Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka huu kila mtu mzima nchini anatakiwa kuwa na Namba ya Mlipa Kodi (TIN).
Hayo yameelezwa na Ofisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi (TRA), Hamadi Mteri wakati wa ufunguzi wa semina kwa wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa...
MWANAMKE KUPATA MIMBA PASIPO RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI.
Anaandika, Robert Heriel
Sisi kama wanaume tumekubali kabisa kuwa Kufanya ngono na Mwanamke Chini ya miaka 18 hiyo itahesabika kama Kosa la JINAI, Kwa jina la Ubakaji, bila kujali hiyo Binti alifanya Kwa ridhaa yake au Kwa...
Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na Wanaharakati wa Masuala ya Kijinsia kimependekeza Marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ili iweze kumwajibisha Mwanandoa atakayemuingilia Mwenza wake bila ridhaa.
#TAWLA imesema pendekezo hilo linafuatia ongezeko la...
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.
Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?
Chanzo...
Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani.
Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
Je, umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?
Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi.
UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au kimwili. UZEMBE ni hali ya mtu...
UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai.
Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?
Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi.
UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au...
Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi...
Serikali imeamua kubana zaidi matumizi ya bangi. Nchi nyingi zimegundua vita dhidi ya dawa za kulevya ni futile hivyo zimeamua kudecriminalize matumizi ya madawa ya kulevya. Kutumia madawa kwa baadhi ya nchi siyo kosa la kufungwa.
Nasikia nchi kama Ureno zimefanya hivyo, na matokeo yamekuwa...
Wakati kwenye maeneo mengine kubusu au kukumbatiana kati ya mwanamke na mwanaume ni jambo la kawaida, kwenye maeneo mengine ni kosa kubwa.
Baadhi ya nchi za kimagharibi zimewapa raia wake uhuru kiasi cha kuweza hata kufanya matendo ya faragha hadharani. Lakini baadi ya nchi, hasa zile zenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.