Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Salaam zangu za Krismasi kwenye gazeti la Mwananchi.
Leo ni Sikukuu ya Krisimasi, Watanzania tunajiunga na watu wengine duniani, kuadhimisha sikukuu hii ya Krisimasi ambayo ni sikukuu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Masiha, Mwokozi wa Wakristo, Bwana wetu Yesu...
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Sheikh Hemed Jalala, amewatakia Watanzania wote, hususan waumini wa dini ya Kikristo, heri ya Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa duniani kote kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao, Yesu Kristo.
Akizungumza katika salamu zake za sikukuu kwa mwaka...
By Malisa GJ,
Mwaka 1965 aliyekuwa Rais wa Romania Gheorghe Gheorghiu-Dej, alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mujibu wa Katiba yao, Rais akifia madarakani, Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti (PCR) anarithi kiti chake. Hivyo ndivyo Nicolae Ceaușescu alivyopata bahati ya kuwa Rais wa Romania...
Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu
Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
Vijana wa CHADEMA kutoka Kanda ya Kaskazini walijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi nyumbani kwa bibi yake Deusdedith Soka, huko Kibosho. Hafla hiyo pia iliadhimisha siku ya kuzaliwa ya Soka, ikileta furaha na mshikamano kati ya viongozi na wanachama wa chama hicho.
Pia, Soma: Mke wa...
Heri ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya
KITABU: ZIJUE BARABARA SIKUKUU ZA NOELI NA PASAKA
Na. Padri Titus Amigu.
Chapa - Benedict publication Ndanda - Peramiho -
Juni 2000.
KRISMASI: Pg. 56.
..... Basi, ili kuwa na umoja waamini wapate kusherekea kuzaliwa kwa Yesu, Kanisa likajiwekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.