kuachiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Shura ya Maimamu Tanzania kuhusu kuachiwa Masheikh wa Uamsho

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA *WARAKA WA KUTOLEWA UAMSHO TAREHE 19 JUNI 2021* UTANGULIZI: Suala la kukamatwa Masheikh maarufu kwa jina la “Masheikh wa Uamsho” (2013), na kuachiwa kwao huru (2021), ni tukio kubwa Tanzania. Kwa sababu kadhaa zikiwemo za ubinadamu, haki na nafasi ya Masheikh katika...
  2. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

    Leo 16/06/2021 12:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
Back
Top Bottom