kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa? Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
  2. M

    Baada ya maafa ya maandamano ya MO29, sidhani kama watanzania wana nguvu ya kuandamana tena kwa miaka 20 ijayo, watu wanaogopa sana maandamano

    Wengi wetu tulidhani maandamano yatatulizwa kwa mabomu ya machozi , virungo na vipigo, vifo vilitbiriwa kuwepo kakini vichache sana visivyozidi 20. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa, risasi zilimiminwa kama njugu. Watu wengi walipoteza maisha wakiwemo wengi zaidi ambao hawakuandamana na...
  3. K

    Hakuna kijana aliyelipwa kuandamana Oktoba 29. “Tumechoka na Uchaguzi wa maigizo”

    Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye maandamano hayo ni raia wa kigeni, kauli ambayo hata hivyo hakuithibitisha. Alipozindua Bunge la...
  4. M

    Trump: "Iran msiache kuandamana, msaada utafika hivi karibuni, Hifadhini majina ya wauaji watalipa gharama kubwa, "

    Ameandika hivyo Rais wa Marekani Donald Trump kwenye mtandao wake wa Truth
  5. Life2

    Leo wanawatumia kuandamana kesho watawatumia kwenye ajira, vyuoni na kwenye hospitali

    Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania. Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa ishara na matendo yao. Leo walioratibu huo mpango either wanatoka Serikalini au Chama cha Mapinduzi...
  6. Genius Man

    Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

    Majambazi yame uwa alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi
  7. Scared

    Sasa hivi Kila mtu anamtegea mwenzi kuandamana na kumlaumu mwenzie

    Kumeibuka na hili jambo watu kulazimisha wenzao kuandamana unakuta li mtu linalaumu wenzie hawajatoka mda huo lipo kitandani Kam kule TikTok mtu kafungua live anawaambia wenzie waandamane lenyewe lipo ndani linatia lawama wazee Sasa hivi watanzania hawawezi kutoka barabarani kama mnavyofikiria...
  8. ChekoFagia

    Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Museveni kwa wanaopanga kuandamana: "Tuna risasi za kutosha

    Kauli ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu kuwapa askari risasi 120 kabla ya uchaguzi mkuu imezua hofu na ukosoaji mkubwa. Upinzani na wananchi waonya vitisho hivyo vinaweza kudhoofisha amani, demokrasia na haki. Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekosolewa vikali kufuatia kauli yake kuhusu...
  10. ERTUGRUL BEY

    Vijana, Hakuna Kuandamana Mpaka Muone Kibali Rasmi Cha Maandamano

    My people, Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate...
  11. Tlaatlaah

    Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

    Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF, Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na...
  12. stakehigh

    PostGE2025 Wote wanaotaka kuandamana wamekuwa maadui wakubwa wa wananchi, hakuna mwananchi yuko tayari kukaa ndani tena

    Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
  13. Trainee

    Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
  14. ChekoFagia

    PostGE2025 Polisi: Ni picha mjongeo ya zamani kuhadaa wananchi kuandamana

    Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo kama kuna ambao...
  15. stakehigh

    Waliokuwa wanatisha kuandamana bado wapo online wanachat, wamewasaliti M029

    Si ajabu kwan mara kadhaa watu wenye akili walionya kuhusu hawa wanaoanzisha maadamano kwamba wenyewe hawatokagi na kwel tumeshuhudia bado wako online mpaka sasa wengine hawataki kuoga asubui hivo basi ewe mtanzania kamwe usifuate mkumbo wa hawa wanaharakati wenye visukari
  16. McLaren

    Video: Kimara wameshaanza kutesti mitambo. Watu wameanza kuingia barabarani

    Wakuu, Naambiwa huko Kimara mambo yameshaanza kuchemka. Wananchi wameanza kujitokeza barabarani
  17. Hance Mtanashati

    PostGE2025 Kinachovunja watu moyo wa kuandamana ni ile shuruti ya kuandamana, wengine wanaingiza pesa ndefu wakiingia kazini

    Rais Samia hapendwi na mamia ya watanzania, ila sasa kinachofanya watu wasitamani maandamano yawepo wakifikiria suala la maslahi. Wengine wakienda kazini wana uhakika wa kukunja laki 5 na kuendelea kwa masaa machache tu . Sasa suala la kukaa ndani au kuandamana linasababisha mtu kukosa hela ya...
  18. Trainee

    Narudia tena; ukifa kwenye kuandamana wewe ni motoni na ukiua wanaoandamana pia wewe ni motoni!!!

    Najua hiyo ni ngumu kumeza lakini hakuna namna isukumieni hivyo hivyo hata na maji Angalizo: Hiyo ni kwa sheria ya uislamu ukipinga lete ushahidi
  19. McLaren

    PostGE2025 Sheikh Mziwanda: Wanaotaka kwenda kuandamana wanapingana na mpango wa Mungu

    Wakuu, TEC wakisimama kukemea dhulma watu wanapanick ila sheikh hapa kusimama hadharani kufanya siasa its okay. Basi sawa ------------------------------------ Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda akiwa anazungumza hivi karibuni amesema kwamba" "Wanaotaka...
  20. Foffana

    KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
Back
Top Bottom