
  5. J

    Wanasiasa walioshindwa kuboresha Katiba za Vyama vyao watawezaje kupigania Katiba Mpya ya JMT?

    Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati? Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya Jumaa kareem!
  6. F

    Kupanda kwa nauli za mwendokasi: Mkakati wa kuboresha sekta ya usafirishaji wa umma utakaoleta matokeo mazuri katika usimamizi na uendeshaji wa mradi

    Kufuatia Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kumtangaza bei mpya za nauli, nimeona mtazamo wa baadhi ya watu ukiwa kulekule vitu vinapanda bei sana. Kufuatia mtazamo wa namna hiyo nami nitachangia machache juu ya faida za kupanda kwa nauli za usafiri huo husasani katika suala zima la...
  7. L

    China kuboresha hatua za kuingia na kutoka kutaleta msukumo mpya kwa biashara kati yake na Afrika

    Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali. Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
  8. Pfizer

    Rais Samia amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. #CCMImara #KaziIendelee
  9. The Sheriff

    Kuna haja ya kuboresha taaluma ya ualimu ili kukuza sekta ya elimu Tanzania

    Mwalimu ana jukumu muhimu katika kuunda haiba ya vijana na kuwatayarisha kuwa raia wazalendo na wanaowajibika. Kando na kazi za kufundisha darasani, mwalimu pia anatarajiwa kuchukua nafasi ya mshauri, kiongozi na mlezi kwa wanafunzi. Lakini pamoja na umuhimu huo, bado kuna mtazamo hasi dhidi...
  10. J

    Halmashauri zinazokusanya kuanzia bilioni 5, zaelekezwa kutenga 10% kuboresha miundombinu ya barabara

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zinazokusanya mapato ya ndani kuanzia bilioni 5 kwa mwaka kuhakikisha wanatoa asilimia 10 kati ya asilimia 60 inayotengwa kutekeleza miradi ya maendeleo...
  11. A

    SoC02 Lima matunda uinuke kiuchumi na boresha afya yako

    Napenda kutoa ushauri kwa kila mtu anayeweza kupanda miti ya matunda ya aina mbalimbali apande kwa wingi,ikishindikana kupanda kwa wingi, panda angalau hata miti mitatu ya matunda aina tofauti tofauti kwani kuna matunda yanatofautiana misimu japo matunda mengi yanafanana misimu ya upatikanaji...
  12. Innocent Ngaoh

    SoC02 Tawala Fikra zako Ili uweze kuboresha maisha yako

    Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na mawazo hasi kuliko mawazo chanya pia nakubaliana na msemo wa Brian Tracy “Badili namna unavyofikiri...
  13. N

    Serikali sikivu - kodi zilizoondolewa na serikali baada ya kupokea maoni ya wananchi ili kuboresha

    Wote tunakumbuka bajeti ya serikali iliyowasilishwa kwa mwaka 2022/23 ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za ndani (kwa zaidi ya 67%, hili ni jambo la kihistoria na la kipekee). Baada ya uwasilishwaji wa bajeti...
  14. A

    SoC02 Kuboresha huduma ya afya ya awali (primary health care)

    UTANGULIZI HUDUMA YA AFYA YA AWALI; Ni mtazamo wa jamii nzima ambao unalenga katika kuhakikisha huduma za afya zilizo bora zinatolewa na kwa jamii nzima kwa usawa na kujali mahitaji ya wanajamii nzima. Hii inajikita katika utoaji wa huduma za kafya za kibinafsi zinazotolewa kwa mara ya kwanza...
  15. I

    Ni vitu gani serikali ifanye ili iweze kuboresha sekta ya elimu na ajira?

    1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa? 2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo? 3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
  16. T

    SoC02 Vipengele vya kuongeza/ kuboresha kwenye Katiba Mpya

    1) Wabunge 20 wataalamu waongezwe Tofauti na wabunge wa majimbo. - Hawa watakuwepo bungeni kuwakilisha taaluma au fani mojawapo muhimu katika maisha ya watanzania. Mifano ya fani hizo ni Elimu, Kilimo, Biashara, Uvuvi, Afya, mazingira, uwekezaji, utalii, michezo nk. - Hawa hawatalipwa mshahara...
  17. Innocent Ngaoh

    SoC02 Jinsi ya kuboresha uhusiano wako na watu wanaokuzunguka kwenye jamii yako

    Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
  18. F

    Tanzania kila kata hatuwezi fanya harambee za kuboresha shule zetu?

    Habari wadau. Kwanini tusifanye harambee kuboresha shule zetu ili vizazi vyetu vipate elimu bora na kupata taifa la wenye akili. Kuna uzi humu kanisani kijitonyama milioni 300 ya kununua nyumba ya mchungaji ilichangwa nusu saa tu. Nikawaza watoto wanaosali hapo kanisani je wote wanapata elimu...
  19. Tukuza hospitality

    SoC02 Tukuze Uchumi wa kila Mtanzania kwa kuboresha Huduma za Afya

    Kama ningepata nafasi ya kuboresha kitu kimoja hapa Tanzania, ingekuwa fursa kwa watu wengi kuinua kiwango cha maisha. Kitu ambacho ningeboresha ni mfumo wa huduma za afya, ambapo ningezipeleka mashinani (ngazi ya kijiji/mtaa), ili watu wengi wafikiwe. Pamoja na jitihada za serikali kutoa...
  20. Kisesa2022

    SoC02 Tufanye nini ili Kuboresha elimu yetu?

    Elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Elimu husaidia mtu kuelimika ,kujitambua , kuchukua hatua na kufanya mambo sahihi na yasiyosahihi ili kuleta maendeleo katika jamaii husika kwa zingatia maadili ya mtu mmoja...
Back
Top Bottom