kosa kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Ni kosa kisheria kumhonga au kumshawishi shahidi kwa zawadi ili atoe ushahidi

    Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa. Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru...
  2. Common Folk

    GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  3. baz kaiza

    GE2025 Wanaosema Maandamano ni kosa kisheria. Nakubaliana nao lakini sioni wakiambatanisha na Kifungu chochote cha Sheria cha kinacho kataza Maandamano

    Wanaosema Maandamano ni kosa kisheria jitahidi muweke na Kifungu kilichokataza maandamano. Jamani hii dunia imebadilika ukiweka kifungu kinachokataza maandamano ni rahisi kueleweka lakini maneno mtupu watu wenye akili wanabaki wanawashangaa Katiba inasemaje haki ya Maandamano? Je, kuna kifungu...
  4. Mr George Francis

    Je, wajua uchawi ni kosa kisheria?

    UCHAWI ni matumizi ya nguvu zisizo za kawaida zinazotumika kuwadhuru wengine kwa namna isiyo ya kawaida. Uchawi unajumuisha mazingaombwe, kuloga, matumizi ya vifaa vya uchawi, matendo ya nguvu za giza au umiliki wa maarifa ya siri yasiyo ya kawaida. Uchawi sio dhana mpya katika jamii zetu bali...
  5. S

    Ombi: Kutongoza Mwanafunzi iwe kosa kisheria, adhabu kali itolewe kwa wanaofanya hivyo

    Jana katika pitapita zangu nikawa nimechill mahali. Mbele yangu kulikuwa na kijiwe cha bodaboda, kwa nilipokuwa nimekaa sidhani kama wale boda waliniona. Ghafla akapita mwanafunzi wa sekondari na sare zake nadhifu, hakuwa na wenzake, alikuwa mwenyewe. Mmojawapo wa waliokuwa pale kijiweni...
  6. H

    Ifikie wakati kudanganya madhabauni iwe kosa kisheria ndani ya Afrika

    Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia. Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini? Serikali zinawaangalia tu masikini wanaibiwa na kutapeliwa kuwa wanaponywa na kutajirishwa. Kwani...
  7. Uwesutanzania

    Nimefikiria kufungua mahakama yangu ya kimila je haitakuwa kosa kisheria?

    Mimi ni mlozi, tena ni mlozi mzuritu. Nimepata wazo nyumba yangu niigeuza mahakama ya asili (kimila au kichawi) Yaani niweke bango barazani niandike kalibu mahakama ya asili. Majukumu yake ni Kushughulikia haki, mali ndoa nk Mfano Umeibiwa na unataka kumloga mwivi wako unakuja...
  8. DR VRM

    Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

  9. Waufukweni

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima: Ni kosa Kisheria kumiliki Kadi zaidi ya moja ya Mpiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima amesema kila mwananchi mwenye sifa za kupiga kura anastahili kujiandikisha mara moja na kupewa kitambulisho kimoja cha mpiga kura. Kailima amefafanua kuwa, ikiwa kadi ya mpiga kura imeharibika kwa namna...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Polisi Mkoa wa Njombe: Ukiachwa Valentine Day usijiue ni kosa kisheria

    Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine...
  11. Bendera Esq

    Kutembea na mwanafunzi siyo kosa kisheria

    Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuwa na uelewa sahihi wa kisheria kuhusiana na swala la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Kwenye sheria za Tanzania, hakuna kosa la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Ili jambo liwe kosa kisheria ni lazima kuwe na sheria inayopiga marufuku kutenda...
  12. Carlos The Jackal

    Msaada wa Sheria, Hivi kumbe kurekodi maudhui ya Ngono sio Kosa kisheria?

    Hii Injiii, ama kweli akili ya Mtanzania huwezi kuíkuta Mahali popote hapa Duniani. Naombeni mniitie Huyu Mkurugenzi msaidizi wa Ofisi ya Mashitaka. Jamaa ambaye ni Msomi wa Sheria na kuaminika anasema Watuhumiwa wanashitakiwa Kwa makosa Mawili tu, Kubaka, Kuingiliwa kinyume na maumbile...
  13. Papaa Mobimba

    Mwanasheria: Kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo ni kosa kisheria

    Ni kosa kisheria kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo kuwa imetoka kwa nani, na kwa ajili gani imekuja kwako, hakikisha kila hela unayopata unajua vizuri chanzo chake na pia kuweka kumbukumbu sawa umepokea kwa ajili ya nini?, kama ni kazi umefanya au biashara hakikisha kodi stahiki...
  14. BARD AI

    Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

    "Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili. Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio...
  15. Zakaria Maseke

    Kufoji barua ya uteuzi wa kusimamia mirathi ni kosa kisheria na chochote utakachofanya kupitia hizo barua za kufoji ni batili

    Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
  16. BARD AI

    Kupiga Honi ovyo au maeneo ya Shule, Mahakamani na Hospitali ni kosa kisheria

    Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

    KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao. Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
  18. BARD AI

    Ni kosa kisheria kumtaka mwanamke kimapenzi kwa kumlazimisha

    Katika kosa la bughudha ya kijinsia (Sexual harassment) Sheria inaeleza kwamba, mtu yeyote ambaye kwa dhamira atamshambulia, au atatumia nguvu kinyume cha sheria akambughudhi mtu mwingine kijinsia au kwa kutumia maneno au vitendo na kusababisha maudhi au bughudha kijinsia kwa mtu mwingine...
  19. Lycaon pictus

    Kwanini kujiua ni kosa kisheria?

    Leo tarehe 10/10 ni siku ya Afya ya akili duniani. Moja ya sababu kubwa ya watu kujiua ni matatizo ya Afya ya akili. Na mgonjwa wa akili hatendi kosa zaidi ni anahitaji msaada wa matibabu. Sasa nini kilipelekea Tanzania kuunda sheria kuwa kujiua(Kujaribu kujiua) ni kosa kisheria? Hii sheria...
  20. Analogia Malenga

    Je, wajua kuchepuka siyo kosa kisheria?

    Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa. Wakili Peter amesema kinachozuiwa na Sheria ya Ndoa ni mwanamke kufunga ndoa nyingine akiwa kwenye ndoa. Adhabu yake ni...
Back
Top Bottom