TAASISI zote zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi nchini zimetakiwa kuhakikisha zinajisajili kabla ya Aprili 8, mwaka huu, vinginevyo zitakabiliwa na hatua kali za kisheria ikiwemo faini ya hadi Sh. bilioni tano.
Hatua hiyo inakuja kufuatia kuanza kwa utekelezaji kamili wa Sheria ya...
Je, hili ni kweli wakuu?
By 1879, Uganda was the only place in the world where C-sections were performed to save both mother and baby. European observers documented this practice, which used local tools, herbal anesthetics & antiseptics.
Naomba msaada please Bwana Mdogo anahitaji kubuild workstation but budget ya kuanzia anasema ana tsh 500,000. But kila after two weeks atakuwa anapata tsh 500,000. Je aanze na nini kwa hii tsh 500,000 ya kwanza.
Msaada kwa wataalamu. Akina Mwl.RCT Chief-Mkwawa na wengineo please
Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero.
Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara.
Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
Anonymous
Thread
arusha
barabara
changamoto
hii
kero
kuanzia
kupandisha
lami
mwisho
ofisi
sana
wakazi
Kama taifa tunafaa kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kufanikiwa kudhibiti uhuni ule wa wahaini, ambao ulipangwa kwa ustadi mkubwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha ndani ya baadhi ya vyama vya siasa nchini.
Ni muhimu sana hatua kali za kisheria kuchukuliwa haraka tena...
Hatimaye CAF imethibitisha kuwa Tanzania itakuwa miongoni mwa waandaaji wa AFKON. Kwakuwa serikali iliyopo ni HARAMU, natoa wito wa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia tarehe ya uzinduzi wa AFCON mpaka kieleweke.
Wageni waliopangwa kuja wajulishwe kabisa kuwa tunawakaribisha, lakini tutakuwa na...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri
Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa .
HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
Rais Samia Suluhu, akizungumza katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 7, 2026, amesema katika mazungumzo yake na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameiomba Serikali ya Uganda kuendeleza ujenzi wa Treni ya Umeme (SGR) kutoka Lusahunga, Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera, kuelekea...
Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026
Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025
Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026.
Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026
Pole ziende kwa rais na chama chake.
Tajiri Elon Musk ametangaza kua kampuni ya Tesla itasitisha uzalishaji wa magari yake Model X na Model S.
Tajiri kasema factory zilizokua zinazalisha ayo magari zitafocus kwenye marobot yake ya Optimus.
Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati.
Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao
Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema Kiongozi wa Chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu Bobi Wine ameanzisha vita na taifa lake hivyo kwa namna yoyote ni lazima wamkamate.
Kupitia mtandao wa X Muhoozi amechapisha akisema kuwa...
Kitengo cha serikali ya Marekani maarufu kama "State Department" kimetangaza kusitishwa kwa utoaji wa viza za kuingia nchini Marekani kwa nchi zipatazo 75 nyingi zikiwa ni kutoka barani Afrika Tanzania ikiwemo.
Sababu ilotolewa na kitengo hicho imesema raia kutoka katika nchi hizo wafikapo...
Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo
Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea
Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha
Isizidi cc 2000
Ulaji mzuri wa mafuta
Umbo...
bajeti
bongo
gani
gari
gereji
kirahisi
kuanzia
mafuta
magari
matengenezo
mazingira
mikoani
milioni
milioni 30
mwaka
nzuri
pamoja
rahisi
ulaji
urahisi
yanauzwa