kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mamia ya Polisi waomba kuacha kazi kutokana na kilichotokea wakati wa uchaguzi

    Taarifa za ndani kutoka jeshi la polisi, ni kwamba zaidi ya polisi 100 wameomba kuacha kazi ya Upolis with immediate effect. Shida kubwa ni walichokiona tarehe 29/10/2025 na hofu ya maandamano ya tarehe 09/12/2025. Jeshi linakataa kuwakubalia. Vikao vinafanyika na viongozi wa kisiasa juu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  4. JamiiForums Tanzania Google Maps Local Guide: Uwa napenda sana kuacha review kwenye kila sehemu niliyotembelea. Wewe je?

    Wakuu. Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia. Pia kupitia Maps, unaona reviews mbalimbali katika iyo sehemu, ambazo zinatolewa na wateja au watu waliowahi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Atangaza kuacha kazi ya Uganga haina faida

    Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu Akizungumza...
  7. JamiiForums Tanzania Nmekuwa na huu URAIBU kwa Miaka zaidi ya 30 sasa naelekea kuacha baada ya kukutanishwa na Wataalam

    Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu. Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na pia hatuna sana mvuto na hatupendi kujieleza tunaona shida sana kukimbizia mbunye. Ni mwendo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Wakutwa wakiiba mbao za bango la CCM, mmoja asema hawezi kuacha kuiba

    Angalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu nimefeli Kuacha sex

    Wakuu turee kwenye kichwa tajwa hapo juu. Niliwahi kuandika uzi humu jukwaani kuhusu kuwa na program ya kudhibiti genye, Kwa kukaa mda mrefu bila kuzagamua. Lakini nasikitika kusema nimeshindwa! Nalirudisha hili Kwa wanabodi, ninachoomba kutoka kwenu ni maombi, hili Kwa Nguvu za kibinadamu...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alikuja kama Messiah kisha akaondoka na kuacha ujumbe "MTANIKUMBUKA..."

    Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule anayependwa na mazungumzo ya siasa, akaanza kwa sauti ya kushawishi: "Eh, rafiki zangu, mnakumbuka ile siku...
  11. JamiiForums Tanzania Kuacha tungi ni shughuli nzito aisee

    Nilijipa likizo kidogo ya kama week hivi nione kama zoezi litakua endelevu ili niache kabisa mambo ya tungi. Leo siku ya nne tu uzalendo umenishinda aisee,nimepita mahali nimepiga safari baridi tatu za chap chap kuchangamsha akili kwanza. Kuacha tungi ni zoezi gumu sana wakuu.
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  13. JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
  14. JamiiForums Tanzania Walionipa ushauri jinsi ya kuacha punyeto hapa JF Asanteni sana.

    Asanteni sana ndio neno la kwaza naanza nalo. Nilileta mada hapa mnishauri jinsi ya kuacha kuangalia video za uchi na kujichua. Kuna walio nishauri, walio ni benza na kunidharau na kunidhihaki kama sitokuja niache. Kuna walio nipa moyo kwamba Ata ikitokea nimejaribu kuacha ila nkafanya...
  15. JamiiForums Tanzania Nchini Japan, unaweza kulipa ili kupotea bila kuacha alama, ni halali kwa 100%

    Yonige-ya ni Biashara za Japani zinazosaidia watu kutoweka kutoka kwa maisha yao ya sasa, mara nyingi ili kuepuka hali ngumu kama madeni, mhusiano mabaya, au shinikizo la kijamii. Wanaitwa "wahamishaji wa usiku" kwa sababu wanahamisha watu kwa siri, mara nyingi usiku, ili kuepuka kugunduliwa na...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Fao la kuacha kazi NSSF naomba ufafanuzi

    Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje? Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe umeacha kazi badala yake uwe umeachishwa ndipo uombe, naona hiki ni kama kigezo cha kushetani sana. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Umewahi kuhama na kuacha vitu ndani kama fidia ya kodi uliyokuwa unadaiwa?

    Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
  18. I

    JamiiForums Tanzania Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama?

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama? Katika ulimwengu wa teknolojia unaobadilika kwa kasi, usalama wa mfumo wako wa kompyuta hauna nafasi ya kutegemea programu ambazo zimepitwa na wakati na WinRAR sasa ni mfano halisi wa hilo. Kwa mara nyingine tena, programu hii...
  19. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

    Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!! Huyu rafiki yangu tumezunguka sehemu nyingi sana site na kila kona chafu chafu za matrafiki wa usiku anajua na ndio michezo...
  20. JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…